Mussa Dida

519 posts

Mussa Dida

Mussa Dida

@DidaMussa

Senior Lecturer@NM-AIST,

Palo Alto, CA Beigetreten Eylül 2017
390 Folgt561 Follower
Mussa Dida
Mussa Dida@DidaMussa·
We are hiring, Help to share with your peers.
Mussa Dida tweet mediaMussa Dida tweet media
English
0
4
3
681
Mussa Dida
Mussa Dida@DidaMussa·
Eid Mubarak! Wishing you and your loved ones joy, warmth, and blessings on this special day. May your Eid Fitr celebrations be filled with happiness and cherished moments together.
English
1
0
5
148
Mussa Dida retweetet
nmaist _official
nmaist _official@NM_AIST·
NM-AIST na Shirika la Posta Tanzania zimekubaliana katika kuleta mabadiliko ya pamoja katika eneo la utoaji huduma kidigitali.
nmaist _official tweet medianmaist _official tweet medianmaist _official tweet medianmaist _official tweet media
0
3
16
1.1K
Mussa Dida retweetet
Faraja Kotta
Faraja Kotta@FarajaNyalandu·
I love what is happening in the #edtech space in Tanzania. From policies, curriculum, teachers support, devices and content. Been a long ride but I am optimistic. Grateful to champion innovation and tech in education. Thank you @NM_AIST for an insightful visit cc @wizara_elimuTz
Faraja Kotta tweet media
English
2
17
109
5.2K
Mussa Dida retweetet
Togolani Mavura
Togolani Mavura@tonytogolani·
Wewe ni mwanafunzi wa shahada ya kwanza uliye mwaka wa tatu au wa nne, au mwanafunzi wa Shahada ya Pili katika Chuo Kikuu? Unasomea masomo ya Physics, Chemistry, Mathematics, Biology, Brain & Cognitive Science, and Medical Science? Je, unatamani kufanya internship ya muda mfupi nchini Korea? Kama majibu yako ni ndio, basi omba fursa ya kufanya Internship nchini Korea katika Chuo cha Korea Advanced Institute for Science and Technology (KAIST). Programu hiyo ya wiki 8 inatarajia kuanza June 24 hadi Agosti 16. Mwisho wa maombi ni tarehe 31 Machi, 2024. Maelezo zaidi fuatilia link hapo chini: kaist.ac.kr/site/kr/html/f… @amour_maryam @muhimbiliuniver @KairukiSciConf @juliemakani @NM_AIST @TanzaniaInKorea
Togolani Mavura tweet media
Filipino
13
169
370
71.9K
Mussa Dida
Mussa Dida@DidaMussa·
Hivi hizi email za @CRDBBankPlc ni kwangu tu au ni kwa kila mtu. Yaani daily napokea email, halafu hakuna option ya unsubscribe wala forgot password haifanyi kazi.
Mussa Dida tweet media
Filipino
1
0
0
63
Mussa Dida retweetet
CENIT@EA
CENIT@EA@EaCenit·
Congratulations to our outreach coordinator Dr @DevothaNyambo on being chosen for the Mandela Washington Fellowship!
CENIT@EA tweet media
English
1
2
15
548
Mussa Dida
Mussa Dida@DidaMussa·
The thing is amazing, I hope the history is clearly mentioning Tanzania and the country is benefiting. I learned a lot from my visit.
Mussa Dida tweet media
Abertus Paschal 🇹🇿𝕏@rutaraka

📍Berlin, Ujerumani 🇹🇿🇩🇪 Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. @AngellahKairuki (Mb.) akiangalia mabaki ya mjusi mkubwa duniani aina ya “Dinosaur” yaliyohifadhiwa katika jumba la Makumbusho ya Viumbe Hai Berlin nchini Ujerumani. Kushoto ni Mkurugenzi wa Sayansi, Makumbusho ya Viumbe hai Berlin, Dkt. Andreas Kunkel. 📸: W/Maliasili na Utalii

English
0
0
2
102
Mussa Dida
Mussa Dida@DidaMussa·
2/2 Kwa jinsi ninavyochukia foleni, naamini maisha yangu na ya watanzania wengi yangekuwa tofauti kama sio uongozi wako. Hii ndo hadithi yangu juu ya utawala wako Mzee Mwinyi, Nitawahadithia wanangu na wajukuu zangu, Ahsante tulilivuka salama #RIEP Ali Hassan Mwinyi,
Mussa Dida tweet media
Mussa Dida@DidaMussa

1/2 Mimi sio mwanasiasa wala mwanahistoria, Kwa hiyo sina mengi ya kusema kuhusu utawala wako Mzee Mwinyi. Ila ningependa kushukuru kuwa sikupanga saana foleni za kununua sukari, ninakumbukumbu chache za foleni za kununua sukari. Naamini hii ni sababu ya juhudi na uongozi wako.

Indonesia
0
0
0
87
Mussa Dida
Mussa Dida@DidaMussa·
1/2 Mimi sio mwanasiasa wala mwanahistoria, Kwa hiyo sina mengi ya kusema kuhusu utawala wako Mzee Mwinyi. Ila ningependa kushukuru kuwa sikupanga saana foleni za kununua sukari, ninakumbukumbu chache za foleni za kununua sukari. Naamini hii ni sababu ya juhudi na uongozi wako.
Mussa Dida tweet media
Indonesia
1
0
2
188