Manager anaitwa Dfighter ni Tapeli hasa alinidhulumu Milion 3 mpaka leo kakimbia na hela zangu na kani block !. Mi namuangalia tu nilimwambia Tanga Hatoki Fala atahangaika na maisha mpaka alete hizo hela zangu za biashara yan ni atateseka haswaaaaaa anafikir kila jtu anatapeliwa