Tweet fijado
Mr. Magnifico
27.2K posts

Mr. Magnifico
@FelicianROM
MNMA ALUMNI 🧑🎓 (2021) Still hunting for big bags💰. A @ManUtd fan
Dar es Salaam, Tanzania Se unió Mayıs 2021
1.6K Siguiendo2.5K Seguidores
Mr. Magnifico retuiteado
Mr. Magnifico retuiteado
Mr. Magnifico retuiteado
Mr. Magnifico retuiteado

Tulikubaliana hakuna kujieleza sana @MsigwaGerson
Sasa mnapiga sarakasi na taulo, mnamwaga radhi 🤣
Hakusema Kimama chenu Euro 6,000 kwa tani! Alisema kwa lita 🤣
Eniwei #TutaelewanaTu

Filipino

#UfafanuziMuhimu
//
Leo tarehe 08 Aprili, 2026, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiwaapisha viongozi aliowateua hivi karibuni amezungumzia changamoto ya kupanda kwa bei za mafuta Duniani.
Kutokana na baadhi ya watu kuhitaji ufafanuzi wa kauli hiyo, Mheshimiwa Rais alimaanisha ifuatavyo;
1. Bei za mafuta ya dizeli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 800 kwa tani ambapo zimetoka dola 650 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,450 mwezi Machi 2026.
2. Bei za mafuta ya petroli katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 434 kwa tani ambapo zimetoka dola 618 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,052 mwezi Machi 2026.
3. Bei za mafuta ya taa na mafuta ya ndege katika soko la dunia zimeongezeka kwa dola za Marekani 821 kwa tani ambapo zimetoka dola 679 ya mwezi Februari 2026 hadi kufikia dola 1,500 mwezi Machi 2026.
Pamoja na kuwepo kwa athari za kupanda kwa bei za mafuta kwa watumiani Duniani kote, bado viwango vya bei za mafuta vya Tanzania ni vidogo ikilinganishwa na nchi zingine.
Kupanda kwa bei za mafuta kumesababishwa na athari za vita inayoendelea kati ya Irani dhidi ya Israel na Marekani iliyosababisha kufungwa kwa lango la Hormus ambalo hupitisha mafuta mengi yanayotumiwa Duniani ikiwemo Tanzania na nchi zingine za Afrika.

Indonesia
Mr. Magnifico retuiteado
Mr. Magnifico retuiteado

@BrendaRupia @HecheJohn @ccm_tanzania Acheni upotoshaji. Kilichosemwa ni 600 kwa 800. Tumia AI vizuri
HT
Mr. Magnifico retuiteado

Mwenezi wa @ccm_tanzania yuko wapi?Jana alituambia hatujui kufanya uchambuzi wa uchumi turudi shule.Leo tunaambiwa Europe wananunua mafuta kwa EURO 400 na marekani $600.Na hii ni kwa lita moja sio?
Indonesia
Mr. Magnifico retuiteado
Mr. Magnifico retuiteado

🙄🙄Seriously! Samia Suluhu said that fuel is sold at 6,000 (six thousand) Euros per liter in Europe‼️
Like waaat?
It would be funny were it not tragic - illegitimate head of state has walked through heaps of body to cling to power and is this CLUELESS!
Jamani tulie tusicheke! Huu ni ukilaza usio na kifani!
Kweli?
Ndo maana tumesema #SamiaMustGo
English
Mr. Magnifico retuiteado

Huwa najua Idd Amin Mama ni kilaza ila sikujua kama ni kilaza wa Kiwango hiki.
Anasema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita (6000) kwa lita moja, kwa hela ya bongo ni milioni 16-17
Kaenda mbali zaidi anasema Marekani bei ya mafuta ni dola elfu nane (8000) ambayo bongo ni sawa na milioni 20.
Ukweli ni kwamba bei ya Mafuta kwa Europe ni Euro 3.57
Wakati huo Marekani wao huwa hawanunui mafuta kwa lita bali wananunua kwa Gallon na Gallon moja ni Dola 3.80
Mwisho ukiwa kilaza hakikisha wasaidizi wako wanakuwa na akili hii itakusaidia kukwepa aibu ndogo ndogo kama hizi.
Indonesia
Mr. Magnifico retuiteado

Picha linaanza HOTUBA ishafutwa huko unaambiwa mgeni hataki soda anataka mia sita yake. 🤣
Nilipoona hiyo VIDEO ya madola na maeuro nikajua AI-ila nimeambiwa hiyo ni kweli na alikuwa live TBC 😅
Jitu punguani ni punguani tuu-hapo linajua elfu moja ya bongo ni sawa na elfu moja ya Marekani.
Halijui elfu moja ya marekani ni MILIONI MBILI na laki 5 ya bongo. Zezeta halijui kitu mamae.
Poleni watanzania.🤣

Filipino
Mr. Magnifico retuiteado

Hili limama lenu kichwani kuna FUNZA?
Anasema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita (6000) kwa lita moja, kwa hela ya bongo ni milioni 16-17
Kaenda mbali zaidi anasema Marekani bei ya mafuta ni dola elfu nane (8000) ambayo bongo ni sawa na milioni 20.
Ukweli ni kwamba bei ya Mafuta kwa Europe ni Euro 3.57
Wakati huo Marekani wao huwa hawanunui mafuta kwa lita bali wananunua kwa Gallon na Gallon moja ni Dola 3.80
Elimu mbali mbali inaongea na hutashangaa wanapiga makofi na suti zao kama misukule.
Nchi imeozeana inanuka kishenzi.
Indonesia
Mr. Magnifico retuiteado

@kaizen000000000 Why don't you keep quiet with what you believe ? Leave alone those who believe in God, and you dude continues to be an atheist. Over 📌
English









