Juniour Magina

1.4K posts

Juniour Magina banner
Juniour Magina

Juniour Magina

@JuniourMagina

Achievement

Mbezi ,tanzania Beigetreten Temmuz 2017
385 Folgt74 Follower
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
Kwa mechi zote zilizobaki za Ligi Kuu sisi Simba tunawaombea mema Azam washinde zote Wote tuseme Amiin🙏
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Română
10
9
143
2.7K
Juniour Magina
Juniour Magina@JuniourMagina·
@cleansheet_1 Usajili wa yanga wa mwaka janaa ... Bora ata wasingefanyaa usajilii yani mchezaji aliyeingiaa moja kwa mojaa ni okello lakini hawa wenginee tumechezeaa helaa
Indonesia
1
0
0
8
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
Mido ya mpira sana hii Basi tu haikupewa muda Saivi wana DAMARO
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
6
9
45
885
Juniour Magina
Juniour Magina@JuniourMagina·
@Sirajitz1 Kwahyoo baba levo uko seriouz .... kwani kulikuwa na uchaguzii
Indonesia
0
0
0
544
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Baba levo avunja ukimya atoa ya moyoni 🗣️. " Natoa siku 7 kwa Abdul Nondo asiponiomba msamaha atanilipa Tsh Mil 550 maana nimeona clip yake kaita waandishi wa habari na kuwaambia kua ubunge wangu sijauoata kiuhakali wakati wote nimashahidi, tumefanya kampeni, tumenadi sera na wananchi wameamua kidemokrasia" ---------------------------- Wakuu ukimshambulia mtu kwa maneno makali na yasiyo na ukweli jiandae kula faini kubwa kama hizi hasa wazee wa spana humu umakini unahitajika sana
Headboy wa mtaa tweet media
Indonesia
17
19
119
20K
Mr cleansheet
Mr cleansheet@cleansheet_1·
Moja ya AIBU itakayoikumba ligi yetu ni huyu janja kua TOP SCORER Hatuezi kujigamba tuna ligi namba 5 afrika halafu top skola kaja dirisha dogo, hii ni aibu isiopimika Na itathibitsha kua akina dube mwalimu shentembo makambo ni MATAPELI sio straika za kucheza ligi hii
Mr cleansheet tweet media
Indonesia
22
8
98
4.2K
Juniour Magina
Juniour Magina@JuniourMagina·
@ayubu_madenge Usiamini wana siasaa mi mbaka leoo naimani naee ni Lisu na halima mdee hawa wengine njaa zikiwaumaa wanarudii kundinii
Indonesia
0
0
1
240
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Msigwa aliyekuwa CHADEMA kisha akahamia CCM na akahojiwa akasema alipokuwa CHADEMA alikuwa mjinga, maana alikuwa anapambania vitu ambavyo havipo. Pia kwenye majukwaa akasema akiwa CHADEMA alikuwa kipofu ila alipoingia CCM akaona nuru. Sasa ameomba radhi na ameomba kurudi CHADEMA
Ayubu Madenge tweet media
Filipino
101
56
955
21.9K
Juniour Magina
Juniour Magina@JuniourMagina·
@mkomwanassib_ Kashindwa kushikiliaa goli mbili zilizoingiaa dakikaa 9 za mwanzonii atawezaa kwerii izo tanoo
Indonesia
0
0
2
16
Nassib Mkomwa
Nassib Mkomwa@mkomwanassib_·
Maisha yanaenda kasi sana Yaani saivi Simba SC anamtaka Yanga SC muda wowote ule wakipige 😀😀😀 Na Uzuri Yanga washajua kuna namna Mnyama Simba SC anamsaka anataka arudishe zile tano.!
Filipino
47
38
901
24.9K
shila_sumalee26
shila_sumalee26@shila_sumalee·
@moshijnr Kama kila mfanyakazi akisema akimbie kazini kisa kavunjwa moyo basi hakutakuwa na chochote kitakachofanikiwa. Ni ngumu lakini anatakiwa kutafuta namna sahihi ya kuendelea na kazi huku akijiweka sawa kiakili✍️
Indonesia
1
0
2
180
Moshi Jnr
Moshi Jnr@moshijnr·
