Isack Mahumbi

33.7K posts

Isack Mahumbi banner
Isack Mahumbi

Isack Mahumbi

@IsackMahumbi

Husband, Father, MVM Expert #ManU,#YoungAfricanSC

Tanzania Se unió Ekim 2020
20.6K Siguiendo28.2K Seguidores
Isack Mahumbi retuiteado
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Jana nilipokwenda kuhuduria Kongamano la wanafunzi wa vyuo vikuu Chaso. Walitumwa baadhi ya vijana kutoka UVCCM, kwa kulipwa vifedha kidogo… Sina tatizo na vijana hata kama ni wa ccm kuhudhuria na kusikiliza sera, misimamo na hoja zetu. Lakini huyu kijana, watu wetu walipomgundua na kumhoji alisema alikua ameambiwa kwamba tukianza kuzungumza kuhusu ripoti ya Chande wazomee.. Lakini pia wafanye fujo na kutoka ukumbuni, ionekane vijana hawakutusikiliza. Kwenye simu yake alikua anawasiliana na mtu anaitwa Shangwe Mtei ambae ni kiongozi wa Uvccm. Huyu Shangwe akawa anamhakikishia kwamba hata kama wako wachache wafanye fujo kwasababu OCD alikuwepo nao pale. Ghafla huyu kijana akiwa anahojiwa na watu wetu kwanini yuko pale na nia yake ni ipi, Magari mawili ya polisi yalikuja pale kitendo kinachoonesha kwamba tukio hili lilikua limepangwa kwa ushirikiano huo. Huyu kijana alikua ametumiwa muamala wa sh 50,000 kwa madai yake walitumiwa wote na wenzake, na walipatwa hofu na kutokufanya fujo kwasababu vijana wa Chaso walikua wengi zaidi na pia ulinzi ulikua imara.. Fikiria kwamba huyu ni kijana wa chuo kikuu ana fikra na mawazo ya kutumwa na kulipwa sh 50 elfu!! Tuna safari ndefu kama Nchi Lakini lazima tufike.. Asante watu wetu wa ulinzi kwa kazi nzuri.
Suomi
62
281
841
35.8K
Isack Mahumbi retuiteado
MMAREKANI MWEUSI 🇰🇪🇺🇸
Tuongee UKWELI huyu Samia yeye mama yake ni MUARABU wa OMAN Na watoto wa BONGO ZOZO nao mama yao ni MTANZANIA tena MUHEHE Swali je kama.SAMIA angenyang'anywa Uraia angeweza kuwa RAIS wa hii nchi? Tusinyime watoto HAKI zao za URAIA
Filipino
13
53
233
14.5K
Isack Mahumbi retuiteado
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Mpwa wa #MheshimiwaTemba ametekwa kwa zaidi ya siku tatu, huku msanii huyo akikaa kimya bila kutoa tamko lolote. Huu ndio udhaifu mkubwa wa wasanii wazembe wa mbogamboga. Ndugu yake ametekwa, haonekani nyumbani siku zote hizo, hajawahi kupaza sauti kwa kuandika katika kurasa zake huko Instagram au kusema kwa maneno. Baada ya kijana huyo kupatikana ameuawa kinyama, akiwa amekatwa kichwa na mwili wake kutupwa mtoni, ndipo Temba anaibuka na kuandika: “Mungu yupo, atatenda miujiza.” Mungu hamsaidii asiyejisaidia: Huwezi kusubiri majanga yafike mwisho ndipo upaze sauti. Hakuna aliye salama. Ni lazima sote tusimame kidete na kukataa katakata vitendo hivi vya UTEKAJI na mauaji ya kinyama.
Indonesia
20
124
725
19.3K
Isack Mahumbi retuiteado
Felius Festo
Felius Festo@FeliusFesto·
Ni muendelezo wa matukio ya watu kutekwa, kupotezwa, kuuawa kikatili na miili kukutwa imetelekezwa lakini katika matukio yote hayo hamjawahi kupata majibu. Uchunguzi wenu haujawahi kuleta suluhu. Intelijensia yenu inatumika kuwafatilia @ChademaTZ2 tu na kusahau wajibu wenu.
Felius Festo tweet media
Indonesia
7
17
51
2.3K
Isack Mahumbi retuiteado
Taifa kwanzatz
Taifa kwanzatz@mchina_jr94958·
