MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ
206.7K posts

MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ
@davitheempire
Generally talk a lot about #M4C #KatibaMpya #ManchesterCity #HumanRights #ChangeTanzania ๐ A Business man- -C.E.O of Next Zone Shine Wear Group.
Nairobi Beigetreten Nisan 2014
1.9K Folgt27K Follower
Angehefteter Tweet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet

Mwanamziki @solothang katubless na bonge la ngoma inaitwa โSHANGAZI KAJAโ
Mungu ambariki sana, tunahitaji Wasanii wengi zaidi ambao and wanasema ukweli bila kujiumauma.๐โค๏ธ
Indonesia
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet

Jamani hawa watu, Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa afya njema na kuwatimizia mahitaji ya mioyo yao.
Mawakili wa @ChademaTZ2 , mbarikiwe sana. Wakati wengine wanatamani chama kife, nyinyi mmeonesha uthabiti na weledi hata kushuka kwenye SGR mmeshuka in style na hadhi na kujiamini.
CHADEMA bado tupo imara. Watajaribu kutuchosha kwa kesi nyingi, lakini tutaendelea kujitokeza na hatutakata tamaa.
Tupo rada. Dodoma tumeshafika, na tupo tayari kukabiliana na Jaji Mkuu.
#Freelissu
#KatibaMpyaNiSasa



Indonesia
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet
MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet

MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet


MMAREKANI MWEUSI ๐ฐ๐ช๐บ๐ธ retweetet

MAWAKILI WA CHADEMA WAKIWASILI DODOMA KUTETEA CHAMA CHAO: Ni haki kwa mlalamikaji yeyote kutafuta haki yake mahakamani ila historia inaonesha matumizi ya mifumo ya mahakama kutatua migogoro ya vyama vya siasa hayajaonesha mafanikio ya kudumu barani Afrika. Mfano mashuhuri ni ANC iliyopigwa marufuku mwaka 1960 na Makaburu, ikalazimika kufanya shughuli zake kwa siri, takriban miaka 32 viongozi wake wakifungwa au kukaa uhamishoni.
Matokeo ANC ikajijengea uhalali mkubwa ndani na nje ya nchi na hatimaye, Mfumo wa ubaguzi ulipoanguka, ANC iliibuka ikiwa na nguvu zaidi na kushinda uchaguzi wa kwanza wa kidemokrasia mwaka 1994 chini ya uongozi wa Nelson Mandela. Jaribio la kukiondoa chama hicho kupitia sheria liliishia kukiimarisha.
Pili ni Senegal, chama cha PASTEF kilipigwa marufuku mwaka 2023. Hatua hiyo ilichochea hisia za wananchi dhidi ya kile kilichoonekana kama ukandamizaji wa kisiasa, na mwaka mmoja tu baadaye, 2024, viongozi wanaohusishwa na chama hicho walishinda urais. Tukio hili linaonyesha jinsi hatua za kisheria zinavyoweza kubadili chama cha upinzani kuwa alama ya mapambano ya kisiasa.
Tatu, Gambia, wakati wa utawala wa Yahya Jammeh, vyama vya upinzani vilikumbana na vizuizi vikali, ikiwa ni pamoja na kupigwa marufuku. Hata hivyo, vyama hivyo vilijipanga upya, vikaungana, na hatimaye kushinda uchaguzi wa mwaka 2016. Hivyo basi, ukandamizaji haukuondoa nguvu zao bali uliwafanya wawe na mshikamano zaidi.
Tanzania tunatambuliwa kuvisaidia vyama vya ukombozi wa Afrika hadi uhuru wao, huku vikiwa vimepigwa marufuku na tawala za kikoloni ikiwemo: ZANU-PF ya Zimbabwe, MPLA ya Angola, na FRELIMO ya Msumbiji.
Matumizi ya mahakama katika ushindani wa kisiasa hakulipi. USHAURI WANGU TUJISAHIHISHE NDANI NA NJE YA VYAMA VYETU kushindania uongozi bora hasa wakati huu tunapohitaji MARIDHIANO na MSHIKAMANO ili kulileta taifa letu Pamoja.

Indonesia






















