Mimi naye nitashare huku initoke ,, siwezi jinyonga 😂 nmepata dem wangu na boy wake after kugundua nmejua amekuwa mkali na anataka we end things ety nmekuwa nikimspy... Bana hapa sijui cha kufanya ju mimi sijafikiria kuacha hii mali .
Hapa nifanye aje .......?💔🥺