"Niwaambie na niwaombe Mashabiki wa Yanga msikate tamaa na sisi wachezaji, sisi ndio wachezaji wenu kwasasa.. na Captain Bakari Mwamnyeto hatumuoni kwenye mazoezi na timu hivi karibuni.. mmemvunja moyo". - Mchezaji wa Yanga, Mudathir Yahya baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya JKT
Moshi Jnr tweet media
Indonesia
5
4
166
3.4K
Juniour Magina
Juniour Magina@JuniourMagina·
@Elsukay0 Punguza mihemko ligi ni marathon kwahyo ulitakaa yanga asifungwee
Indonesia
0
0
0
33
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
🚨 OPARESHENI YA SAFISHA SAFISHA INAHITAJIKA PALE YANGA 01. Mwamnyeto aondolewe 02. Boka aondolewe 03. Buba aondolewe 04. Damaro aondolewe 05. Dube aondolewe 06. Maxi nae aondolewe
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
78
20
176
10.6K
Juniour Magina
Juniour Magina@JuniourMagina·
@Sativa255 Huyu ndioo aliyemwandikiaa speech mamaa ilee ya litaa mojaa sawa na dollar eeeh
हिन्दी
0
0
0
34
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
KM 80 Unaongelea umbali wa kutoka Mbeya mjini mpaka CHIMALA. Ukiamua utembee kwa miguu kwa mwendo wa mtu anaefanya mazoezi ni masaa 17 kwenda juu (hapo kwenda tuu) Sijui huu ushenzi wa kutaka kujiona wao ndio wamesoma mazingira magumu sana sijui unawasiaga nini hawa wajinga.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
92
51
551
26.3K
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Toure, umenifanya kuwa shabiki yako Napenda timing yako, napenda stamina yako, napenda uvumilivu wako kwenye nyakati ngumu. Toure una kitu🙌
Shaffih  Dauda tweet media
Filipino
24
45
1.1K
17.6K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Maimartha kasaka mpaka akapata picha ya Wema Sepetu akiwa na Mimba 😂😂😂😂🙆‍♂️
Latto 𝕏 tweet media
Indonesia
39
11
651
78.1K
Jumaah Salumu
Jumaah Salumu@JumaahSalumu·
@RevocatusMagum1 Young Africans SC ni timu ambayo bado ina utoto wingi sana, watajua mwaka huu. Alafu pitch ni tamu sema wanatengeneza scenario fulani hivi.
Indonesia
1
0
3
410
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
AMEANDIKA JEMEDARI SAID ✍️ PRESHA YA KUTOSHINDA ISAMUHYO INAWASUMBUA YANGA. Nimeona viongozi wa Yanga wakiandika na kusema maneno ya hovyo na mabaya juu ya uwanja wa Major General ISAMUHYO. Ikanikumbusha msimu juzi Yanga walivyokuja pale wakati wa mvua kama huu wakawa na maneno kama haya na mechi ikachezwa ikaisha 0-0. Msimu jana mechi ilikuwa kiangazi hakukuwa na maneno na mechi ikaisha tena 0-0. Msimu huu mechi na JKT bado wanaanza na Simba ambao wanakodi kiwanja pale, lakini maneno machafu yameanza. Mtu anirekebishe, mimi najua mechi ni kesho tarehe 3 Mei, 2026 saa 12:00 jioni au kuna mabadiliko? Yanga wamecheza mazoezi muda wa mechi kikanuni siku 1 kabla ambayo ni leo tarehe 2 Mei 2026, kuna masaa 24 mpaka kufika muda wa mechi, wanalijua hili? Leo unafanya ukaguzi na kudharau watu wa Club Licensing, unaiita kiwanja cha Major General ISAMUHYO “Zizi la Ng’ombe” ilihali nyinyi miaka 90 hata “Banda la Kuku” hamna..!! What a shame..! Halafu mazoezi yamefanyika mpaka yameisha ila unasambaza video ya kipande kidogo cha kiwanja ambacho kimetuamisha maji kiasi kidogo sana sio cha kukataza mechi kuchezwa kwa mujibu wa kanuni, msingi wa kufanya mazoezi ni kuyaona hayo mapungufu ili yasiwe mageni siku ya mechi, lakini wanaleta Usimba na Yanga kwenye kiwanja cha JKT na kudharau juhudi za watu wengine walioamua kuutumikia mpira kwa dhati sio maneno ya kilasiku TUTAJENGA UWANJA LAKINI HAKUNA NI