Mbarali Finest

2.6K posts

Mbarali Finest banner
Mbarali Finest

Mbarali Finest

@ABBISAITHJR

Certified Physiotherapist || Serengeti Boys (U17) Physiotherapist. Ni Bora Wakuchukie Kuliko Kukudharau Kupitia Mwamvuli Wa Upendo.

Mbeya, Tanzania Beigetreten Ocak 2022
2.9K Folgt1.3K Follower
Angehefteter Tweet
Mbarali Finest
Mbarali Finest@ABBISAITHJR·
Majeraha Michezoni UZI Majeraha Michezoni Tafsiri Ya Kiingereza Ni SPORTS INJURY Ikiwa Na Maana Ya uharibifu wa tishu za mwili unaotokea kama matokeo ya michezo au mazoezi.
Mbarali Finest tweet media
Indonesia
3
5
11
875
Mbarali Finest
Mbarali Finest@ABBISAITHJR·
@iamkizzyh Unaweza Kuwa Na Kikosi Kikubwa Ila Uwezo Mdogo Pia Uwezo Mkubwa Ila Kikosi Kidogo. Yote Yanawezekana Muhimu Hakikisha Una Internet Yenye Kasi Na Simu Iliyo Na Uwezo Mkubwa Pia
Filipino
2
0
4
362
MUITALIANO 
MUITALIANO @iamkizzyh·
Nimecheza Dls, Fc mobile na Efootball Ni efootball pekee ukiwa na kikosi kidogo unaweza ku-compete na mwenye kikosi kikubwa 😃😃 hayo mengine hutoboi labda mtandao ukubebe
Filipino
10
13
153
8.3K
Mbarali Finest retweetet
David Hundeyin
David Hundeyin@DavidHundeyin·
Personally, I'm learning Swahili and I think as an African, wherever on the continent you come from, that language is the future for a variety of reasons. That's the most important language our kids will need to speak over the next 25-40 years. I'm not wrong about this. I'm just early.
Dave@d_e470

My language is only spoken by 7 villages in the entire world. I assure you, my children don’t need it for anything. The only Nigerian language i owe my kids is Pidgin☺️ (which is actually more common in my state than my language)

English
103
628
2.9K
289.2K
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Imagine dying in your 30s years 💔💔.
English
16
16
261
16.8K
Mbarali Finest retweetet
Joel Ntile
Joel Ntile@JoelNtile·
Mtandao wa reli aliopanga mkoloni mjerumani kuujenga miaka hiyo tangu mwaka 1890 Serikali ya Ujerumani ilipoamua kuendesha wenyewe koloni badala ya kutumia kampuni. Alifanikiwa kujenga kilomita 1,600 kati ya takribani kilomita 5,000 walizopanga kujenga.
Joel Ntile tweet media
Indonesia
29
77
290
32.2K
Mbarali Finest retweetet
CineBlast🍿
CineBlast🍿@Binamu01·
Wakubwa hivi mnavyo waambia wenzenu wasioe single mother mnakua mko serious au mnachangamsha tu kijiwe
Indonesia
13
11
70
6K
Mbarali Finest
Mbarali Finest@ABBISAITHJR·
Kaka Nicheki Nikuunganishe Na Mtu Ambaye Huwa Coordinate Hizo Programs Za Coaching. Ninachojua Ni Kwamba Kwa Sasaivi ÷ Grassroots & Diploma D Zinaendeshwa Na Vyama Vya Soka Vya Mkoa. Diploma C And Above Zinaendeshwa Na TFF Wao Wenyewe Kupitia VituoVyaUfundi VyaTangaNaKigamboni
chosen_@JabbarXCVII

@BracuszCadabra Hivi baada ya Caf Diploma D gharama za madaraja ya juu zimekaaje..

