kharry_de_prince

22.5K posts

kharry_de_prince banner
kharry_de_prince

kharry_de_prince

@kharryson95

💥//Community development Expert//💥 🎓//Teacher//🎓 🦁Manchester united & Simba fan🦁

Tanzania Beigetreten Ocak 2014
1.3K Folgt1.1K Follower
Angehefteter Tweet
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
Naomba ijulikane hivi nimekuwa nikifuatilia mambo ya siasa kwa zaidi ya mika 17 sasa sikuwahi kumiliki kadi ya chama yoyote nimeshawishika kupata kadi ya @ChademaTZ2 kama mwanachama hai naombeni mnisaidie jinsi ya kupata kadi...
kharry_de_prince tweet media
Indonesia
17
73
500
12K
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
No reform No election... Bado kashikilia bomba refa walete kati.
kharry_de_prince tweet media
Filipino
0
0
0
1
kharry_de_prince retweetet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mliokuwa mnaomba namba na utaratibu wa kukichangia chama. Changia kupitia namba hii 👇 #ToneTone #NimoUmoTumo
Hilda Newton tweet media
Indonesia
11
113
351
3.8K
kharry_de_prince retweetet
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ndugu wanachama wa CHADEMA na Wapenzi wa Demokrasia Nchini. Chama chetu kimefunguliwa rasmi kufanya shughuli za siasa. Hii ni fursa muhimu katika kuendelea na mapambano ya haki, uhuru na uwajibikaji katika Taifa letu. Lakini ukweli usioepukika ni huu hatuna ruzuku hata ya SENTI MOJA. Hii ina maana kwamba uhai, nguvu na uendelevu wa CHADEMA uko mikononi mwetu sisi wenyewe. Hatuna budi kuchukua jukumu. Hatuna budi kusimama. Hatuna budi kuchangia. Kila Mwanachama na kila mpenda Demokrasia ana wajibu wa moja kwa moja, kuchangia CHADEMA. Usione mchango wako ni mdogo. Usisubiri mwingine achukue nafasi yako. Kila senti unayotoa ni nguzo ya kusimama kwa chama hiki. Tujenge utamaduni wa kuchangia bila kusukumwa. Tujenge tabia ya kusaidia chama kila wakati. Hapo ndipo tutakapopata uhuru wa kweli wa kisiasa na kiutendaji. Mimi nipo, na nimeanza. Na wewe pia ni wakati wako sasa. Chukua hatua. Anza kuchangia. Simama na CHADEMA. Kwa pamoja, tutakijenga chama imara na Yaifa lenye HAKI. Tuchange tu kwa namba maalumu za CHAMA na Akaunti za Benki ili kujenga uadilifu wa Taasisi Imara. Mikakati zaidi inakuja baada ya vikao kuanza. Asanteni.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
38
292
787
55.4K
kharry_de_prince retweetet
Sheila Mchamba
Sheila Mchamba@SheilaMchamba·
Ndugu mgeni rasmi,, huyu anayewasili mda huu ni lastborn wa chama😌
Indonesia
32
81
555
9.5K
kharry_de_prince retweetet
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
Bandiko limeeleweka tumeanza usajili wa wanachama wapya... Chama haina ruzuku... Chama tutaibeba migongoni mwetu kwa jasho letu... @ChademaTZ2
kharry_de_prince tweet media
Indonesia
0
12
39
831
kharry_de_prince retweetet