BABAISHA BWEGE TU. Kwangu huu uwanja Yanga hawaupendi tu kwakuwa ni SEHEMU NGUMU kwao, hawajawahi kufunga hata bao tangu waanze kucheza hapa, hizi zingine ni presha tu wanaona kama kiama kimefika kesho. Simba ni klabu ambayo ipo katika KLABU 10 BORA Afrika wamekubali kucheza hapa pamoja na umuhimu huo waliokuwa nao, hawajawahi kukebehi jitihada hizi za JKT Tanzania kujenga huu uwanja, kama wanakubali klabu hii KUBWA TANZANIA NA AFRIKA kwa ubora, nani tena anajipa umuhimu kuizidi Simba SC hapa Tanzania? Nakumbusha tena, mechi ni kesho saa 12:00 jioni, kuna muda mrefu sana, mezeni maneno yenu kuweni na subra, sifa ya uongozi ni pamoja na subra, mngesubiri hata siku ya mechi ifike mchana mchana au jioni ndo mseme hivi. BIN KAZUMARI MTIPA (Voice of the Voiceless)
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
5
12
99
5.7K
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
"Tukipoteza Dabi, gap la points litakuwa ni nane, kwa timu zilizobaki huyu bwana hawezi kudondosha alama zote nane. Ukimtegemea Azam atakuvua taulo ukweni asububi tu, ukimtegemea Singida huyo ndio shoga yake mkubwa, wanasimba twendeni tukapambanie alama tatu" 🎙️ Ahmed Ally
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Filipino
18
27
870
22.6K
MeaMswahili
MeaMswahili@meamswahili·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 “Michezo yote ya Ligi inachezwa kwa mujibu wa sheria za ligi kuu, Viwanja vyote vinavyotumika kwenye michezo ya ligi kuu, na moja ya viwanja hivyo ni uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo" “Mchezo wa dabi ulipangwa kuchezwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa ila tumepewa taarifa kuwa upo kwenye matengenezo, hivyo wenyeji (Simba) wakapendekeza uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo.” - Karim Boimanda - Afisa Habari na Mawasiliano wa TPLB Karimu Boimanda #MeaMswahiliUPDATES
MeaMswahili tweet mediaMeaMswahili tweet media
Indonesia
2
4
270
17.9K
The champ👑
The champ👑@fintanjr_·
Hivi hizi team washauri wao ni kina nani!? So kwa sababu yanga alipeleka mechi zenji, Simba anapeleka huko, uwanja ambao mashabiki hata robo ya Lupaso hawaingii, mapato yote yanapotea na mashabiki wengi kukosa nafasi ya kuingia uwanjani kisa , ushindani wa kizamani,.. ama kweli tumerogwa🚮🚮🙌.
The champ👑 tweet media
Indonesia
20
4
24
2.7K
Juniour Magina
Juniour Magina@JuniourMagina·
@Elsukay0 Utawaona wapii akatii hayoo machoo hunaa
हिन्दी
0
0
0
14
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿
Siwaoni kabisa Yanga wakishinda mchezo wa derby mei 03 Huu uwanja yanga hajawahi kupata matokeo mazuri Atmosphere ya meja generali isamuyo sio familiar kwa yanga Pongezi sana kwa viongozi wa simba kwa hii Nice venue 🏟️ selection
EL SUKAYO LE ANALYSTE 🇹🇿 tweet media
Indonesia
20
5
67
2.6K
Tagato James 
Tagato James @tagatojtagato·
🤦🏽‍♂️TUNAISHUSHA HADHI YA KKOO DERBY? Simba SC wamethibitisha kuwa uwanja wa Mej General Isamuhyo, utatumika kwaajili ya mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Yanga Kimsingi huu ni mchezo unaoitambulisha Tanzania kwenye ramani ya mpira, VENUE inapaswa kuwa ya hadhi ya kimataifa na zipo!
Tagato James  tweet mediaTagato James  tweet media
Indonesia
75
7
260
22.1K
Juniour Magina
Juniour Magina@JuniourMagina·
@tagatojtagato Simbaa wanajidaii eti wanalipizaa kwa gemu ya kwanza kupelekwaa zanzibar
Indonesia
0
0
1
732