iddynonga_

8.9K posts

iddynonga_ banner
iddynonga_

iddynonga_

@iddynonga_

official X account of me

Tanzania Beigetreten Mayıs 2015
2.4K Folgt26.9K Follower
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
Mechi iliyopita (dabi) kwenye Muungano Cup, mwamuzi alitoka Kenya,kwa hii trends na tutegemee mwamuzi kutoka nje ya mipaka ya Tanzania kutangazwa kuchezesha dabi au apewe nani wa ndani (mwamuzi) hii mechi?!!....
Indonesia
1
0
13
446
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
HAKUNA Mjinga kaburini,maisha yana majaribu makubwa sana! Tuombeane ndugu zangu !.
Eesti
0
1
8
135
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨Leo sibet "Muhindi" nipe lipa namba yako nikutumie mchango wangu !.
Filipino
1
0
4
114
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨Afrika Kusini hasa Mji wa Durban,kuna kundi kubwa la raia linasaka au kupita mtaa kwa mtaa kwa kuwatafuta wahamiaji haramu, yaani wakikukuta kuwa Mwafrika mwenzao na huna vitu muhimu vinavyokufanya ukae nchini humo kazi unayo,taifa kama la Ghana ndio limeathirika zaidi .
Filipino
0
0
3
837
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨Al Ahly baada ya Anguko lao hasa la michuano ya klabu Bingwa msimu huu,na wao wameanza maboresho,Zougrane kutoka MC Alger,Tougai kutoka Esperance pia anatajwa kunyatiwa na Ahly,hawa msimu ujao wakiwa mabingwa tutashangaa tena?!.
Filipino
0
1
86
4.9K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
DROO robo fainali shirikisho la CRDB! Yanga v JKT TRA v Simba Mashujaa v Azam Coastal v Singida BS !!.
Indonesia
0
0
4
292
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨MAFIA kuwarudisha tena Ulingoni Mfaume Mfaume na Iddy Pialali,pambano sasa rasmi kupigwa tarehe 27 ya mwezi wa Saba,kwenye tukio la USIKU WA VISASI,Pialali na Mfaume walitaka kuzichapa "kavukavu" kabla ya kutangazwa kwa Pambano hilo !!.
Indonesia
1
0
8
914
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨Ukiwa shabiki wa Mnyama Simba halafu una ROHO ndogo Usisikilize vipindi vya Michezo leo, Maana! Au Basi !!.
Indonesia
1
0
29
369
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨Bado mpaka Mtanzania mwenzangu unajichukulia sheria mkononi kwa Imani za Kishirikina? .
Indonesia
0
0
6
381
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨Na "MACAO" leo naombeni Ushauri hapa nifanye maamuzi MAGUMU !.
Indonesia
0
0
1
315
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨Senegal unawafananisha na timu Gani ya Hapa Bongo?!!....
Indonesia
3
0
40
2K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨JEMBE Limerudi tena Mjini,Yanga huwa wako fasta kwenye kubadilisha mambo yao!.
iddynonga_ tweet media
Filipino
3
9
306
5.2K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
Diarra kafungwa chuma ya kikatili sana Mhesa,hakuna faulo pale,chuma ile .
Filipino
0
1
75
1.8K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
Kaka Pedro hao ni Yanga,mwisho wa kunukuu!.
iddynonga_ tweet media
Filipino
9
6
237
4.4K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨Diarra mchezo dhidi ya TRA dakika za mwisho aliisaidia Yanga kupata alama MOJA muhimu,Kassali dhidi ya Pamba kama angeokoa lile shuti la Mwashinga pia angeisaidia Simba kupata ALAMA moja muhimu !...
Indonesia
2
1
59
2.4K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨Simba alama walioiangusha kwa Pamba imewapa maumivu makali kuliko kawaida! Zilikuwa alama za thamani kubwa sana kwao!.
Filipino
2
0
62
1.3K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
🚨"VIBE" la TRA baada ya mechi ghafla imeleta marudio ya mafikirio mechi ya Dodoma na Simba pale Jamhuri,kuna matukio ya kupoteza muda yalikuwa na mfanano na hata TRA walivyouapproach mchezo wenyewe! Ni alama za maumivu kwa Wananchi hizi !!....
Indonesia
2
2
76
3K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
"NI AIBU kwa CAF kwa kile walichokifanya, inavyoonekana ni kuwa Morocco wanaweza kufanya chochote wanachokitaka"-Claude Le Roy !.
Indonesia
1
3
62
2.1K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
Morocco ni ving'ang'a kweli kweli! Bwana wee CAF wamewatangaza kuwa ndio Mabingwa wa AFCON! HAYA MAAMUZI UNAYAWEZA KUYAONA MARA NGAPI KWENYE ULIMWENGU WA MPIRA?!....
iddynonga_ tweet media
Filipino
1
2
110
1.7K
iddynonga_
iddynonga_@iddynonga_·
ZA HIVI PUNDE! Kocha wa Mpira Rhulani Mokwena amefanikiwa kuondoka Nchini Algeria,hii ni baada ya kuwa mikononi mwa Afisa Usalama waliomdaka akiwa Uwanja wa Ndege,kituo kinachofuata sasa ni Al Ittihad ya Libya kuungana na Aziz Ki !!...
Indonesia
0
4
73
2.4K