Captaιn Mƙυυ🎖️
63.1K posts

Captaιn Mƙυυ🎖️
@CaptainGerry_
S I Y A B O N G A B A B A🙏🏽
Morogoro, Tanzania Beigetreten Aralık 2019
2.7K Folgt18.4K Follower
Angehefteter Tweet

@AllyAssed13070 @kilepi_tweve Sisi ndio makafiri, ulitaka ukaribishwe kitimoto shehe??
Filipino

@Kingvannytz_ @champtz_ Silo.
Muendelezo wa SILO umekua bora kuanzia S01 hadi ilipoishia, tusubiri na Hao jackal tuone wataleta nn S02, wakitushawishi tutawapigia kura.
Filipino

Ukiona tu Post ina comment nyingi kuliko likes na Reposts, ujue humo ni pumba zimeongelewa wala usisikilize.
Jambo TV@Jambotv_
VIDEO: Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, amesema kuwa ni nadra kumpata Rais mwenye upekee wa kuacha majukumu ya Ikulu na kwenda porini kushiriki shughuli za kurekodi filamu. Akizungumza katika kikao kazi cha Maafisa Utamaduni, Sanaa na Michezo kilichofanyika ukumbi wa AICC jijini Arusha, Msigwa alisisitiza kuwa hatua hiyo inaonyesha namna uongozi wa juu unavyothamini sekta ya sanaa na utamaduni nchini. Alieleza kuwa ushiriki wa Rais katika shughuli kama hizo unatoa motisha kwa wadau wa tasnia ya filamu na sanaa kwa ujumla, huku ukiitangaza Tanzania kimataifa kupitia vivutio vyake vya asili.
Filipino

@EsirEid Japo ni nje ya Africa, ila kuna Pisi za Israel, zimenyoka balaa.
Filipino

#TajiriLaKihaya
Twende mbele Turudi Nyuma….
Manzi za Rwanda huwa ni wazuri tu kwenye Picha zinazotumwa mitandaoni…
Ukifika Rwanda hakuna kitu kule aisee💔
Hadi unajiuliza umepotea njia nini😂😅
East Africa - Tanzania Manzi zetu ni warembo saaana…
Kwa mbali tunafuatiwa na manzi za Mbarara,Kabale , Masaka..western districts of Uganda kule kuna Pisi za Kwenda!
NB: UKIBISHA UWE UNAUZOEFU KUNISHINDA!
Indonesia

@EsirEid Japo ni nje ya Africa, ila kuna Pisi za Israel, zimenyoka balaa.
Filipino

Chini ya uongozi thabiti wa Dkt. @SuluhuSamia, mianya ya ubadhirifu inaendelea kuzibwa kwa vitendo. Ni dhahiri kuwa rasilimali za Watanzania sasa zipo mikono salama na yenye uaminifu mkubwa.
Tunaendelea kuijenga Tanzania yenye nidhamu, uwajibikaji, na ustawi wa kweli kwa wote.
Indonesia

@zoomafrika1 Asylum from what exactly ??
Tanzania is one of the most peaceful and politically stable countries in Africa. Since its independence in 1961, the country has never experienced a civil war or any major internal strife.
English

@swahilitimes Hatutoshangaa kuona Waziri wa Viwanda anatoa maagiza kwenye sekta za afya.
Indonesia

@Elsukay0 Njoo tunduma tuone unavyokua Financially free na ss tukuige😀😀😀
Eesti
Captaιn Mƙυυ🎖️ retweetet
Captaιn Mƙυυ🎖️ retweetet

@mkufunzibora @kichefuchefuu Kuna mambo waachie wenye akili, wewe huwezi elewa hapo.
Filipino


















