Kilembe

2.5K posts

Kilembe banner
Kilembe

Kilembe

@tethic_

Footballer ⚽ CLUB: Inegol FC, nationality Tanzania 🇹🇿 . CDM, AM.©️♏

Beigetreten Mart 2023
1.4K Folgt245 Follower
Kilembe retweetet
Peter Msigwa
Peter Msigwa@MsigwaPeter·
The good old days!
English
7
25
84
2.5K
Pharm Iddy 💊💉
Pharm Iddy 💊💉@FanuelIddy·
Sema hii nchi tumepitia Mengi sana😁😁🤣🤣
Pharm Iddy 💊💉 tweet media
Eesti
64
50
485
20K
Rising Stars XI
Rising Stars XI@RisingStarXI·
🇩🇪💥 𝐀𝐋𝐄𝐊𝐒𝐀𝐍𝐃𝐀𝐑 𝐏𝐀𝐕𝐋𝐎𝐕𝐈𝐂́ (𝟐𝟏)’s 1st half against PSG: • 1 ASSIST • 93% Pass Accuracy • 100% Successful Long Balls, 2/2 • 5 Tackles • 6 Ball Recoveries • 5/6 Ground Duels Won • 8 Defensive Contributions 𝗙𝗨𝗖**** 𝗕𝗘𝗔𝗦𝗧 🔥
Rising Stars XI tweet mediaRising Stars XI tweet media
English
9
92
2.4K
26.3K
M Ę C K I Ę 
M Ę C K I Ę @mee_nicodemus·
Video ya Ahmed Ally akishika kifua baada ya shambulizi la Yanga, tunaiomba wakuu…😂😂
Indonesia
14
15
303
17.1K
Kilembe retweetet
Adv.Innocent⚖️
Adv.Innocent⚖️@Adv_innocent·
Huyu jamaa IQ yake ni kubwa sana🙌🙌
हिन्दी
3
86
244
8.3K
Kilembe retweetet
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
😁👆🏼 Luis Enrique to Vincent Kompany: “You saw the game from the stands! Did you like it?”. “No!”. 😂 @CBSSportsGolazo 🎥🔝
English
875
11.3K
228.5K
4.6M
Dennoh
Dennoh@CFC_dennoh·
Only Enzo Maresca has the antidote to this PSG team 👀
English
25
543
4.5K
67.9K
danyombeumo
danyombeumo@danyobryan·
Huyu dogo kazungusha sana gauni pale EPL na watu wako busy na kina Madueke.. Neto..elanga halafu sahv ndio wanatoa macho😂🚮🚮🚮
danyombeumo tweet media
Filipino
21
28
434
10.8K
Latto 𝕏
Latto 𝕏@Rydx_017·
Wakati wanatindua kwa Mkapa, Wamekutana na Mazindiko ya watu uwanjani 😂😂🙆‍♂️ Mimi nadhani hili zindiko la Uto 😂😂😂😂 Video kwa Comments 👇
Latto 𝕏 tweet media
Filipino
39
12
224
34.3K
killo_Killotz
killo_Killotz@killo_killo11·
Ni ndoto ya kila mwanaume kupata mwanamke anae jistiri like this.😍
killo_Killotz tweet media
Indonesia
9
10
82
2.1K
TANZANIA BUSES NATION
TANZANIA BUSES NATION@BusesNation·
Ni Majanga juu ya Majanga Tahmeed KDV imeumana na Cruiser 🫤🫤
TANZANIA BUSES NATION tweet mediaTANZANIA BUSES NATION tweet mediaTANZANIA BUSES NATION tweet media
Indonesia
21
16
172
22.6K
Balyx
Balyx@Balyx_·
Huko Segunda Laliga 2, Spain. Kipa karibia aue mtu😀
Euskara
4
0
32
1.3K
Kilembe
Kilembe@tethic_·
@kavishePb Huwa nachangia hoja butu kwenye vikao vya familia Alf hakuna anae Pinga😂
Indonesia
1
0
1
7
💨mangi mkuu
💨mangi mkuu@kavishePb·
Kila familia kuna yule mtu yeye kila kitu anapinga tena bila hoja ya msingi na ukimuukiza kwanini hakupi jibu, ni chapombe sana, ni mkubwa akisema huna la kufanya kiplotoko itaonekana umemdharau👐😂
Indonesia
2
0
6
83
Bayern & Germany
Bayern & Germany@iMiaSanMia·
📈 Jamal Musiala's last 5 games for Bayern: vs Mainz ⚽ vs Leverkusen 🅰️ vs Stuttgart 🅰️ vs Real Madrid 🅰️ vs St. Pauli ⚽🅰️
Bayern & Germany tweet media
Deutsch
50
449
6.2K
107.7K
TICHA MANDEVU13
TICHA MANDEVU13@TichaMandevu·
Mawazo binafsi kwako kibongo bongo nani mkali wa FREESTYLE??
Filipino
23
17
96
4.4K
mdudu kiwi
mdudu kiwi@sabrimakavel·
viongozi wenu wa mboga mboga wakisemwa hivi mnaanza kuteka watu🚮
Mchambuzi@Baraza_Kuu

Unamjua lakini? Ni kijana aliyezaliwa mwaka 1981. Haiba yake na sura yake haviendani na umri mdogo alio nao. Kwa nini? Amejaa ganzi na gesi zinazomfanya ajisikie kuripuka kila wakati. Fikiria, ni kijana anayetoka eneo lililobarikiwa na Mungu madini ya kutosha ya dhahabu. Akili yake isivyoweza kuona mbali, amejiweka kwenye harakati za kuichafua nchi yake badala ya kukamata fursa. Ni mwanasiasa aliyefilisika katika mambo yafuatayo: 1. Alitaka kuwa Chacha Wangwe mpya. Watanzania walimshtukia mapema na kumweka sehemu anayostahili. 2. Alishiriki kampeni ya kumpaka matope Freeman Mbowe kwa kumsaidia Tundu Lissu kuendesha kampeni ya kumdhalilisha mwenyekiti wake. Juhudi zake hizo, zimekigawa chama chake na baadhi ya viongozi kukimbilia kwingineko. 3. Anatamani Tundu Lissu aendelee kukaa ndani ili atumie nafasi hiyo kuongoza chama chake kwa kipindi kirefu. 4. Anatamani kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania. Kila akimtazama Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba anazidi kuumia roho, akihisi yeye ndiye angefaa kuchukua nafasi hiyo. Uwaziri Mkuu ni nafasi yenye heshima yake; siyo ya wavuta bangi wa milimani. 5. Alianzisha kampeni haramu ya kuwakimbiza wawekezaji wa uchimbaji wa madini wa Kampuni ya North Mara huko kwao Nyamango, akiwahamasisha vijana kuvamia mgodi kila mara. Kiu yake ya kutafuta umaarufu kwa gharama ya damu za watu iliendelea kumwanika vibaya kama mwanasiasa aliyefilika. 6. Ni mwanasiasa anayehamasisha siasa za chuki na kutumia damu za watanzania ili kufikia maslahi yake ya kisiasa. 7. Ni mwanasiasa anayeamini kuwa Tanzania inatakiwa kuongozwa na umoja wa mataifa – msimamo unaoanika akili kisoda alizo nazo. Anajitoa akili kuwa alitaka kuzuia uchaguzi ambao chama chake hakikushiriki na akashindwa. Kumbe yeye na chama chao walikuwa wanaamini kuwa nchi yetu inapaswa kukabidhiwa umoja wa mataifa. Imagine!

Indonesia
1
0
3
33