HT
0
0
1
19
Mbarali Finest
Mbarali Finest@ABBISAITHJR·
Kwa Sasaivi Imani Imeanza Kuja Kwa Baadhi Ya Makocha (Sura Mpya). Pitia Baadhi Ya Coaches Wa Vilabu Vya Under 20 Pia Baadhi Ya Championship Teams. Pengine Baada Ya Miaka 5 Tutaona Sura Mpya Kutosha Kwenye Mpira Wetu. Muamko Wa Watu Kusomea Coaching Ni Mkubwa Sana.
Filipino
0
0
0
2
Mbarali Finest
Mbarali Finest@ABBISAITHJR·
Kabisa Kaka Makocha Wanazunguka Wale Wale Kwenye Team Zetu Hakuna Sura Mpya Kabisa. Lakini Pia Sababu Nyingine Kulikuwa Na Poor Recruitment Miaka Ya 2021/20 Lakini Kwa Sasa Angalau Kuna Recruitment Ya Uhakika Chini Ya Mkurugenzi Wa Ufundi Wa TFF Bwn Oscar Mirambo.
BracuszCadabra@BracuszCadabra

🔵Sehemu nyingine inayohitaji Total Overhaul kwenye mpira wetu ni cóaching department Makocha wameendelea kuwa walewale wakaibadililishana vilabu Kila msimu Hakuna sura mpya zinazoweza kuleta mabadiliko matokeo yake tumeendelea kuwa mentality ya aina Moja kwa vilabu vya kati

Filipino
1
0
0
20
Mbarali Finest
Mbarali Finest@ABBISAITHJR·
Nafikiri Jaribu kuheshimu alichokifanya Kwenye Team alizopita pia heshimu mafanikio yake.
Indonesia
0
0
0
5
Mbarali Finest
Mbarali Finest@ABBISAITHJR·
Labda umemjua Ibenge Akiwa Berkane. Hao Berkane Unaosema Walibebwa, Sio Wao tu Hata Al Ahly Na Wydad Casablanca Walipochukua Haya Makombe Miaka Ya Karibuni Kulikuwa Na Viashiria Vya Kubebwa. Lakini Haiondoi Ukweli Kuwa Walikuwa Bora Kwenye Hizo Campaign.
BracuszCadabra@BracuszCadabra

Sijawahi kuwa shabiki wa Gaffer ni kocha wa kawaida(Mzee wa kujihami) mwenye BIG PR Bahati kwake alichomokea kwenye kizazi Cha dhahabu hasa Vita Club Ile ya Makusu,Ngoma,Kazadi,Luzolo,Bangala,Munganga na wengineo Baada ya uzao ule amebaki na jina kubwa ila uwezo wa kawaida

