NIMR Mbeya

839 posts

NIMR Mbeya banner
NIMR Mbeya

NIMR Mbeya

@NIMRMbeya

NIMR Mbeya conducts medical research on HIV/AIDS, Tuberculosis (TB), Ebola, Malaria and other relevant tropical diseases while evaluating clinical trials etc.

Mbeya, Tanzania Beigetreten Kasฤฑm 2017
400 Folgt2.7K Follower
NIMR Mbeya retweetet
Ifakara Health Institute
Ifakara Health Institute@ifakarahealthยท
CHILD HEALTH: Transforming healthcare quality with digital solutions The ePOCT+, a digital health tool, is making a significant impact in improving the assessment of sick children. ๐Ÿ’ก๐Ÿ” In a trial conducted in Tanzania from 2021 to 2022, scientists @Ifakarahealth, @NIMRMbeya, @SwissTPH, and @unil observed a 15% improvement in symptom checks โœ…and a 50% boost in the appropriate use of antibiotics ๐Ÿ’Š using ePCOT+. While progress has been made by digital health tools, more work is needed to further improve healthcare delivery for children. ๐Ÿ‘ถ๐Ÿพ๐Ÿฅ >> ihi.or.tz/blog/news/chilโ€ฆ >> #IFAKARANews #DigitalHealth #ePOCTPlus #HealthcareInnovation
Ifakara Health Institute tweet media
English
0
1
6
557
NIMR Mbeya
NIMR Mbeya@NIMRMbeyaยท
NIMR-Mbeya at The Union World Conference on Lung Health 2024 ๐Ÿ‘ Laboratory Scientist, Mr. Lwitiho Sudi @LsudiSudi presenting on "Assessing the activation profile of M. tuberculosis specific T-cells as a surrogate marker for in vivo disease activity in TB household contacts"
NIMR Mbeya tweet media
English
0
5
9
847
NIMR Mbeya
NIMR Mbeya@NIMRMbeyaยท
NIMR-Mbeya at the #IPVC2024๐Ÿ‘ Research Scientist, Dr. Wilbert Mbuya @Wilylarry, presenting on "Dissecting the impact of HIV on HPV-specific immunity, viral persistence & molecular signatures of cervical dysplasia"; findings from the 2H study that enrolled participants from Mbeya
Tanzania Immunology Society@immunology_tz

Our very own Dr. Wilbert Mbuya @Wilylarry from @NIMRMbeya, Tanzania on the impact of HIV on HPV-specific immunity, persistence & molecular signatures of cervical dysplasia at 36TH INTERNATIONAL PAPILLOMAVIRUS CONFERENCE (IPVC2024). #IPVC2024 #Immunologytz #papillomavirus

