Polisi Tanzania Football Club
150 posts

Polisi Tanzania Football Club
@polisitzfc
Official Account of Polisi Tanzania Football Club.
Moshi Kilimanjaro Beigetreten Aralık 2019
12 Folgt16.3K Follower

Kipindi cha kwanza tumewapelekea Moto hatari hawa @MbeyaCityFC_, Kipindi cha pili ndio wataomba maji ya kunywa.

Filipino

Hivi Mtibwa Begi lao lilipotelea Manungu au...
BMT hawa nao wachunguzwe tu mana hii ni mchongo mchongo😁😁😁
Hawa Mtibwa tukikutana nao tunapiga hamsa @MtibwaSugar @mtibwaofficial @Ruvu_shootingFc @yangasc1935 @DodomaJijiFC
Indonesia

Jezi za ugenini za timu yetu.
Huu ndio mwonekano wetu ugenini kwa msimu huu.
Asante @fred_vunjabei @tanpol

Indonesia

Wanafunzi wa shule ya msingi Tumbi Kibaha Mkoani Pwani, wakifurahi na kipa wa Polisi Tanzania wakati timu hiyo ilipokuwa mazoezini leo asubuhi kwenye uwanja wa Shirika la elimu Kibaha kujiandaa na mchezo dhidi ya Ruvu siku ya Jumapili.
instagram.com/p/CVU6J44Kxqg/…
Indonesia

Mchezo wetu unaofuata.
Hapa ushindi mwanzo mwisho
@Tanfootball @tplboard @NBCTanzania @KCBBankTZ @azamtvtz

Indonesia

Tunawatakia mapumziko mema ya sikukuu ya Maulid.
@Tanfootball @tplboard @NBCTanzania @azamtvtz @KCBBankTZ @fred_vunjabei
Indonesia

Ruvu Shooting mjiandae, Kikosi kamili kinakuja
instagram.com/p/CU8EHaIqeN8/…
Suomi

Winga mnyumbulikaji Emmanuel Manyanda amejiunga na Vijana wa IGP Simon Sirro @ClubPolisi akitokea kwa walima alizeti Singida FC kwa mkataba wa miaka miwili.
"Umoja wetu ndio Nguvu yetu" instagram.com/p/CEY_zf3gnbg/…
Indonesia

Kwa furaha kubwa tunapenda kumtambulisha Winga Rashid Juma kutoka Simba SC.
Rashid amekuja kwa mkopo wa mwaka mmoja.
Ni mchezaji mwenye kipaji na tunaamini akiwa hapa @ClubPolisi atafanya vizuri zaidi.
Karibu sana… instagram.com/p/CEYhonfgaAN/…
Indonesia

Mchezaji kinda Kassim Shaban Haruna amejiunga na kikosi chetu kwa mkataba wa miaka miwili.
Kassim alikuwa nahodha katika timu ya Sahare ya Tanga na alionyesha kiwango ambacho kimewaridhisha Viongozi na benchi letu… instagram.com/p/CEW37ltA3Ee/…
Indonesia

Mshambuliaji Ramadhan Kapera amejiunga na klabu yetu ya @ClubPolisi kama mchezaji huru kwa mkataba wa mwaka mmoja.Msimu uliopita alichezea KMC
Kapera ni mmoja wa washambuliaji wenye kasi na nguvu, benchi la ufundi… instagram.com/p/CEWhiMXAWEj/…
Indonesia

Mshambuliaji Ramadhan Kapera amejiunga na klabu yetu ya @ClubPolisi kama mchezaji huru kwa mkataba wa mwaka mmoja.Msimu uliopita alichezea KMC
Kapera ni mmoja wa washambuliaji wenye kasi na nguvu, benchi la ufundi… instagram.com/p/CEWhiMXAWEj/…
Indonesia

USAJILI 2020/2021.
Muda siyo mrefu tutaanza kutangaza Wachezaji wapya tuliowasajili, walioongeza mikataba na Waliojiunga na @ClubPolisi kwa mkopo.
"Umoja wetu ndio Nguvu yetu"
@tplboard @vodacomtanzania azamsports2… instagram.com/p/CET6PCaAnyD/…
Indonesia

Hizi hapa Mechi za @ClubPolisi mzunguko wa kwanza katika msimu wa 2020/2021.
lodhiagroup busegamazao_tz @tplboard instagram.com/p/CECWmcggEXD/…
HT

Hawa ni wachezaji ambao hatutakuwa nao katika msimu ujao,
Tunawashukuru kwa kipindi chote tulipokuwa nao katika kikosi chetu na tunawatakia mafanikio mema.
"Umoja wetu ndio Nguvu yetu"
azamsports2 @tanfootball… instagram.com/p/CD3yA2dAScZ/…
Indonesia

Salamu za Sikukuu ya Idd kutika kwa Inspekta Jenerali wa Polisi IGP Simon Sirro @ Dar es Salaam, Tanzania instagram.com/p/CDTJcrFAZwE/…
Indonesia


