WATEDTZ
16 posts

WATEDTZ
@WATEDTZ1
Women Action Towards Economic Development Women Economic Empowerment Gender and Climate Change P.O Box 3710 Dar es salaam- Tanzania
Beigetreten Şubat 2021
17 Folgt20 Follower

Picha ya pamoja na waziri wa mifugo na uvuvi Mh. Mashimba Mashauri Ndaki akiwa ametembelea banda letu na kujifunza shughuli zetu tunazofanya katika masuala ya jinsia na mabadiliko ya tabianchi.
@wizaramifuguvuv @ikulumawasliano


Indonesia

Shirika la WATED ni moja ya mwanachama wa mtandao wa @THRDCOALITION kwa kushirikiana na mtandao wa Gender and Climate Change Tanzania coalition wameshiriki katika maadhimisho ya miaka kumi ya @THRDCOALITION
@ikulumawasliano @cwhrdstz @tiba_tanzania @UN_Women



Filipino

Muungano @gcctctanzania umekutano leo kujadili mradi wa Tanzania roads to Inclusion and Social Economic Opportunities (RISE) unaofanyika kwenye mkoa wa Shinyanga.
Mradi huu unahusu ujenzi wa Barabara.
Pia itahusushisha masuala ya jinsia.

Indonesia

The #PeaceCaravan 🇹🇿 has crossed the ocean and now in Zanzibar.
~Community engagement is our mission
~ Women participation in Peace & Security is our goal
~ Peace Sustainability is our vision
So children can prosper in safe & peaceful environment!
#SistersWithoutBorders

English

Ukatili wa kijinsia ni kikwazo kwa wanawake kushiriki kwenye kudumisha Amani na Usalama na kupelekea wanawake kushiriki kwenye uvunjifu wa Amani. Hivyo kuna ujitaji mkubwa wa kuelimisha jamii.
#PeaceCaravan
@bjinitiative @for_defenders @GAI_Tanzania @tiba_tanzania @ladiesjoint



Filipino

Capacity building to CSOs on climate financing in Tanzania. What are major sources of climate finance in our country?
@for_defenders @HUDEFO @IPCC_CH @SwedeninTZ @OHCHR_EARO



English

Msafara wa Mwanamke Na Amani umewasili katika mji wa BAGAMOYO 🇹🇿 #sisterswithoutborderstz
#peacecaravan




Indonesia

WATED TANZANIA is inviting you to a scheduled Zoom meeting.
Topic: Women Leading Climate Change
Time: Aug 11, 2021 04:00 PM Nairobi
Join Zoom Meeting
us02web.zoom.us/j/88232783820?…
Meeting ID: 882 3278 3820
Passcode: 997752
English

WATED as a member of the African Coalition for Corporate Accountability (ACCA) hosted (in Tanzania) and participated on a General membership consultation/ conference on Human rights, the situation of COVID 19 in 2020 and Business Human Rights @AfricanACCA @tangibletz @MariaMatui


English



















