Erick Wizz
893 posts

Erick Wizz retweetet
Erick Wizz retweetet
Erick Wizz retweetet
Erick Wizz retweetet

Mimi kwangu imekua tofaut sana bro kipind cha lig nimechaniwa kama wik 3 mfululizo af game za sa 9-11 jion ila hii international break nimekula mikeka kama minne ya hela. Timu nying kubwa za Taifa zinapata matokeo.
Kaka mkubwa@sapro_phyticus4
Hii fifa break wakamalia tunakula virungu sana ni vile mmeamua kukaza tu hamtoi milio.
Filipino

@LifeofSteph_1 ,😂😂😂 we janja unge cashout Alf ukarudisha hela kidogo umalizie kiasi kilicho baki
Indonesia

Actually hii game nililala, I didn't even want to watch it coz ninge cashout na nisha apa siji ku cashout milele, asubh nikaenda green kuna mwanangu mkamalia plate no A huwa akipata 1 cut anapost hyo tmu bila caption nakuta kapost kosi la ureno nikacheka nikajua baasi 😂😂💔


Steph.@LifeofSteph_1
Portugal vs Mexico 4:00 EAT Hii game portugal akishinda na win hela kubwa kuliko zote niliwahi kula kwenye kamari. Last time nilikula 1M kwa msee wa misimbo ndo ilikua kubwa ila hii 😂🙌 but kuna kitu ndan kina niambia Cashout ila sitoi.
Filipino
Erick Wizz retweetet

Huu mmea wasukuma wanaita Sungululu, sijui kwa makabila mengine wanaitaje, kitaalamu unajulikana kama "Strophanthus eminii"
Ni mmea maarufu sana katika tiba za jadi kwa ukanda wa Afrika Mashariki. Ni mmea wenye nguvu kubwa ya kushusha presha na kusaidia utendaji wa moyo kutokana na kiambata cha cardiac glycosides (strophanthin) kilichomo ndani ya mmea huu.
Mizizi yake hutumiwa sana usukumani kwa ajili ya kupandia mazao, ili kuvuna mazao mengi.
Hebu tuangalie faida za Sungululu katika tiba za asili.
✅️Hutumika kutibu matatizo ya uzazi (kwa wanawake)
✅️Hutumika kutibu michango kwa watoto
✅️Hutibu Malaria kali
✅️Hutibu Maumivu ya viungo
✅️Matatizo ya afya ya akili
✅️Hutibu matatizo ya moyo
✅️Hutumika kushusha homa kwa watoto
✅️Hutumika kutibu magonjwa ya zinaa
✅️Hutibu Surua na matatizo yote ya ngozi
—Loweka/Chemsha mizizi na tumia kumwoshea mgonjwa.
Kwa matatizo mengine mizizi iliyochemshwa hunywewa kwa kiwango kidogo.
Watoto wenye michango huogeshwa na kunyweshwa kiasi kidogo (kijiko kimoja)
Tahadhari
Wajawazito hapaswi kutumia dawa kwa matumizi ya ndani (kunywa).
Tiba asili zinapatikana:  0680114218

Indonesia

Wanawake wa Twitter acheni kunitumia message DM, Siwezi kulala na nyie wote 😭😭
METRO🎭@kishoka_
Malaya ameona inches akavaa nguo
Filipino

