Hakuna namna watanyamazisha watu kuongelea Haki. #Mo29Revenge
Indonesia
3
34
158
3.1K
Isack Mahumbi retuiteado
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Ninja kukamatwa kiholela, na familia haijui yuko kituo kipi, ni taarifa ya kusikitisha sana. Imani yetu ni Ninja amechukuliwa na polisi na tunataka watoe taarifa rasmi na/au wamuachie mara moja! Free Ninja Now!!
Indonesia
13
278
1K
15.8K
Isack Mahumbi retuiteado
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Huwaga nikisikia Mtu katekwa naziwaziaga sana familia zao. Ndugu zetu wanapitishwaga kipindi kigumu sana. Mungu akawe na NINJA na familia yake kipindi hiki KIGUMU. Lazima tusimame kukema haya mambo ya KUTEKANA sio ubinadamu. #FreeNinja
SIR TIVA tweet media
Filipino
16
278
745
9.9K
Isack Mahumbi retuiteado
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Mahojiano ya Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi Mhe. Brenda Rupia na chombo cha habari cha Africa Thinks.
Filipino
16
142
513
9.6K
Isack Mahumbi retuiteado
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Mazungumzo yanapaswa kutanguliwa kwa kujua ukweli na ukweli utajulikana pale ambapo utafanyika uchunguzi huru juu ya mauaji ya Oktoba 29, 2025 pamoja na matukio mengine yaliyotokea." Mhe. @jjmnyika
Indonesia
4
26
64
1.3K
Isack Mahumbi retuiteado
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Sisi daima tumesema ni Chama cha demokrasia matumizi ya mazungumzo ni moja ya nguzo ya demokrasia kama ambavyo matumizi ya mapambano nayo ni njia ya kidemokrasia, sisi tutatumia silaha zote mbili." Mhe. @jjmnyika
Indonesia
5
33
117
1.9K
Isack Mahumbi retuiteado
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Kamati Kuu ya Chama imeazimia kuwaenzi waasisi wawili wa Chama, Mwenyekiti wa kwanza wa Chama Hayati Mzee Edwin Mtei na Katibu Mkuu wa kwanza wa Chama Hayati Bob Nyanga Makani. Kamati Kuu imeazimia jengo la makao makuu ya Mikocheni, Dar es Salaam litaitwa Edwin Mtei House na Jengo la Makao Mkuu ya Zamani ambayo sasa ni makao makuu ya mabaraza ya Chama litaitwa Bob Makani House." Mhe. @jjmnyika
Indonesia
9
46
233
6.3K
Isack Mahumbi retuiteado
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Na huyu ndio WAZIRI wenu wa Ajira aliepata ZERO forn 4. Hana Degree ila anamiliki pHd. Amesoma vyuo vya online viwili ambavyo ukisearch HAVIPO. Huyu ndio anaenda kutatua kero za WASOMI wenye madegree waliokosa ajira. MALAYA kama hawa ndio wanasemaga wameokotwa majalalani.
SIR TIVA tweet media
Indonesia
45
85
657
36.3K
Isack Mahumbi retuiteado
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Flashback Friday! Me & Profesa Jay tukiwa backstage kwenye show yake ya Atlanta, USA mwaka 2010. Katikati ya Show wakati wa Wimbo wa “Hakuna Noma”, alinipandisha mimi na Bamboo (wa K-South) tukapiga verses. Kiukweli nimesha perform show kibao na majukwaa kibao… ila Hii itabaki kuwa the best highlight of my career so far. Prof Jize ni undisputed heavyweight MC, and unanimous G.O.A.T was TZ Hip Hop. Ame inspire vizazi na vizazi, he’s been a mentor to many (including myself) na ameacha alama isiyofutika. Leo anaenda kupewa heshima yake kwenye Bongoflava Honors, naomba wote mtokee kwa wingi ku-celebrate career ya one of the best to ever do it!!! SHOW YA LEO SIO YA KUKOSA.. Shoutout to Sugu & Deiwaka Ent for this platform.
