Trust The Process

74.1K posts

Trust The Process

Trust The Process

@DaveConscious

Boychild Rights Activist| Guru | Marketing Enthusiast | Here For Fun|

Beigetreten Haziran 2013
817 Folgt3.3K Follower
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
Mwanasheria wa Taasisi kawaambia Majamaa wajitoe kwenye hii mbanga limuangukie mzee wa jambia pekee, Hapa ndio unaona umuhimu wa kuwa na Mwanasheria mzuri wa kukuguide. Ngoja tuone jamaa atafika wapi, Acheze tu chini. Hii kufurahisha Mbogi Inaenda Kumcost!
FELIX JASON@Iamfelixtz

🚨 UPDATE: Uongozi wa EFM na TV E umeomba radhi kwa bodi ya wadhamini wa klabu ya Young Africans 🇹🇿 kutokana na maudhui yao yaliyoruka Aprili 17, 2026 kwenye kipindi cha michezo cha Number 10 yaliyotolewa na Mchambuzi Wilson Oruma maarufu kama Mzee wa Jambia.

Indonesia
1
0
0
160
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
Nikiuangalia Uwanja wa Amaan Zanzibar, Najiuliza kwa nini huku Bara tulishindwa kujenga Viwanja Kama Hivi At least Kwenye Majiji yetu Mengine yenye timu Ligi Kuu apart from Dar n Chuga; i.e Mwanza, Dodoma, Mbeya, Tanga !? Tungekuwa Pazuri Sana !!
Indonesia
0
0
3
1.9K
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
@tutla7 Kweli Mzee, Kunae Namna Kila Nikienda Kuosha Gari Sehemu tofauti huwa nakaa chini na wamiliki kuielewa vizuri. Ngoja niendelee kujifunza, Kuna vitu ukiweza kuviweka sawa ni moja kati ya Profitable business bhana.
Indonesia
0
0
5
594
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
Yule Jamaa wa The School of Hard Knocks alimuinterview Billionaire Mmoja US source yake ya utajiri n wapi anaweza invest in today's world, Akasema in CarWash Business. Hii biashara bado naifatilia na kuiangalia kwa jicho la 3 hapa Bongo, Kunae Namna na Pesa!!
Indonesia
5
13
151
8.8K
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
Simbu na Geay naona wanatuweka pazuri kwenye Marathon duniani, Plus now Simbu kalamba endorsement ya Asics after Geay kulamba ya Adidas. Wako na Camp ya Kugroom Upcoming runners Manyara, Inahitajika Push sasa ya Gavoo tuwe na Proper Camps za Kule Iten Kenya!!
Filipino
0
0
0
75
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
@tutla7 Hamna mzee, Ghana hawaifikii Mzansi kwenye hiyo sekta. Hata Bongo tu Ghana hawatupati, Kule ni ka Rwanda tu Sura zote ni Common na Hakuna Varieties nyingi kama huku or SA !!😂😂
Indonesia
1
0
0
56
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
Hii Kipindi kwanza Hip Hop ilikuwa imeshika sana bhana, Shows nyingi ilikuwa Humkosi kama Sio Roma basi ni Joh Makini, Godzilla (RIP) or Izzo B. Nyuma yao Dj Choka, Mlikuwa mnaruka Kwanja hadi asubuhi !!🚀🚀
Trust The Process@DaveConscious

Majamaa wanamchukulia poa sana Roma aisee, Bora kamkumbusha jamaa pale kuwa 2010 alikuwa wapi. Hiyo Kipindi Roma ilikuwa ana shows back to back, Kwanza zile College Bash na Fiesta tulikuwa tunapiga kelele airudie Mathematics hata mara 10. Hakuna kushuka!!😂😂

Indonesia
0
0
1
107
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
@hamzaalbhanj Sio Poa, Kwao date ni sehemu ambazo wanajua hawawezi kwenda hapo kula kwa pesa zao. Bado atataka afungiwe takeaway, Avoid Locals !!😂😂😂
Indonesia
1
0
1
14
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
Majamaa wanamchukulia poa sana Roma aisee, Bora kamkumbusha jamaa pale kuwa 2010 alikuwa wapi. Hiyo Kipindi Roma ilikuwa ana shows back to back, Kwanza zile College Bash na Fiesta tulikuwa tunapiga kelele airudie Mathematics hata mara 10. Hakuna kushuka!!😂😂
Filipino
0
0
1
147
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
One of the Best airport hapa Africa; Plus hapo CT kuna Vivutio Vingi Sana Vya Kutembelea From Table Mountain to Kirstenboch Garden, Robben Island, Cape Point, Franschoek Vineyards, V&A Waterfront, Camps Bay Beach etc. Moja kati ya Miji Mizuri Sana Kutalii !!
hamza Lule@hamzaalbhanj

CT International Airport

English
1
0
1
165
Trust The Process
Trust The Process@DaveConscious·
Max Anazima Kila Game Bhana, Ifike hatua apumzike kabla fatigue haijashusha kiwango chake !!
0
0
0
38