Incharge Pharmacist.

14.5K posts

Incharge Pharmacist. banner
Incharge Pharmacist.

Incharge Pharmacist.

@In_pharmacist

- Community Pharmacist - Health Systems Advocate - The Silent Pharmacovigilante - Global Health Research Advocate - Bsc Clinical Nutrition and Dietetics

Beigetreten Ekim 2021
726 Folgt389 Follower
Angehefteter Tweet
Incharge Pharmacist.
Incharge Pharmacist.@In_pharmacist·
— Researchers at the Georgetown University Institute for Reproductive Health identified the fertile window in the woman's menstrual cycle, using a computer simulation that took into account the probability of pregnancy.
Incharge Pharmacist. tweet media
English
1
2
3
469
Incharge Pharmacist.
Incharge Pharmacist.@In_pharmacist·
@mananajr_ - Kuna mdau mmoja tumepiga naye A'level. Tumemaliza Six, ndani ya miezi miwili tu naona Kluger inasimama mbele yangu. - Mdau akatoka kwenye hiyo chuma, hilo tukio lilinipa depression sijawai kupona mpaka leo 🤓 - Kufupisha story, jamaa alikua anapiga ya broker wa madini kahama.
Indonesia
1
1
23
1.2K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Unataka kushindana na mabroker wa dhahabu wa Geita utaweza kweli? Picha linaanza wale madogo wanaofanya ile kazi maboss wao wamewanunulia Crown wote🙌
Filipino
13
16
253
13.2K
Mwita C. Mwita
Mwita C. Mwita@Mwitah_tz·
Huduma ya abiria (commuters) ni sehemu ndogo sana ya biashara ya TRC ambayo ina cover only 17% ya mapato yao (hapo ume cover abiria wa SGR & MGR) huku rest of % ikitokana na biashara ya Freights/Mizigo. Sasa ukiwa na ajali za Freights 300+ kwa single FY huezi epuka hii hasara.
Mwita C. Mwita tweet media
Dada Conso 🐺@DadaConso

Shirika linapata vipi hasara Kila wikiendi treni imejaa..?? By ijumaa asubuhi kupata ticket kipengele.. seats zote zimeisha, mpaka jumatatu.. 🙌🏿 Au mie ndio kiazi, sielewi.. 🤔🤔🤔

