Tanzania Media Women

11.3K posts

Tanzania Media Women banner
Tanzania Media Women

Tanzania Media Women

@TAMWA_

A peaceful Tanzanian society which respects human rights from a gender perspective. #ZuiaUkatili #WanawakeWanaweza

Dar es Salaam, Tanzania Beigetreten Mart 2013
648 Folgt14.2K Follower
Angehefteter Tweet
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Januari 23, 2026, Tanga. TAMWA kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ujerumani, (GIZ) kimewakutanisha wadau wa mradi wa #SautiZetu Wilaya ya Lushoto na Tanga Mjini kujadili kwa pamoja namna bora ya kupunguza ama kumaliza kabisa ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto.
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
0
2
143
Tanzania Media Women
TAMWA inaipongeza CRDB Foundation kwa kuanzisha program hii ya ‘imbeju’; Tunaamini kuwa kumuwezesha mwanamke kiuchumi kutapunguza ukatili wa kijinsia, kwani mwanamke akiwa imara kiuchumi ni rahisi kuepuka utegemezi. Dk. Rose Reuben ~ Mkurugenzi mtendaji. #MamaMboga
Tanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
5
6
71
Tanzania Media Women
Kupitia CRDB Foundation na program ya iMbeju wewe mfanyabiashara mdogo unaweza kushikwa mkono ,kupata mtaji, elimu na usimamizi wa karibu kukuza biashara yako. Uwezeshaji huu haukuhitaji uwe na dhamana, leseni wala elimu bali utayari wako na uwajibikaji. Joshua Mwakalobo CRDB.
Tanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
3
4
67
Tanzania Media Women
CRDB inatoa 1% ya faida yake na kurudisha kwa jamii kupitia maeneno manne (4) ambayo ni Elimu, Afya, Mazingira na kusaidia vijana na wanawake | Joshua Mwakalobo ~ CRDB #MamaMboga #TAMWA #CRDB
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
4
5
53
Tanzania Media Women
Leo, 27 Machi 2026, TAMWA kwa kushirikiana na CRDB Bank Foundations imewakutanisha wanawake wajasiriamali wa mboga mboga kwa ajili ya kujadiliana, kubadilishana uzoefu na kujengewa uwezo kuhusu biashara zao pamoja na changamoto wanazokutana nazo. #Ujasiriamali #WanawakeKwanza
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
4
8
99
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Machi 17,2026 Dar Es Salaam. TAMWA kwa kushirikiana VIKES - Finland, Wamewajengea uwezo waragabishi wa mitandao ya kijamii kuandaa maudhui yanayozingatia usawa wa kijinsia ndani ya vyombo vya habari. #WomenInMediaTz
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
3
7
658
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Wanahabari wa redio za kijamii wakiwa kwenye kazi za vikundi walibaini kuwa radio za kijamii zina umuhimu mkubwa wa kuandaa vipindi bora vya radio za kijamii vinavyoangazia usawa wa kijinsia katika jamii zao. #WomenInMediaTz #IWD
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
1
2
53
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania(TAMWA) kwa kushirikiana na taasisi ya Finland ya Vikes @VikesFinland leo wamewajengea uwezo wanahabari kutoka redio mbalimbali za kijamii, ili waweze kuandaa maudhui ya mtandaoni yanayozingatia usawa wa kijinsia.#WomenInMedia #IWD
Tanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
0
2
151
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Wanafunzi wa Shule za Msingi Chiona, Chiona Mission na Bahi Sekondari walikutana katika mdahalo mkubwa wa kujadili masuala ya ukatili wa kijinsia kwa watoto. Mdahalo huo umeandaliwa na @ Tamwa kwa kushirikiana Shirika la Maendeleo la Ujerumani(GIZ). #SautiZetu #ZuiaUkatili
Filipino
0
0
0
61
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Machi 11,2026 Bahi. TAMWA kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ) wamewakutanisha wadau wa elimu na wanafunzi wa shule ya msingi Bahi na Dawati la Jinsia na Watoto -Dodoma na kujadili kwa pamoja kuhusu ukatili wa kijinsia na namna bora ya kuutokomeza.
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
0
1
123
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
Give to Gain highlight the power of TAMWA's reciprocity of investment done to more than 10,000 women journalists and non- journalists for 38 years in terms of capacity building, resources,opportunities expansion, systems strengthen and society thrieve in gender equality.
English
0
0
5
82
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
“Mbegu za TAMWA zilianza kupandwa 1986 ili kuinua hali zetu kama waandishi wa habari; TAMWA ilikuwa ndio asasi ya kwanza ya habari kufanyiwa usajili. Tulipata changamoto nyingi ikiwemo kuonekana waasi lakini hatukukata tamaa .Rose Haji ~ Mwasisi wa TAMWA
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Indonesia
0
3
8
184
Tanzania Media Women
Tanzania Media Women@TAMWA_·
“Wakati tumeanza pia waume zetu walikuwa wakitusapoti na hiyo ilitutia nguvu zaidi kwani wanaume wa kitanzania ni wastaarabu sana” Fatma Alloo ~ Mwasisi wa TAMWA
Tanzania Media Women tweet mediaTanzania Media Women tweet media
Filipino
0
1
5
136