Indonesia
1
0
1
74
Mbarali Finest
Mbarali Finest@ABBISAITHJR·
Anaitwa D'jaro Deus Arungu Kutoka Mara
Indonesia
0
0
1
12
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Oyaa niko hapa nachagua magodoro. Nichukue godoro gani na la Size gani wakuu 🙆‍♂️ Mimi najifikiria Nichukue QFL Dodoma 5*8 Tx au 5*10 Tx Wewe unanishauri nichukue lipi na kwa nini?
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
19
9
104
19K
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro)
Milioni 100+ ( $40k+) yako ya kwanza iko kwenye kuuza stadi yako ambayo sasahivi unalipwa 700k kwa mwezi. Kitu pekee unatakiwa kufanya ni kuleverage internet na kutafuta masoko yanayolipa vizuri na kuupgrade skills zako. Skill niliyoiuza Tzs 20k hadi 100k miaka michache iliyopita kwa sasa inanilipa hadi 3M kwa client mmoja. Kwenye kazi za mtandaoni kitu mteja ananunua ni value unayompa so wateja wengi wapo tayari kulipia kiasi chochote umeomba. Instead ya kusema 100M+ haiwezekani tenga muda huu jifunze stadi mpya ya kidijitali na utafute client. Chini hapa ni screenshot ya earning ya 12 months ya freelancing, unaweza ukaona muda wa screenshot ni muda wa tweet hii ilipoandikwa especially kwa mnaohisi ni data za kupikwa. Mwisho, sipokei mwanafunzi yeyote wa haya masuala, kuna Coursera, kuna Udemy unaweza enda kujifunza self learning
Digital Nomad (Your Fav Dijito Bro) tweet media
Indonesia
14
12
126
16.2K
HZ
HZ@HzMnkai·
@MkulimaKante Ziko nyingi sana mkubwa Sijawahi fika Hotel yoyote ya Nyota 5 ,Sijawahi fika Hifadhi ya Taifa yoyote ile isipokua Saadani , Sijafika Mikoa yote Tanzania. Tanzania kubwa sana aisee ila nimefika karibia kanda zote za Tanzania kwa uchache sio sana.
Indonesia
2
0
3
117
Kante
Kante@MkulimaKante·
Ukiwa unaenda Kigoma kwa kutumia treni kuna kijiji kimoja kipo Singida hapo kuna kuku huwa zinauzwa kwa madirisha ya treni😁 Size ya wale kuku huwa inaogofya sana ni kubwa afu bei yake ndogo hadi unashtuka kama ni kuku kweli au ndege mwitu😁🫵
Indonesia
33
19
369
27.3K
Mbarali Finest retweetet
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Uraibu wa Tramadol: Janga Linalonyemelea Familia za Kitanzania Kimya Kimya Na Jackline Kuwanda Usiku wa saa sita, Magreth Isaya [sio jina lake halisi] mwenye umri wa miaka 40 na mama wa mtoto mmoja, alianza kusumbuliwa na maumivu makali ya vidonda vya tumbo. Usiku huo, huo alikimbizwa hospitali kupatiwa matibabu, na ili kupunguza maumivu hayo Magreth alilazimika kuchomwa sindano ya Tramadol. Magreth anaeleza kuwa baada ya kuchomwa sindano alipata nafuu, ambapo baada ya siku tat alirudi nyumbani.Hata hivyo baada ya mwezi mmoja kupita, Magreth anasema alianza kusikia tena maumivu makali ya vidonda vya tumbo. “Nikaenda tena hospitali wakanichoma sindano ya Tramadol, wakanipa na vidonge. Walinipa vya siku tano, wakaniambia nikisikia maumivu niwe nakunywa kimoja mara mbili, kwa hiyo asubuhi na jioni,” anasema. “Kwa hiyo nikachoma hiyo sindano, nikapewa na vidonge nikarudi nyumbani.” Tramadol ni dawa ya kutuliza maumivu inayotumika kupunguza maumivu ya wastani hadi makali. Mara nyingi hutumika kwa watu wanaoumwa Kansa, Selimundu na magonjwa mengine yanayo sababisha maumivu makali. Kutokana na ahueni aliyoipata punde tu baada ya kutumia Tramadol, taratibu Magreth akaanza kufanya utumiaji wa Tramadol kuwa mtindo wa maisha. Hakuhangika tena kufuata maelekezo ya daktari. “Nikawa nikisikia tu maumivu nakunywa vile vidonge. Kwa hiyo nikawa nimejua kumbe nikiumwa vidonda, nina uwezo wa kwenda kununua Tramadol, nikanywa nikapata nafuu,” anaeleza Magreth akiongea na The Chanzo Januari 19, 2026. “Kwa hiyo baadaye sasa nikawa naenda mwenyewe kununua vile vidonge, nilikuwa nanunua kila siku nilikuwa nanunua vidonge vitano kwa Shilingi 1000. Kwa hiyo mimi nilikuwa nakunywa viwili siyo kimoja sasa.” “Nilikuwa nakunywa viwili asubuhi, viwili jioni basi nikawa sasa siendi tena hospitali. Kwa hiyo nikinywa hivi vidonge, vidonda haviniumi kabisa . Basi nikawa naenda ‘pharmacy’ nanunua vile vidonge, nakunywa asubuhi na jioni. nilikuwa nikiamka tu kwenye kitanda lazima ninywe vidonge viwili,” anaendelea kueleza akiongea na mwandishi wa The Chanzo. Soma zaidi>>>thechanzo.com/2026/02/24/ura…
The Chanzo tweet media
Filipino
11
36
115
19.2K