Indonesia
5
6
12
2.9K
Incharge Pharmacist. retweetet
The SPECIAL ONE ™️
Mabosi,nahitaji gari za kutosha kutoka TANGA to Lusaka,Zambia. Mzigo ni Coil Paid $5800 80% Down payment. Gar inarud tupu Kupakia Tanga, Kama gari ipo Dar unawekewa mafuta, unakatwa kwenye malipo yako.
Filipino
1
18
31
841
Incharge Pharmacist. retweetet
eye zen hour 🥶
eye zen hour 🥶@eyezenhour·
the top 10 most valuable currencies (think resources) in the world in order and undisputed: 1. time 2. energy 3. attention / focus 4. freedom 5. trust / transparency 6. wisdom 7. agency / power 8. reputation 9. data 10. compute capacity 11. bitcoin 12. gold 13. silver 14. oil 15. land but almost all chase #16 first: money learn to master 1 - 3 and you will find 4 5 - 8 are worth more than any fiat 9 + 10 are the currencies of the future 11 - 15 are more valuable than a fed note money is printed paper with no meaning other than a government decree you need to learn to think differently if you want to escape the matrix
eye zen hour 🥶 tweet media
English
60
403
1.4K
67.6K
Almalik Mokiwa
Almalik Mokiwa@Almalik_Mokiiwa·
Kuwin trade tatu tu, tayari mbele ya jina umeenda badilisha umeongeza neno "FX" mbele. Haina neno mwanetu😂😂
Filipino
18
8
100
2.8K
Incharge Pharmacist. retweetet
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Charles Kichere amesema mwaka 2024/25 Bohari ya Dawa (MSD) ilipokea dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya TZS bilioni 20.28 vilivyokuwa na muda mfupi wa matumizi, kinyume na miongozo inayotaka kuwe na angalau asilimia 80 ya muda wa matumizi. CAG amesema hali hiyo imetokana na uhaba wa dawa na udhaifu katika mifumo ya ufuatiliaji wa bidhaa zinazopokelewa.
Swahili Times tweet media
Indonesia
18
21
261
13.1K
Incharge Pharmacist. retweetet
Lab Technologist 🔬
Lab Technologist 🔬@vitalisvedasto·
@swahilitimes Hawa MSD jau sana waliowahi leta vifaa purple tube na red box 8 kila box ina pack ya 10 , 10*100 kila pack mara * 8 harafu ni .., haikuishia hapo wakaleta jokofu la damu salama likiwa limevunjika kioo cha mlango na hawakuwahi kubari kulibadirisha
Indonesia
0
2
4
777
Incharge Pharmacist.
Incharge Pharmacist.@In_pharmacist·
@bajabiri - Juzi kati tunaenda Mwanza, dereva kumuacha konda Igunga. Konda kapiga simu 20+ dereva apokei 💔
Indonesia
0
1
12
1.7K
Ebrah Axel
Ebrah Axel@ebrahaxel·
Twitter madaktari… hichi nini?
Ebrah Axel tweet media
Türkçe
47
5
68
15K
Modern Health
Modern Health@modernHealthMe·
My friend just noticed something unusual on his girlfriend’s belly, and he’s quite concerned. Does anyone have any idea what it could be?
Modern Health tweet media
English
29
7
66
50.2K
MTANZANIA 🇹🇿
MTANZANIA 🇹🇿@GilbertPaul095·
🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷🦷 Jino liliniuna lilitaka kuniua na kung’oa nilishauriwa nisilitoe maana halikua kwenye hali nzuri… nimetumia mchanganyiko wa ( Backing Soda, Tangawizi ya Unga, Ndinu ya Unga na maji kidogo) Hadi leo ni mwezi wa 8 siskii hata dalili ya Maumivi
Filipino
19
57
245
13.9K
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
Sisemi wote tuishie mgodini ila kama ni kijana upo na miaka 25-35 jaribu kuzamia mgodini hata kama hauna mtaji au unatamji kafanyie huko biashara yako. Pesa ipo Nchi yetu ina migodi mingi ila wanufaika wakubwa ni wachina wanaharibu ardhi yetu san Sijui kwanini matajiri wengi 👇
Indonesia
14
30
171
11.2K
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽
S.A.N.T.I.A.G.O 🗽@mananajr_·
Kilo ya maharage 2500 Mchele 2400 Dhahabu 331 Milioni Sasa utaamua wewe utalima au utachimba
Indonesia
25
44
435
15.4K
Incharge Pharmacist. retweetet
Edwin F.M
Edwin F.M@EdwinMjeru·
Kwanini ni Muhimu Kuwaita Watu Kwa Majina Yao Wakati wa Mazungumo? Moja kati nguzo kuu ya kuu mazungumzo yenye ufanisi, "Effective Conversations" ni kuwaita watu kwa majina ya badala ya kutumia viwakilishi kama, WEWE, YULE au HUYO. Jina la mtu lina maana kubwa sana, kwani linabeba; Utambulisho wa mtu - Identity. Hadhi ya mtu - Status Utu wa mtu - Personality. Haiba ya mtu - Character. Thamani ya mtu - Value. Nguvu na Mamlaka katika kitu fulani - Power & Authority. Heshima ya mtu - Respect. Pia, ni chapa ya mtu - Brand. Kwa hiyo kumuita mtu kwa viwakilishi mfano, WEWE hapo kidogo unamshusha hadhi yake, thamani yake, brand yake na utu wake. Dale Carnegie aliwahi kesema, “A person’s name is to him or her the sweetest and most important sound in any language.”- Jina la mtu kwake ni sauti tamu na muhimu katika lugha yoyote. Kwanini ni muhimu kuita watu kwa majina yao. 1. RECOGNITION - Kila mtu anapenda uwepo wake utambulike akiwa sehemu fulani. Kwa hiyo ukimuita mtu kwa jina lake, unamwonyesha ishara kwamba unatambua uwepo wake. 2. ATTENTION - Ukitaka kuvuta attention ya mtu kwa ushawishi wakati wa mazungumzo mwiite kwa jina lake. Kuna namna unamgusa na kumvuta mtu kihisia akisikia jina lake. Kwa hiyo, atoengeza usikivu na attention kwako. 3. VALUE - Kumwita mtu kwa jina lake, humfanya mtu ajisikie kuwa unatambua thamani yake. 4. ACTIVENESS - Tafiti zinaonyesha kuwa, kuwaita watu kwa majina yao wakati wa mazungumzo huwafanya kuwa active zaidi kuliko unavyomuita mtu, 'WEWE'. 5. INVOLVMENT: Ni namna nzuri ya kuhusisha watu kwenye mazungumzo kwa ufanisi. Mambo ya kuepuka: 1. Epuka kutaja jina la mtu kimakosa au kukosea jina la mtu kwa jinsi linavyotamkwa. Ni vyema kumuuliza mtu mwenyewe jinsi linavyotamkwa. 2. Epuka kumwambia mtu, 'Harshly', Wewe unaitwa nani. Mwambie, Tafadhali unaitwa nani? Kama ni mara ya kwanza mmekutana, jitambulishe wewe kwanza. 3. Epuka kuuliza jina la mtu zaidi ya mara tatu. Jitahidi kushika jina la mtu kwa mara ya kwanza, ina maana kubwa sana kwake. 4. Epuka kutumia maneno kama WEWE au HUYO wakati wa mazungumzo. 5. Epuka kutafsiri jina la mtu kwa kejeli au vibaya wakati wa Mazungumzo Serious. EFM. #unlockandliveyourdream
Filipino
2
8
40
2.1K