Learning Everyday
215 posts

Learning Everyday
@AmazingContents
Trying to learn something new!😓



Lamine Yamal becomes the youngest player in Champions League history to reach 20 goal contributions 🔥


#HipHopFamily old freestyle Hashim Dogo V's Seif. #TunaPostHipHopTu ✊🏿👮🏿♂️


@MTENGENEZSAFINA @Ninja_Damour Mm kwenye ngoma za unju nyimbo niliona ame flow vizuri ni play boy na ile kichaa cha mbwa aliyo produce dunga




Marehemu Alikuwa Na Freestyle Moja Kama Moyo... Jamaa ukiwauliza wanakwambia ulikuwepo Bilcanas Wewe



Mnaweza msikubali Ila hiki ndio choo bora zaidi ya kukaa Unajisaidia kiurahisi na uchafu unatoka wote,ile ya kukaaa mmh kuna kanamna peanut butter zinabaki kwa mkate 🤮


Huyu jamaa na huyu bi dada kumbe ni wapenzii wa muda mrefu sikujua kabsa👏👏




DAR: Katibu Mkuu wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi Tanzania (#TABOA), Priscus John, ametoa kauli hiyo Aprili 10, 2026, baada ya kukutana na Waziri wa Uchukuzi, Makame Mbarawa, na viongozi wa chama hicho. Ikumbukwe April 8, 2026, Priscus alitoa taarifa kwa wananchi ambao hawajafanya 'booking' mpaka April 12 wasifanye, kwani hawawezi kuendelea kutoa huduma baada ya bei za mafuta kupanda mpaka pale serikali itakapokuja na suluhu, badala yake mabasi yangepelekwa kufanyiwa 'service'. Una maoni gani juu ya hili Mdau?✍️ Shiriki mjadala huu kupitia jamii.app/HatutagomaMade… #JamiiForums #Uwajibikaji #JFHuduma











