
Yani taabu tupu
Centipede
8.6K posts

@ADUII_007
Life is not a garden, don't be a hoe.

Yani taabu tupu

Mwl. Nyerere alikuwa na unyamwezi fulani hiv yani unyama Akili kwa wingi ndio maana aliwazidi maarifa wezake wa zama zake

Kati ya wazazi na pastor ni mgani anafaa kununuliwa zawadi wa kwanza mtoto akipata kazi😊

Kweli natamani watu waanze kuwajibishwa Kwa makosa Yao.. Unasafirisha kemikali, dereva na gari vyote havina ulinzi dhidi ya kemikali.. Dereva mpaka anatapika damu? Really..? I know wafanyabiashara mnatanguliza faida kuliko maisha ya watu wengine.. lakini this is too much 🤧





Kama kuna hasira na Denge basi malizane nae tafadhali. Familia naomba msiijumuoshe. Coco has been here, supported a lot. Embu tujitahidi sana na tuwe na akili ya kutambua kama kuna kosa ama ala, why attack coco? Deal na huyo denge! Ni mke mwema, mstaarabu. Dont cross the line!

#TajiriLaKihaya Madenge mambo Vipi…



Watu tunakosea, ila Madenge alizini, PM Mwigulu akapita mule mule, na Chande leo kapita mule mule, huyu janja tukikutana mbinguni tutazinesa mbele ya Mungu baba

"Mtu mzima akikwambia uongo na akijua unajua ni uongo ila ukakubali kuwa ni ukweli anakuona zezeta" ~ Nyerere

Nchi nyingi duniani wachambuzi wa football ni wachezaji wastaafu, makocha wastaafu, wakufunzi na viongozi wastaafu wa mashirikisho ya mpira wa miguu. Tanzania wachambuzi wengi ni mashabiki wa Simba na Yanga!

Huu ni uongo ... mnakuwaga na agenda za kisenge kweli


Bold of people to assume kwamba mpaka inafika stage ya DIALYSIS basi ni pombe tu.
