𝐉𝐫
19.6K posts

𝐉𝐫 retweetet

MIRADI YA KIMKAKATI NA FURSA YA AJIRA KWA VIJANA NCHINI.
Kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati, maelfu ya vijana wamepata ajira nchini.
1. Mradi wa reli ya kisasa (SGR) umechangia zaidi ya ajira 35,000
2. Bomba la mafuta zaidi ya 10,000
3. Bandari ya Dar es Salaam zaidi ya 3,000
4. Uwanja wa Ndege wa Dodoma umezalisha ajira zaidi ya 2,400
5. Daraja la JP Magufuli likitoa zaidi ya ajira 1,500.

Indonesia
𝐉𝐫 retweetet
𝐉𝐫 retweetet

Waandamaji waliohamasishwa na wanaharakti uchwara @MariaSTsehai na @mangekimambi wakiwa mstari wa mbele kudai haki ya kuchoma mali za watu binafsi na mali za umma oktoba 29.
Chadema na wanaharakati uchwara mjiandae na ripoti ya tume ya uchunguzi hapo kesho tarehe 23/04/2026
Indonesia
𝐉𝐫 retweetet

Serikali Yakamilisha Sera ya Taifa ya Uwekezaji 2026 Kukuza Uchumi na Ubia
Serikali inakamilisha uandaaji wa Sera ya Taifa ya Uwekezaji ya mwaka 2026, inayolenga kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini, kufungua fursa za masoko na mitaji, kuharakisha uhamishaji wa teknolojia pamoja na kukuza ubia kati ya sekta ya umma na binafsi (PPP) ili kuchochea ukuaji wa uchumi.

Uwezeshaji kwa Wananchi:
✅ Mikopo kwa Vijana, Wanawake na Wenye Ulemavu:
Thamani: TZS Bilioni 94
Lengo:
Kuinua uchumi wa jamii kwa makundi muhimu ya vijana, wanawake na wenye ulemavu.
Dkt. Samia Suluhu Hassan Kiongozi wa vitendo akiendelea kutekeleza mikakati ya maendeleo jumuishi kwa wananchi wote.
Hatua hii ni ishara ya kujitolea katika kuleta usawa na fursa za kiuchumi kwa makundi yaliyosahaulika, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali kuhakikisha maendeleo endelevu kwa wote.

Indonesia
𝐉𝐫 retweetet
𝐉𝐫 retweetet
𝐉𝐫 retweetet

Miradi ya kimkakati na fursa ya ajira kwa vijana nchini
Kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati, maelfu ya vijana wamepata ajira nchini.
1. Mradi wa reli ya kisasa (SGR) umechangia zaidi ya ajira 35,000
2. Bomba la mafuta zaidi ya 10,000
3. Bandari ya Dar es Salaam zaidi ya 3,000
4. Uwanja wa Ndege wa Dodoma umezalisha ajira zaidi ya 2,400
5. Daraja la JP Magufuli likitoa zaidi ya ajira 1,500.

Indonesia
𝐉𝐫 retweetet
𝐉𝐫 retweetet

Miradi ya kimkakati na fursa ya ajira kwa vijana nchini
Kupitia utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kimkakati, maelfu ya vijana wamepata ajira nchini.
1. Mradi wa reli ya kisasa (SGR) umechangia zaidi ya ajira 35,000
2. Bomba la mafuta zaidi ya 10,000
3. Bandari ya Dar es Salaam zaidi ya 3,000
4. Uwanja wa Ndege wa Dodoma umezalisha ajira zaidi ya 2,400
5. Daraja la JP Magufuli likitoa zaidi ya ajira 1,500.

Indonesia
𝐉𝐫 retweetet
𝐉𝐫 retweetet
𝐉𝐫 retweetet

𝐉𝐫 retweetet
𝐉𝐫 retweetet

Chadema wanampigia kelele mtu yoyote hata mwenye kosa. Umesahau wakina Lema na Maria walikua wanapiga kelele kwa ajili ya huyu marehemu jambazi?

Bony 📚@bonifacejoseph_
Wewe Sukununu ulivyoingia kwenye 18 za dola kwa sababu Picha mnato ambazo ulikuwa unapost hapa X na maudhui makali, ni wanaharakati wa CHADEMA ndo walipiga kelele kuachiliwa huru, huku wafuasi wa CCM wakitaka upitie cha mtema kuni Heri ukae kimya kuliko kuipondea CHADEMA 🚮
Indonesia