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Dkt. Lazarus Chakwera (Rais wa zamani wa Malawi) yupo Tanzania kama Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola (commonwealth), Shirley Botchwey. Dkt. Lazarus Chakwera yupo nchini Tanzania kwa ajili ya kuleta mazingira wezeshi ya mazungumzo na utulivu wa kisiasa baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025. Tundu A.M Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, amekutana na Lazarus Chakwera Mjumbe Maalum (Special Envoy) wa Jumuiya ya Madola (Commonwealth) April 15 2026. TAL amewasilisha masuala kadhaa kwake, ambayo yakifanyika, atakuwa tayari kwa mazungumzo, lakini kwanza akiwa mtu huru na chama kifanye shughuli zake TAL kamueleza kwamba, Kesi ya Uhaini inayomkabili ni kwa sababu ya msimamo wake na CHADEMA kuhusu uchaguzi mkuu wa 2025, NO REFORMS, NO ELECTION. TAL ametaka matukio yote yaliyotokea Oktoba 29, 2025 na baada ya siku hiyo yafanyiwe uchunguzi huru na haki kupitia chombo cha kimataifa, mfano SADC. TAL ametaka uwajibikaji wa kitaasisi kwa yaliyotokea Oktoba 2025, mfano, Ofisi ya Msajili, INEC na TCRA, na umuhimu wa kurejea Ripoti ya Jaji Nyalali (1992). Kufanyika kwa mageuzi ya kimsingi ya vyombo vya dola ikiwepo vyombo vya ulinzi na usalama kwa kuzingatia mapendekezo ya Ripoti ya Jaji Chande (2023). Kubadilishwa mfumo wote wa uchaguzi, ikiwemo kuundwa kwa chombo kipya huru cha kusimamia uchaguzi. Kuzingatia ripoti za Warioba na Nyalali. Lakini, Tundu A.M Lissu amesisitiza kuwepo kwa mazingira wezeshi ya mazungumzo ya kweli pamoja na utekelezaji wa mambo yote yatakayokubaliwa. Lakini kubwa zaidi, KATIBA MPYA. amesisitiza umuhimu wa mchakato wa kupatikana kwa Katiba Mpya kama suluhisho la kudumu la changamoto za kiutawala.
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
15
133
561
15.7K
kharry_de_prince retweetet
JAPHET MATARRA
JAPHET MATARRA@Eng_Matarra·
Huyu mzungu kaja na mpambe wake na kauziwa chuma. Wewe endelea kusema unataka namba F, huyu mzungu alitaka namba D na jioni biashara imeisha Deal Done. Haoujue #DAR #SoldOut✅️✅️
JAPHET MATARRA tweet mediaJAPHET MATARRA tweet media
Filipino
6
4
114
9.5K
Dr. Miguna Miguna
Dr. Miguna Miguna@MigunaMiguna·
Thirty two years after the formal end to apartheid—the white supremacist rule which treated Black South Africans worse than dogs—a white South African magistrate has jailed the the most radical South African politician and leader of the left-leaning @EFFSouthAfrica and South Africa’s most prominent young Pan-African leader, to 5 years in jail for an alleged “firing” of a “firearm” in public, a firearm which was not produced in court and entered into evidence against him. It’s an outrage, especially a day after the South African President, @CyrilRamaphosa, appointed an apartheid era-politician, Roelf Meyer, as South Africa’s ambassador to the USA. We express our solidarity with Malema and wish him success on appeal. South Africa must be free! Amandla! #FreeJuliusMalema
Dr. Miguna Miguna tweet media
English
47
549
2K
57K
kharry_de_prince retweetet
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Lebanon wana mfumo wa siasa unaoitwa “confessionalism” ambao nafasi za uongozi zinagawanya kidini. Kwenye huo mfumo wao Rais huwa ni Mkristu, Waziri mkuu huwa ni Muislam wa Sunni halafu Spika wa bunge huwa ni Shia. Wabunge huwa wanagawanywa nusu Wakristu na nusu Waislamu.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
14
41
645
11.1K
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
