Utopolo mwakakundi

2.1K posts

Utopolo mwakakundi banner
Utopolo mwakakundi

Utopolo mwakakundi

@GeraldLMasatu1

Kagera Beigetreten Ağustos 2021
106 Folgt21 Follower
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
🚨UPDATES, YANGA-WACHAMBUZI Yanga kupitia Excellent Attorneys (Advocate) imemuandikia barua Alex Ngereza, ya kisheria juu ya kauli yake baada ya mchezo kati ya Yanga-Mbeya City Kabla ya kwenda mahakamani Yanga wanataka: ✅kuombwa radhi siku 3 mfulizo ✅Walipwe fidia ya 5Bn
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
4
1
151
7.6K
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Yanga wameomba Fidia ya Bilion 10 kwa Wilson Uruma endapo akishindwa kuthibitisha maneno yake. Watu wako serious sana
Adventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet mediaAdventure-360 tweet media
Indonesia
47
32
362
40.2K
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
“Ukombozi wa Mpira wetu upo kote kote ndugu zangu, Hata hii ya kukomesha Tabia ya mtu kutoa tuhuma kwa Taasisi/Mtu bila ushahidi wa jambo husika ni jambo linaloweza kuulinda kabisa mpira wetu na mijadala ya kipuuzi. Msichambue Ukombozi mmoja tu” 🖊️ Ally Kamwe
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
10
4
203
13.9K
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Wakati tuanazindua Jezi zetu msimu huu tuliwaambia kitambaa chetu ni Grade 1 yaani kitambaa chetu cha Jezi na kitambaa cha Jezi cha Manchester United au Rela Madrid ni sawaa. Hiyo nguvu iliyotumika hapo kumvuta Aura inaweza kuchana mbao au kufua chuma lakini jezi yetu haichaniki wala kuvutika.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
हिन्दी
6
4
87
3K
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
Wachambuzi wengi ni Deiwaka, hawana ajira, ofisini kwao wanaambiwa tumekupa platform nenda kajiongeze. Kuna wanajiongeza kienyeji enyeji, wakiitwa mahakamani hawana hata uwezo wa kulipia gharama za kesi, huruma inaanza kutumika. Niwakumbushe tu, hizi timu ni taasisi” 🎙️Massanza
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
14
9
367
9.4K
Utopolo mwakakundi
Utopolo mwakakundi@GeraldLMasatu1·
@Iamfelixtz Kwa ujinga unaofanywa na tff Kupitia marefa wake litaendelea kuiumiza simba maana sidhani kama kuna shabiki wa simba atakubali huo uonevu asirushe ngumi
Filipino
0
0
2
886
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
Faini baada ya kikao cha Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (Aprili 18, 2026) 🔴 Simba Sc - Tshs 15m 🔵 Azam Fc - Tshs 5m ⚪ TRA UTD - Tshs 5m 🔴 Coastal Union - Tshs 5m 🔵 Singida BS - Tshs 5m 🟢 Mudathir Yahya - Tshs 1m
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
13
7
500
19.5K
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
“Nikiri tumepokea meseji na maoni ya mashabiki. Hili jambo halitapita hivi hivi, tume'identify' wachambuzi watatu, tume'file' kwenye mlengo wa kisheria. Oruma alisema alikuwa na taarifa nyingi na sisi (Yanga) tunataka hizo taarifa. Ni jambo ambalo limetukwaza sana,” 🗣️Ali Kamwe
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
10
5
269
14.5K
Utopolo mwakakundi
Utopolo mwakakundi@GeraldLMasatu1·
@Iamfelixtz Ni mpango wa tff na marefa wake kuhakikisha Simba inafungwa kila mechi ila Mungu hajapenda hilo litokee.
Filipino
1
0
0
146
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
𝗖𝗟𝗘𝗔𝗡 𝗦𝗛𝗘𝗘𝗧𝗦 - 𝗡𝗕𝗖 𝗣𝗟 🇹🇿 𝟮𝟬𝟮𝟱-𝟮𝟲 🇲🇱 D. Diarra - Yanga: 1️⃣0️⃣ 🇹🇿 A. Manula - Azam: 9️⃣ 🇬🇦 Amonome - TRA: 9️⃣ 🇳🇪 D. Kassali - Simba: 8️⃣ 🇹🇿 E. Johola - Mashujaa: 6️⃣ 🇹🇿 Yona Amosi - Pamba: 6️⃣
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Indonesia
1
12
454
7.8K
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
FT’ TRA 1-0 Pamba Pamba Jiji anapoteza mechi ya tatu (3) mfululizo 🤔 ❌Yanga (3-0) ❌Coastal (2-0) CRDB Federation Cup ❌TRA (1-0) Tangu alivyopoteza mechi ya Yanga hajafanikiwa kufunga hata bao kwenye mechi zake tatu (3) mfululizo
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
4
1
95
2.5K
Utopolo mwakakundi
Utopolo mwakakundi@GeraldLMasatu1·
