"Unai Emery is at the level of Manchester United" 👀
Gary Neville looks at whether he would like to see Unai Emery at Old Trafford after Jamie Carragher stated that Manchester United should be going for the Aston Villa boss 🔴
07.03.2026. Shule ya Wasichana Barbro, DSM. Mgeni Rasmi Profesa Issa Shivji na mkewe katika mahafali ya 20 ya kidato cha 6. Wahitimu 135 nusu wakisoma kwa ufadhili. Kumshukuru Shivji kwa mchango wake kutetea haki za wanawake nchini na kuendesha kesi ya BAWATA peke yake kwa miaka 11 hadi kupata ushindi, Profesa Tibaijuka, mwanzilishi wa shule ya Barbro alitoa zawadi ya Shs milioni 100 ambazo zitatumika kuunda Shivji Fund huko UTT na mapato yatokanayo yatatumika kuwasomesha wanafunzi wahitaji milele shuleni hapo. Watajulikana kama Shivji Scholars at Barbro Girls. Maombi yanakaribishwa, piga 0686189605.
Tundu Lissu is a hell of a case study. Happy & resolute amidst turbulent times. M/Mungu amjalie umri aone matokeo ya kazi yake. Na mateso aliyopitia akiitafuta Tanzania bora.
Free Tundu Lissu Now.
Kinachoogopesha zaidi sio mashahidi wa kubumba ktk kesi ya Mchongo ya Mkti Lissu iliyoko Mahakamani, bali ni uwezo wa Serikali kuwa na aina hii ya mipango ya aibu bila kuona fedheha. Hii inatia hofu zaidi. Inawezekana huko mbele kukafanywa utafiti utakaoonyesha kwamba kulikuwa na wakati sisi wote tulikuwa vichaa, ilipaswa tufungwe pingu na kupewa dawa za usingizi masaa yote, tena Nchi yote , mpaka baba yako. Lakini tuliamka. Tukala. Tukapanga mipango ya Nchi, na kufanya maisha kawaida.
Huu utafiti utakuja, hakika. Trust me. AMA hata sisi hatupo hapa Duniani ni just illusion tu ? Na ukute hata hakuna kitu kinaitwa Tanzania ? Inatisha sana.
HATUWEZI KURIDHIANA NA WAUAJI.
Mmeuwa Watanganyika zaidi ya elfu kumi, mmeteka na kupoteza mamia ya ndugu zetu, mmewabambika kesi za Uhaini na Ugaidi Wanachama na Viongozi wa CHADEMA akiwemo Mhe. Lissu
Mmeenda Gereza la Ukonga kumwambia Mhe. Lissu kwamba mko tayari kufuta kesi kwa sharti la kwamba akubali kuingia kwenye maridhiano, akawashushua mkaondoka sura zikiwa zimewashuka kwa aibu.😂
Halafu venye hamna akili mkamfuata Mhe. @HecheJohn na ombi hilo hilo la kutaka akubali kuipeleka CHADEMA kwenye maridhiano, mmeona amegoma sasa mmeamua kumtuma Habiba Mchange aje na hii propaganda ya bei rahisi.
Yani Nduli Idd Amin Mama amkamate Mhe. Lissu na kumbambika kesi ya Uhaini, akatengeneze mpaka mashaidi wa uwongo halafu lawama mnataka kumpa Mhe. Heche hizi akili au matope?
Mmeona kila kona ya Dunia mnayoenda kuomba misaada kwa wahisani mnaangukia pua sasa mnatafuta kila njia ili CHADEMA ikubali kuingia kwenye maridhiano maana mnataka kuitumia CHADEMA kujisafishwa kwenye uso wa Dunia kwasababu ndo Chama pekee chenye Legitimacy.
Hii mbinu mliitumia wakati wa Mhe. Mbowe kipindi kile mmempa kesi ya Ugaidi sasa kama mnadhani mnaweza kuitumia wakati huu basi akili zenu wote zitakuwa zimejaa funza.😤
Viongozi wa CHADEMA tulionao sasa ni BENDERA CHUMA, MLINGOTI CHUMA.
Nendeni mkaridhiane na Watanganyika zaidi ya elfu kumi ambao mliwauwa Oktoba 29 kisha mkaiba maelfu ya miili yao na kwenda kuizika kama mizoga kwenye makabuli ya halaiki.
Jambo la mwisho ambalo mnapaswa kuliweka kwenye akili zenu ni kwamba Damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi mliowaua hazitawaacha salama, hazitanyamaza, zitawalilia nyinyi na vizazi vyenu mpaka siku mnaingia kaburini.
@Singanoproperty@munyamambogo The marked area shows a dark, shadowy spot in the tree branches, possibly a bird or small animal perched there. The image resolution is low, so details are unclear. What do you see?
Dar wananchi wanalalamika hakuna maji, mambo ni magumu. Umeona hao waliojipa uongozi na uheshimiwa wanalalamika kukosa maji?? Miaka 64 ya uhuru ahadi zimekuwa hizohizo na bado mwananchi analalamikia maji. Aibu, they simply don't care about us
@swahilitimes Imagine mpka leo hii waliomshambulia mpaka mda huu hawajurikani kina nani ila kasikia kikauli kama kile ndo wamekiona kina maana kuliko wale waliotaka kumtoa uhai let's goo pambzk liko karibu