Wakati wazee wanamshauri mwalimu asitoke madarakani kwani tanzania bado ni nchi changa waliona mbali sana huenda mwalimu hakulitazama hili kwa jicho la pili kama angeweza basi angeliepusha taifa na mambo mengi nimewaza tu.... Oct 29.2025 HATUTASAHAU...
Indonesia
0
0
1
19
Steph.
Steph.@LifeofSteph_1·
Leo nimenunua gari yangu ya kwanza kwa pesa yangu nikiwa na umri wa miaka 23 na miez 6. Nimenunua Spacio used milion 7. 🙏
Indonesia
37
36
282
7K
kharry_de_prince
kharry_de_prince@kharryson95·
President @LAZARUSCHAKWERA, we have learned that you met with @TunduALissu in prison—a positive step. However, this is not enough. For your Commission to gain credibility, it must engage directly with affected groups. Kindly provide clear guidance on how we can meet with you.
kharry_de_prince tweet media
English
0
13
37
465
kharry_de_prince retweetet
Palace Report
Palace Report@PalaceReport·
Olise and Eze will play in a Champions League semi-final 👏
Palace Report tweet media
English
37
749
16.4K
156.1K
kharry_de_prince retweetet
Benjamin Fernandes 🇹🇿
Benjamin Fernandes 🇹🇿@Benji_Fernandes·
The biggest branding winner in the @ChampionsLeague this year isn’t a club. It’s @visitrwanda_now. Atleti. PSG. Arsenal. All in the semifinals. All wearing the same sponsor. That’s a masterclass in global brand placement. 🇷🇼
English
21
271
1.2K
26.8K
kharry_de_prince retweetet
NKENJA_7
NKENJA_7@Abraha1Brighton·
Meli Haizami kwa Mawimbi ya KISENGE pamoja na misuko suko yote Bado wako Imara Ndo.kwanza wanaomba Tena Yani wapo fiti Kinoma dakika ni 120 wajomba Wana mbingu Yao
NKENJA_7 tweet media
Filipino
1
5
33
288
kharry_de_prince retweetet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
TUNDU LISSU AKUTANA NA CHAKWERA GEREZANI Nimetoka Ukonga kumtembelea Tundu Lissu. Tumepata nafasi ya kujadili kwa kina mwenendo wa kesi zote zinazoendelea na zile zilizo pending. Amenieleza pia kuwa jana, tarehe 15 Aprili 2026, alikutana na Mhe. Lazarus Chakwera na kuwasilisha kwake masuala muhimu yafuatayo: 1. Kesi ya Uhaini inayomkabili ni kwasababu ya msimamo wa No Reforms No Election, Kesi zote zinazomkabili yeye na chama zifutwe, na kwamba yuko tayari kwa mazungumzo akiwa mtu huru yeye pamoja na chama. 2. Matukio yote ya Oktoba 2025 yafanyiwe uchunguzi huru kupitia chombo cha kimataifa, mfano SADC. 3. Kuwepo kwa mazingira wezeshi ya mazungumzo ya kweli pamoja na utekelezaji wake. 4. Uwajibikaji wa kitaasisi kwa yaliyotokea Oktoba 2025, mfano, Ofisi ya Msajili, INEC na TCRA, alisisitiza umuhimu wa kurejea Ripoti ya Jaji Nyalali (1992). 5. Mabadiliko katika vyombo vya ulinzi na usalama, alisisitiza kurejea Ripoti ya Jaji Chande (2023). 6. Mabadiliko ya mfumo mzima wa uchaguzi, ikiwemo kufutwa kwa INEC na kuundwa kwa chombo kipya huru, akisisitiza kurejea ripoti za waangalizi wa uchaguzi (1995–2025), pamoja na Ripoti za Jaji Warioba na Jaji Nyalali. 7. Katiba Mpya Nimempatia pia uamuzi wa Mahakama ya Rufani uliotolewa jana kuhusu chama kuendelea kufanya kazi amesema “watu wajiandae, muhimu nijue mkutano utafanyika wapi a day after Ukonga” @Advocate_Kisabo, Wakili wa Mhe. Lissu.
Hilda Newton tweet media
Indonesia
48
269
1K
27.8K