CHADEMA

98 posts

CHADEMA

CHADEMA

@CHADEMA

Chama cha Demokrasia na Maendeleo

Tanzania Beigetreten Aralık 2012
685 Folgt4.9K Follower
CHADEMA retweetet
Freeman Mbowe
Freeman Mbowe@freemanmbowetz·
Nimepokea kwa mikono miwili maamuzi ya uchaguzi wa Mkutano Mkuu wa Chama chetu CHADEMA uliohitimishwa leo asubuhi 22 Januari 2025. Nampongeza Mhe. Tundu Lissu na wenzake kwa kuaminiwa kutwikwa jukumu la Uongozi wa Chama. Nawatakia kila la kheri katika kukipeleka mbele Chama chetu.
Freeman Mbowe tweet media
Indonesia
2.5K
2.9K
13.8K
808K
CHADEMA retweetet
Mdude Nyagali
Mdude Nyagali@mdudenyagali·
Mambo ya hovyo kabisa haya fikiria watu wote wanaomuunga mkono Lissu wamekatwa kwenye kugombea kamati kuu isipokuwa Pambalu, halafu chawa wa Mwamba wamepitishwa wote kama walivyo. Najaribu kuwaza hivi kweli hawa wenzetu dhamila yao ni kuishinda dola? Au na wenyewe ni sehemu ya dola? Kwamba chawa Asenga na Naftari ni bora kuliko mzee Ikuwo, Askofu Mwanamapinduzi, Rose Mayemba na wengine?
Mdude Nyagali tweet media
Indonesia
343
140
884
139.4K
CHADEMA retweetet
Masoud Kipanya
Masoud Kipanya@masoudkipanya·
Katunika
Masoud Kipanya tweet media
Indonesia
88
210
2K
0
CHADEMA retweetet
fatma karume aka Shangazi
fatma karume aka Shangazi@fatma_karume·
Naomba kuuliza Samia Suluhu haelewi kuwa #Tanzania haina machifu? Haelewi kuwa machifu waliondolewa kwa mujib ya SHERIA na wanakatazwa Kwa SHERIA kutenda function ya kichifu? Nani anaemshauri Samia Suluhu jamani? Kaapa kulinda KATIBA na SHERIA za Nchi hii, kwanini anafanya hivi?
fatma karume aka Shangazi tweet mediafatma karume aka Shangazi tweet media
Haki Ngowi@Hakingowi

🔹Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania,Chifu Hangaya Rais Samia Suluhu Hassan,akiwa na Vazi la Kimila la Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania yani Hangaya yani ni Nyota inayong`aa,katika Tamasha la Utamaduni(Mila na Desturi zetu)Leo katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mwanza

Indonesia
148
76
364
0
CHADEMA retweetet
BBC News Swahili
BBC News Swahili@bbcswahili·
Mwenyekiti wa chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif amekamatwa kisiwani Zanzibar bbc.in/3mrzMFa
HT
110
301
1.7K
0
CHADEMA retweetet
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Developing story! 👉@SeifSharifHamad anashikiliwa kituo kikuu cha polisi Zanzibar !
Filipino
13
82
886
0
CHADEMA retweetet
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Alert 👉Whatsapp calls restricted in Tanzania ! Shame and sad 👉Meko ameharibu sana hii nchi kwa kumsikiliza dikteta mwenzake Kagame 👉Lakini tutakutoa tu yaani hatutanii we are serious! #FreedomOfSpeech
Eesti
33
139
1.2K
0
CHADEMA retweetet
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Wakati walipitisha sheria inayokataza matumizi ya VPN, nilijua ni kwa lengo ya ku-restrict wananchi kupata access ya internet. Utakuta wao washahamasishana WOTE wana VPN lakini mwananchi ni kosa TUMIENI VPN - ni haki yetu kupata habari! #ChangeTanzania #ZanzibarLivesMatter
Indonesia
80
253
1.7K
0
CHADEMA retweetet
Hilmi Hilal
Hilmi Hilal@HilmiHilal88·
Taarifa! Pemba: Jimbo la Wingwi wamepiga Risasi za moto watu wanne (4) na 1 Amefariki. Alofariki Masoud Salim Fadhil, kijana anaekisiwa kuwa na miaka 16. #ZanzibarLivesMatter #UsikuWaMashahidi
Hilmi Hilal tweet media
Filipino
24
131
630
0
CHADEMA retweetet
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Alert 👉Vikosi vya wanajeshi na TISS wanapanga kwenda kumzuia @SeifSharifHamad asitoke ndani kuanzia leo ! 👉Meko ulionywa hukusikia sasa damu zimetapakaa mikononi mwako
Filipino
37
156
1.5K
0
CHADEMA retweetet
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Apparently the Tanzanian government restricted twitter both in the mainland and Zanzibar 🤔. Tough times ahead of us! #FreedomOfSpeech
English
44
153
1.3K
0
CHADEMA retweetet
Kigogo Media
Kigogo Media@kigogo2014·
Alert from Pemba 👉 12 people killed 👉 38 severely wounded 👉 several not know their whereabout! 👉Police are hiding and collecting people who are wounded
English
53
206
1.5K
0