lello
1 posts


KWAHERI NGAIZA: Mwili wa aliyekuwa mwandishi wa #AzamMedia marehemu Nicolaus Ngaiza umewasili katika Kanisa Kuu la Jimbo Katoliki Bukoba Cathedral tayari kwa ibada itakayoanza muda huu.
#RiPNgaiza #AzamTv #TutaonanaBaadaye



Indonesia
lello
1 posts




