Dar City Press Club

35 posts

Dar City Press Club banner
Dar City Press Club

Dar City Press Club

@darcitypress

We are members of Union of Tanzania press clubs (UTPC) Dar city press members are Writers, Editors and Stakeholders We fight Press freedom & Journalists safety

Dar es Salaam, Tanzania Beigetreten Temmuz 2024
102 Folgt4 Follower
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
RAIS SAMIA AZINDUA SHULE YA MIL.800/- ILIYOJENGWA MAKUNDUCHI NA NMB RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amekabidhiwa na kuizindua Skuli ya Maandalizi iliyopewa jina lake, iliyopo Kijiji cha Tasani, Makunduchi, Zanzibar, iliyojengwa na Benki ya NMB
Dar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet media
Filipino
0
0
0
16
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
SERIKALI imetoa ufafanuzi kuhusu madai yaliyotolewa na baadhi ya wananchi wa Ngorongoro kuwa wanakosa huduma muhimu.
Dar City Press Club tweet media
Filipino
0
0
0
11
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), kimesema kimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa zinazosambaa kuhusu mwenendo wa tukio la kikatili lilitokea dhidi ya Binti mmoja Mkazi wa Dar es salaam ambalo lilirekodiwa katika video zilizosambaa.
Dar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet media
Indonesia
0
0
1
17
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
WATU 11 wanashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, wakiwamo wanne wanaodaiwa kukamatwa na vipande 29 vya meno ya tembo katika wilaya za Kilosa na Morogoro na wengine saba wanaotuhumiwa kujaribu kutapeli watawa wa Kanisa Katoliki huko Bigwa, Manispaa ya Morogoro.
Dar City Press Club tweet media
Filipino
0
0
1
12
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
KLABU ya waandishi wa habari ya Dar es salaam DCPC, tunafuraha kubwa kuweza kushiriki katika kongamano siku ya jana 16/8/2024, lililoandaliwa na UNESCO. Tumejifunza mambo mengi yenye manufaa na tuna hamu ya kutumia maarifa haya katika kuimarisha tasnia yetu ya habari! @utpc_tz
Dar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet media
Indonesia
0
0
1
19
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
*WIZARA YA MADINI KUIBUKA NA MIRADI MIKUBWA YA KIMKAKATI* ° Dodoma Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Kampuni mbalimbali za uchimbaji na uchakataji madini inatarajia kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati itakayohusisha mnyororo mzima katika Sekta ya Madini.
Dar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet media
Indonesia
0
0
0
16
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Balozi Dk. Pindi Chana, ameompa wazazi kuandaa majina ya watoto wao kabla ya kuzaliwa ili kwa haraka wasajiliwe na kupatiwa vyeti vya kuzaliwa baada ya kuzaliwa. Balozi Dk. Chana alitoa rai hiyo mwishoni mwa wiki jijini Dodoma wakati wa ziara yake.
Dar City Press Club tweet media
Indonesia
0
0
1
16
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
Habari kubwa zilizopo kwenye Jurassic za magazeti leo Agusti 12,2024
Dar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet media
HT
0
0
0
7
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
TUMEJIPANGA KUTEKELEZA MKAKATI WA TAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA- MRAMBA Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba amesema Wizara ya Nishati imejipanga ipasavyo kutekeleza Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia (2024 - 2034)
Dar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet media
Indonesia
0
0
1
12
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
Majina ya vituo vikuu vya treni katika reli yetu ya kisasa (SGR) Dar es Salaam - Magufuli Station, Morogoro - Kikwete Station, Dodoma - Samia Station, Tabora - Ali Hassan Mwinyi Station, Shinyanga - Abeid Amani Karume, Mwanza - Nyerere Station, Kigoma - Mkapa Station
Dar City Press Club tweet media
Filipino
0
0
1
57
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
NAFASI ZA KUJIANDIKISHA JESHINI MWISHO 24 August 2024
Dar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet mediaDar City Press Club tweet media
Filipino
0
0
1
11
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
Shirika la Reli Tanzania (TRC), limeomba radhi kufuatia hitilafu ya umeme iliyojitokeza kati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete na kusababisha treni ya reli ya kiwango cha kimataita (SGR) iliyokuwa inasafiri kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma kusimama kwa muda wa saa mbili usiku
Dar City Press Club tweet media
Indonesia
0
0
1
24
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
WAZIRI wa Afya, Ummy Mwalimu, amesema kuna uhaba wa watumishi wa afya kwa zaidi ya asilimia 50, huku maeneo mengi yakiwa ni ya pembezoni, ambako watumishi wengi wanaomba na wanahitaji kubaki mijini.
Dar City Press Club tweet media
Indonesia
0
0
1
9
Dar City Press Club
Dar City Press Club@darcitypress·
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limewatangazia Wateja wake wa Mkoa wa Dar es salaam kuwa kuna katizo la umeme katika maeneo yao ambapo baadhi ya maeneo yamekosa umeme kuanzia saa 5 asubuhi hii hadi saa 8:30 mchana wa leo July 28,2024.
Dar City Press Club tweet media
Filipino
0
0
1
19