Othman Masoud Othman
929 posts

Othman Masoud Othman
@othmasoud
Mgombea Urais wa Zanzibar 2025 Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo Taifa
Zanzibar West, Tanzania Beigetreten Mart 2021
38 Folgt13.2K Follower

Jumanne ya Februari 24, 2026, nilipata fursa ya kukutana na Wananchi wa Mikoa ya Kichama ya @ACTwazalendo ya Kaskazini A na B, katika ziara ya kuwajulia-hali Wazee, Wagonjwa na Watu wanaokabiliwa na matatizo mbali mbali, yakiwemo ya kiafya na Wasiojiweza, huko Mkoa wa Kaskazini Unguja.




Indonesia

Leo Februari 12, 2026, nimepata fursa ya kuzungumza na Viongozi wa chama chetu cha @ACTwazalendo , wa mkoa wa kichama wa Wete na Micheweni, Kikao kilichofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani, huko Wete Kaskazini Pemba.
Huo ni muendelezo wa Ziara yetu ya kutana na Viongozi wa chama chetu, na kuwaeleza muelekeo wa Mazungumzo yanayoendelea ya kutafuta Suluhu ya kudumu ya mgogoro wa kisiasa Zanzibar.




Indonesia

Jana Januari 29, 2026, nilipata fursa ya kuzungumza na kubadilishana mawazo na baadhi ya waliokuwa wagombea wa nafasi za Ubunge wa Chama chetu cha @ACTwazalendo visiwani Zanzibar, na ambao walifungua kesi katika Mahakama Kuu ya Zanzibar, Kikao kilichofanyika katika Ofisi ya Makao Makuu ya Chama Zanzibar, iliyopo Vuga Mjini Unguja.




Indonesia

Leo Jumanne ya Disemba 30, 2025, nimejumuika na Viongozi na Waumini wengine wa Kiislamu, pamoja na Wananchi, katika Maziko ya Mama-Mkwe wa Mhe. @mansoorhimid, Marehemu Bibi Fadya Abdallah Seif Albahry, huko Kijijini kwao Kazole, Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Innaalillahi Wainaa Ilayhi Raajiun! Mwenyezi Mungu Ailaze Roho ya Marehemu Mahala Pema Peponi. Amiin!




Indonesia






