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet mediaWebiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Filipino
8
47
547
18.7K
Isack Mahumbi retuiteado
Mbunge Wa Taifa
Mbunge Wa Taifa@taifa_mbunge·
Chadema wamerudi kazini Rasimi Hamna kulala hadi kieleweke Lissu aachiwe Tupate katiba mpya #Tutakuwepo
Indonesia
13
76
356
6.9K
Isack Mahumbi retuiteado
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
"Kuanzia sasa mchakato wa Katiba Mpya uanze, na Katiba mpya hiyo ipatikane kivyovyote vile si zaidi ya mapema ya mwaka 2027. " Mhe. @jjmnyika
Filipino
7
38
127
1.6K
Isack Mahumbi
Isack Mahumbi@IsackMahumbi·
@chapanombombwi Vyombo vya dola vinahusika kuteka, kuua na kupoteza Watanzania wenzetu huo ndo ukweli ndo maana viongozi wapo kimya
Suomi
1
0
6
272
Isack Mahumbi retuiteado
sultan
sultan@chapanombombwi·
Watu wanatekwa, jamaa hawajali wapo kimya tu. Watu wanauliwa, jamaa hawajali wapo kimya tu. Watu wanabakwa na kulawitiwa, jamaa hawajali wapo kimya tu. Watu wanabambikiziwa kesi, jamaa hawajali wapo kimya tu. Unawezaje kusema una vyombo vya ulinzi katika nchi ya namna hii? Ndugu zangu, jukumu la kulikomboa taifa tunalo mikononi mwetu. Kama yupo hata mmoja anayedhani hawa watu kuna siku watatupa taifa bora, basi huyo mtu ni mtumwa wa ki-fikra!
sultan tweet mediasultan tweet mediasultan tweet media
हिन्दी
39
100
305
18.1K
Isack Mahumbi retuiteado
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Siku nzima bila Ninja, bila taarifa ya polisi kuwa wanamshikilia au kuifahamisha familia hali yake! This is highly unfair. Wherever you are, stay safe, Ninja! Ufunikwe na mbawa za M/Mungu. Urudi salama. Free Ninja Now!
Indonesia
3
115
399
5.4K
Isack Mahumbi retuiteado
ROYAL TELEVISION
ROYAL TELEVISION@Royal_Tv_Tz·
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche, amesema kuwa vyuo vikuu vinapaswa kuwa kitovu cha mijadala ya kisiasa, akisisitiza kuwa ni jukumu la wasomi kushiriki kikamilifu katika kuchambua masuala ya kitaifa na kimataifa. Akizungumza katika Kongamano la CHASO lililofanyika Mkoa wa Dar es Salaam leo Mei 02, 2026, Heche amehoji mantiki ya kuzuia siasa vyuoni huku akisisitiza kuwa elimu ya juu inapaswa kuendana na uelewa mpana wa masuala ya kijamii na kisiasa. “Sasa siasa isipofanyika chuo kikuu, iende ikafanyike wapi?” alihoji Heche, akiongeza kuwa mwanafunzi wa darasa la saba hawezi kuwa na uwezo wa kuchambua kwa kina madhara ya migogoro ya kimataifa kama ile ya Iran, Israel na Marekani. Amesisitiza kuwa jukumu hilo linapaswa kufanywa na wasomi waliopo vyuo vikuu, ambao wana nafasi ya kuchambua masuala hayo kwa kina katika mazingira ya kitaaluma. Heche pia amekosoa kauli zinazowazuia wanafunzi kujadili siasa wakiwa vyuoni, akisema kuwa kufanya hivyo ni kunyima vijana fursa ya kukuza uelewa wao wa masuala muhimu ya kitaifa. “Unaambiwa usijadili siasa chuoni, sasa utajadili nini kama siasa unaambiwa usijadili?” alihoji, akisisitiza kuwa mijadala ya kisiasa ni sehemu muhimu ya maendeleo ya fikra na uongozi kwa vijana.
Indonesia
11
28
136
2.5K