
Mi nliwaambia hii story Ni simple Wanawake tu wote .. wakue banned from using male cabs... Unless Ni mwanaume analipia Io cab. You deal with her father .. boyfriend or husband. Kabla ata muanze Io ride Si wako Na category Yao? Ju kila wiki Ni story ya dem anakataa kulipa




































