@zimearrest Download claude ai alafu dm your number. Huezi kosa ka 200 bob daily uachane na huyo mzae alewe.
Filipino
Vinka
4.3K posts

My children won’t go through this..Imagine nimetumiwa hii na my dad kama fare ya kuenda shule we live in kariobangi so hii pesa ndio inafaa kucover fare ya kuenda na kurudi that is Tao,na bado ndio nafaa kukula lunch mind you nikona exams hadi jioni. Saa hii asubuhi fare ni Mia😭