@RevocatusMagum1 Manara alishasema , wenye akili utopoloni ni wawili tu. Mzee Sande na Kikwete. Kwahiyo haishangazi
Filipino
0
0
0
102
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨🚨BREAKING: Leo uongozi wa Simba unatarajia kukaa kikao ili kuamua hatima ya Selemani Mwalimu. Mkataba wa mkopo wa Selemani na Simba unatamatika mwishoni mwa msimu huu na Simba hawataki kabisa kumpoteza nyota huyo wa miaka (20). Usiku wa kuamkia Jana Rais wa Yanga Eng,Heris,aliwasiliana moja kwa moja na Rais wa Wydad Casablanca ili kumpta Selemani kwa mkopo wa mwaka mmoja. Yanga wako Tayari kulipa $50,000 (Tsh 129,971,550) kwenda Wydad Kama ada ya mkopo huo,lakini pia wameahidi kumlipa Sele mshahara wa Tsh 20m kwa mwezi. Jambo liko serious Sele anahitajika kote kote. Ameandika Hans Raphael kule instagram✍️
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
9
4
59
2.4K
Utopolo mwakakundi
Utopolo mwakakundi@GeraldLMasatu1·
@RevocatusMagum1 Ukiona mtu anabisha kwa hilo apelekwe milembe akapimwe ubongo.Yawezekana akawa na tatizo la afya ya akili.
Indonesia
0
0
0
94
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Kwangu mimi, Nickson Kibabage ndiye beki bora wa kushoto mpka sasa ligi ilipofikia. Labda kama atatokea mwingine kwa mechi zilizosalia. Ila mpaka sasa sio shaka kuwa Kibabage ndiye beki bora wa kushoto kwa sasa.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Filipino
14
3
101
1.6K
Utopolo mwakakundi
Utopolo mwakakundi@GeraldLMasatu1·
@BracuszCadabra Kocha Mexime? Huu ni mtihani wanajipa . Kule CAFCL wasipofunga magoli kama haya tutamnukuu Mstaafu JK kikwete kwamba mnanunua mechi mkienda CAF mnaishia raundi ya kwanza
Indonesia
2
0
2
177
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
✍🏽Mbeya City walifananisha Ngoma wakashindwa kutofautisha kati ya shamba la mpunga na uwanja wa mpira Gap kubwa kati ya mlinzi na mlinzi pamoja na mawasiliano hafifu Kuswitch off nyakati hatarishi Kujaribu kubishana na Yanga SC kwenye intensity ya mchezo
BracuszCadabra tweet media
Indonesia
5
2
84
2.3K
Utopolo mwakakundi
Utopolo mwakakundi@GeraldLMasatu1·
@tagatojtagato Haya magoli wanayofunga yanga tunategemea wayafunge na kule CAFCL. Wasipoyafunga tutajua huku NBCPL wananunua mechi.
Indonesia
0
0
0
52
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
HT’ Yanga 5-0 Mbeya City Mpira ni mchezo unaotaka UKATILI, Muangalieni Hashim Mussa yani hana hata wa kumlaumu … kila goli linawekwa KIKATILI Mbeya City wamejaa kwenye MFUMO hakuna namna Sema iliyemrejesha yule MSUDANI Yanga 😂🙌🏾🔥
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
2
0
49
1.7K
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
🚨GUEYE-SIMBA, KUNA MTEGO MAHALA Libasse Gueye ni mchezaji hatari wa Simba na naomba nibaki peke yangu kwenye hili! Sometimes uzuri wa mchezaji unategemea sana majuku na nafasi yake; hapa macho kwa kocha Steve Barker Simba isiingie mtego, huyu ni mchezaji wa daraja la juu📌
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
11
3
262
6.9K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🟥Box to box Centre Back
BracuszCadabra tweet media
English
27
25
667
13.7K
Utopolo mwakakundi
Utopolo mwakakundi@GeraldLMasatu1·
@SportsarenatzTz Kuna timu inaenda kucheza ilishaandaliwa mazingira ya ushindi . Kuna nyingine inaenda kupambana uwanjani ili ipate matokeo . So haziwezi kulingana. Hata hivyo wanawajenga kufanya vizuri CAF . Mwakani tutashuhudia tena bingwa wa NBCPL anaishia makundi huku mshind wa 2 akifika nusu
Indonesia
0
0
0
14
SportsArenaTz
SportsArenaTz@SportsarenatzTz·
Simba SC katika mechi 5 zilizopita: 🤝 Pamba 1-1 Simba ✅ Simba 3-0 TRA United ✅ Simba 2-0 Coastal 🤝 Azam 0-0 Simba 🤝 TRA United 0-0 Simba Mnyama tia maji tia maji 😬
SportsArenaTz tweet mediaSportsArenaTz tweet media
Indonesia
4
6
170
4K
BracuszCadabra
BracuszCadabra@BracuszCadabra·
🚨JUST IN:Akiwa tayari amekubaliana Kila kitu na Young Africans SC kiungo mshambuliaji Ramadhani Salum Chobwedo amesaini pre contract na Simba SC Leo
BracuszCadabra tweet media
Indonesia
56
10
478
30K