English
0
8
9
1K
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
ZXX
0
3
10
1.3K
NIMR Mbeya
NIMR Mbeya@NIMRMbeyaยท
๐ŸŽ‰๐Ÿ‘ Congratulation to our very own Dr. Marco Missanga for receiving the best abstract award - Communicable diseases track at the UDOM Scientific Conference on Health 2024 He presented findings from the AMP trial on efficacy of VRC01 broadly neutralizing monoclonal antibodies
NIMR Mbeya tweet mediaNIMR Mbeya tweet media
English
4
4
35
1.5K
NIMR Mbeya retweetet
Medical Association of Tanzania (MAT)
Medical Association of Tanzania (MAT)@association_matยท
We are excited to announce that abstracts submission for the upcoming MAT Scientific Conference is officially opened. Deadline: 15th August 2024. MAT will sponsor public transport & registration fee to researchers will accepted abstracts. #MATScientificConference2024
Medical Association of Tanzania (MAT) tweet media
English
3
13
32
2.1K
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
๐—ฆ๐—ฒ๐—ธ๐˜๐—ฎ ๐˜†๐—ฎ ๐—”๐—ณ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐˜‚๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ญ๐—ฎ๐—ถ๐—ฑ๐—ถ ๐—ž๐—ฎ๐˜๐—ถ๐—ธ๐—ฎ ๐—ง๐—ฎ๐—ณ๐—ถ๐˜๐—ถ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ž๐—ถ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amesema sekta ya afya itaendelea kuwekeza zaidi katika tafiti za kisayansi lengo likiwa aidha kuwezesha kutunga na kufanya mabadiliko ya sera mbalimbali zinazohusu masuala ya afya kwa kuwa tafiti za kisayansi zinaiwezesha Serikali kufanya maamuzi yenye uthibisho wa kisayansi. Aidha Mhe. Mwalimu amesema Serikali imetenga Fedha kiasi cha shilingi Bilioni 3.5 kwajili ya kuiwezesha NIMR kufanya tafiti mbalimbali zitakazosaidia kuboresha huduma za afya nchini. Mhe. Ummy Mwalimu ameyasema hayo wakati akifunga Kongamano Kuu la Mwaka la Kisayansi la 32 lilokusanya watafiti 516 kutoka nchi mbalimbali katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam. Sambamba na hayo Mhe. Mwalimu amewasisitiza watafiti kufanya tafiti ili kupata shahidi za kisayansi zitakazosaidia kufanya maamuzi ya utoaji wa huduma za afya akitolea mfano wa utafiti wa chanjo ya HPV kwa ajili ya kuwakinga wasichana kupata virusi vya saratani ya mlango wa kizazi. Aidha Mhe. Mwalimu amewataka watafiti kuja na mawazo mapya ya kufanya tafiti katika magonjwa yasiyoambikizwa, magonjwa yanayoambikizwa, afya ya uzazi, mama na mtoto, mifumo ya kuimarisha afya na kufanya tafiti zinazoendana na mahitaji ya sasa ya nchi. Naye Mkurugenzi Mkuu wa NIMR Prof. Said Aboud amesema kuwa Kongamano hilo ambalo limewakutanisha watafiti kutoka nchi mbalimbali litasaidia kuwawezesha watafiti wa NIMR kupata mbinu mpya na bora za kufanya utafiti. Hata hivyo Prof. Aboud amemshukuru na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha kuiwezesha NIMR kufanya na kusimamia tafiti za afya nchini. Awali Kongamano hilo la siku 3 lilifunguliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Doto Biteko ambaye alimwakilisha Makamu wa Rais Dkt. Philp Mpango.
NIMR Tanzania tweet media
Indonesia
3
4
20
1.2K
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
๐—ก๐—”๐—œ๐—•๐—จ ๐—ช๐—”๐—ญ๐—œ๐—ฅ๐—œ ๐— ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—”๐—™๐—จ๐—ก๐—š๐—จ๐—” ๐—ž๐—ข๐—ก๐—š๐—”๐— ๐—”๐—ก๐—ข ๐—ž๐—จ๐—จ ๐—Ÿ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ฆ๐—”๐—ฌ๐—”๐—ก๐—ฆ๐—œ ๐—Ÿ๐—” ๐Ÿฏ๐Ÿฎ ๐—Ÿ๐—” ๐—ก๐—œ๐— ๐—ฅ Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko amefungua Kongamano Kuu la Mwaka la Kisayansi la 32 katika ukumbi wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam ambalo limewakutanisha watafiti 516 kutoka nchi mbalimbali. Dk. Biteko amemwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango ambapo amesema kuwa Serikali inatambua umuhimu na mchango wa tafiti za kisayansi katika nyanja za kijamii, kiuchumi na kisayansi zinazochangia kuchochea maendeleo ya nchi. โ€˜โ€˜Serikali inayoongozwa na Rais Samia inaamini katika tafiti za kisayansi na inaamini pia kuwa hakuna maendeleo bila utafiti na hivyo ili kupata mafanikio ni lazima tufanye utafitiโ€™โ€™, amesema Dk. Biteko. Amesisitiza โ€˜โ€˜Kama mnavyofahamu kupata maendeleo ya mahali popote ili matokeo yaonekane lazima kuwe na utafiti wa kisayansi na uweze kuwa na matumizi mazuri ya rasilimali kwa hivyo maendeleo yoyote bila utafiti yatakuwa ni maendeleo ya kubahatisha, na kama ni ya kubahatisha kutakuwa na kukosea kwingi matokeo yake kutakuwa na matumizi ya rasilimali nyingi zaidi kabla ya kupata jibu sahihi jambo ambalo lingeepukika, hivyo wataalamu hawa wako hapa kujadili tafiti mbalimbali katika sekta ya afya mfano chanjoโ€™โ€™. Aidha, Dk. Biteko amesema kuwa Serikali imeendelea kutoa kipaumbele kwa sekta ya afya na itaendelea kuunga mkono tafiti za kisayansi huku akiziasa taasisi za utafiti kushirikiana katika tafiti kwa lengo la kutatua changamoto mbalimbali ili kuchangia maendeleo ya nchi. Sambamba na hilo, Dkt. Biteko amesema Serikali imewekeza vya kutosha kwenye utafiti katika sekta ya afya ili kuwa na ugunduzi wa ndani ya nchi โ€œPamoja na kwamba tunahitaji watu kutoka nje lakini na sisi wenyewe tunaweza kuwa na wagunduzi wetu wa ndani na tumeshaanza, unaweza kuona zipo dawa tunazalisha wenyewe na hata chanjo, ni lazima tuwe na tafititi zinazotusaidia wenyeweโ€. Amesema Dkt. Biteko Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Afya, Dk. Godwin Molel amesema kuwa Serikali kupitia Wizara ya Afya imeanza kutoa kipaumbele katika masuala ya utafiti kwa lengo la kuwajengea uwezo watafiti wa ndani ya nchi ili kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazohitaji utafiti wa kisayansi mara zitakapotokea. Mwakilishi wa Mwenyekiti wa Bodi ya NIMR ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Ntuli Kapologwe amesema kuwa Taasisi hiyo imekuwa na ushawishi mkubwa ndani na nje ya nchi kupitia tafiti zake mbalimbali inazofanya akitolea mfano utafiti wa matumizi ya dozi moja ya chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi uliofanywa na NIMR mkoani Mwanza. Akiongea kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. John Chalamila, Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo amesem kuwa tafiti zinazofanywa na NIMR ni ulinzi tosha kwa mwanadamu, hivyo kuona mkutano mkubwa wa kisayansi unafanyika katika jiji la Dar es Salaam ni ishara njema ya kujali afya na ulinzi kwa watu wa Dar es Salaam na Watanzania kwa ujumla. Pia amemshukuru Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwekeza kwa kiasi kikubwa katika Tafiti za Afya ya Mwanadamu. Naye, Mkurugenz Mkuu wa (NIMR), Prof. Said Aboud amesema kuwa NIMR imekuwa ikiendesha makongamano kwa kushirikiana na wadau ambayo yamekuwa na mchango mkubwa katika kuboresha sera za afya pamoja na kufanya maamuzi yanayosaidia kuboresha huduma za afya nchini. Aidha Prof. Aboud amesema katika kongamano hilo watafiti wataketi kwa siku tatu, watawasilisha maada mbalimbali na kufanya majadiliano na mwisho wa siku watakuja na mapendekezo ambayo yatawasilishwa Serikalini kwa ajili ya kuboresha zaidi huduma za afya. Awali, Dk. Biteko ametembelea mabanda ya maonyesho ya utafiti ikiwemo vifaa vya maabara vya kupima magonjwa mbalimbali kama kifua kikuu, malaria na tafiti za dawa za tiba asili.
NIMR Tanzania tweet media
Indonesia
0
2
11
851
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
๐—ก๐—œ๐— ๐—ฅ ๐—ฅ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฐ๐—ต ๐—ฆ๐—ฐ๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐˜€๐˜ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—ผ๐—ถ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ฆ๐—ฐ๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ ๐—”๐—ฑ๐˜ƒ๐—ถ๐˜€๐—ผ๐—ฟ๐˜† ๐—•๐—ผ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ (๐—ฆ๐—”๐—•) ๐—ผ๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—™๐—”๐—ฆ๐—ง-๐—ง๐—• ๐—œ๐—ป๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ ๐—ฆ๐˜‚๐—ฝ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฏ๐˜† ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—จ๐—ฆ๐—” ๐—ก๐—œ๐—›/๐—ก๐—œ๐—”๐—œ๐—— ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—–๐—ผ๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฏ๐˜† ๐—–๐—ฅ๐——๐—™ ๐—š๐—น๐—ผ๐—ฏ๐—ฎ๐—น Huge congratulations to the NIMR Director of Research Coordination and Promotion, Dr Nyanda E. Ntinginya @NNtinginya for being appointed alongside other high profile global experts in TB research and public health to contribute to the Scientific Advisory Board of the FAST-TB Initiative. FAST-TB (Facilitating Accelerated Science and Translation for TB Regimen Development) is a new initiative launched by the US National Institute of Allergy and Infectious Diseases (NIH/NIAID) in partnership with @CRDFGlobal, which aims to accelerate the development and clinical translation of novel TB regimens by fostering efficient communication, coordination, and collaboration among stakeholders worldwide. fasttb.org/member-type/scโ€ฆ
NIMR Tanzania tweet media
English
12
16
93
4.6K
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
๐—ก๐—œ๐— ๐—ฅ ๐—ฅ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฐ๐—ต ๐—ฆ๐—ฐ๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐˜€๐˜ ๐—”๐—ฝ๐—ฝ๐—ผ๐—ถ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—ฆ๐—ฐ๐—ถ๐—ฒ๐—ป๐˜๐—ถ๐—ณ๐—ถ๐—ฐ ๐—”๐—ฑ๐˜ƒ๐—ถ๐˜€๐—ผ๐—ฟ๐˜† ๐—•๐—ผ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ (๐—ฆ๐—”๐—•) ๐—ผ๐—ณ ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—™๐—”๐—ฆ๐—ง-๐—ง๐—• ๐—œ๐—ป๐—ถ๐˜๐—ถ๐—ฎ๐˜๐—ถ๐˜ƒ๐—ฒ ๐—ฆ๐˜‚๐—ฝ๐—ฝ๐—ผ๐—ฟ๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฏ๐˜† ๐˜๐—ต๐—ฒ ๐—จ๐—ฆ๐—” ๐—ก๐—œ๐—›/๐—ก๐—œ๐—”๐—œ๐—— ๐—ฎ๐—ป๐—ฑ ๐—–๐—ผ๐—ผ๐—ฟ๐—ฑ๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ฒ๐—ฑ ๐—ฏ๐˜† ๐—–๐—ฅ๐——๐—™ ๐—š๐—น๐—ผ๐—ฏ๐—ฎ๐—น Huge congratulations to the NIMR Director of Research Coordination and Promotion, Dr Nyanda E. Ntinginya @NNtinginya for being appointed alongside other high profile global experts in TB research and public health to contribute to the Scientific Advisory Board of the FAST-TB Initiative. FAST-TB (Facilitating Accelerated Science and Translation for TB Regimen Development) is a new initiative launched by the US National Institute of Allergy and Infectious Diseases (NIH/NIAID) in partnership with @CRDFGlobal, which aims to accelerate the development and clinical translation of novel TB regimens by fostering efficient communication, coordination, and collaboration among stakeholders worldwide. fasttb.org/member-type/scโ€ฆ
NIMR Tanzania tweet media
English
2
6
37
2.1K
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
NIMR Tanzania tweet media
ZXX
1
5
41
2.4K
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
ZXX
0
1
6
619
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
NIMR Tanzania tweet media
ZXX
1
5
37
1.5K
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
NIMR Tanzania tweet media
ZXX
0
5
26
1.4K
NIMR Mbeya retweetet
NIMR Tanzania
NIMR Tanzania@NIMR_Tanzaniaยท
ZXX
0
4
17
1.2K