JAMVIMEDIAGROUP

56.2K posts

JAMVIMEDIAGROUP banner
JAMVIMEDIAGROUP

JAMVIMEDIAGROUP

@JAMVIMEDIA

We are:-JAMVILAHABARI, MJASIRIAMALI, KUMEKUCHA, BUSATI, TANZANIA BORA,FIKRA PEVU, SPOTIMASTA na TIMES OBSERVER. Print and Digital platforms.

Tanzania Se unió Mayıs 2019
2.1K Siguiendo56.7K Seguidores
Tweet fijado
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
*DK. SAMIA MZIKI MNENE* Na Mwandishi Wetu Siku chache baada ya kufikisha siku 100 ikulu, katika kipindi cha pili cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, Tanzania inaendelea kushuhudia kasi mpya ya maendeleo katika sekta mbalimbali za kijamii na kiuchumi. Fuatilia mfululizo huu wa makala za kazi inaendelea na Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuleta Tabasamu la Taifa. MIUNDOMBINU Serikali imeongeza kasi ya ujenzi wa barabara, madaraja makubwa na reli ya kisasa, hatua inayorahisisha usafirishaji na kukuza biashara za ndani na nje ya nchi. Maboresho ya bandari na viwanja vya ndege yameongeza ushindani wa taifa katika uchumi wa kikanda. UMEME Miradi mikubwa ya uzalishaji umeme imekamilishwa na mingine kuimarishwa, hali iliyoongeza upatikanaji wa nishati ya uhakika kwa viwanda, biashara na makazi ya wananchi. Umeme umefika katika maeneo mengi zaidi vijijini, ukichochea shughuli za uzalishaji. MAJI Ujenzi na upanuzi wa miradi ya maji safi na salama umeboresha huduma kwa wananchi wa mijini na vijijini. Wananchi wengi sasa wanapata maji karibu na makazi yao, kupunguza adha ya kutembea umbali mrefu kuyatafuta. AFYA Kuanzishwa kwa Bima ya Afya kwa Wote kumeleta matumaini mapya kwa wananchi, huku hospitali zikiboreshwa kwa vifaa tiba na wataalamu zaidi. Upatikanaji wa dawa na huduma za msingi umeimarika katika maeneo mengi. ELIMU Sera ya elimu bila malipo imeendelea kuimarishwa kuanzia msingi hadi sekondari. Mabadiliko ya mitaala yamelenga kuwajengea wanafunzi ujuzi wa kisasa, ubunifu na stadi za maisha zinazoendana na mahitaji ya soko la ajira. KILIMO Sekta ya kilimo imepewa kipaumbele kupitia ruzuku za pembejeo, mikopo nafuu na juhudi za kufungua masoko ya uhakika kwa mazao ya wakulima, hatua inayoongeza tija na kipato chao. MADINI Mageuzi katika sekta ya madini yameongeza uwazi na mapato ya taifa, huku wachimbaji wadogo wakipewa msaada wa kitaalamu na masoko bora. Uongezaji thamani ndani ya nchi umeanza kuimarika. UTALII Kupitia kampeni za kimataifa na maboresho ya miundombinu, sekta ya utalii imeendelea kukua, kuongeza mapato ya fedha za kigeni na ajira kwa vijana. AJIRA Fursa za ajira zimeongezeka kupitia miradi ya maendeleo, ukuaji wa sekta binafsi na uwekezaji mpya unaoendelea kuvutiwa nchini. SAPOTI KWA WAJASIRIAMALI Serikali imeendelea kuweka mazingira rafiki ya biashara kwa kurahisisha usajili na upatikanaji wa mikopo kwa vijana na wanawake, hatua inayochochea ukuaji wa biashara ndogo na za kati. UHUSIANO WA KIMATAIFA Diplomasia ya uchumi imeimarisha mahusiano ya Tanzania na mataifa mbalimbali, kufungua milango ya uwekezaji, mikataba ya maendeleo na ushirikiano wa kibiashara. MAONI YA WANANCHI Wananchi wengi wanaeleza kuiona kasi ya maendeleo katika maeneo yao, wakisema maboresho ya miundombinu, afya, elimu na ajira yanaonekana kwa vitendo na kuongeza matumaini ya maisha bora zaidi. Kaa tayari kupata uchambuzi wa sekta kwa sekta, mkoa kwa mkoa na taasisi kwa taasisi katika mfululizo wa makala maalum za Kazi inaendelea na Dk. Samia Suluhu Hassan katika kuleta Tabasamu kwa Taifa. Makala hizo zitaletwa kwenu kupitia magazeti ya JAMVI MEDIA GROUP na vyombo vingine katika njia za mtandao, magazeti, redio na Tv.
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
0
3
3
1K
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
Bei ya Mafuta Uholanzi yafika 6500 kwa lita
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
1
0
0
163
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
Vita ya Iran yaibua vita vya mafuta ya ndege
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
0
0
0
37
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
Sekta ya mbolea yatikiswa Duniani. Uzalishaji wa chakula hatarini
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
0
0
0
74
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
Kisuo atenguliwa unaibu waziri
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Filipino
0
0
0
103
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
Maswi, Jingu wapishana wizara
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
हिन्दी
0
0
0
101
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
MAFUTA MJADALA WAHAMA KUTOKA BEI KUWA UPATIKANJI MJADALA wa mafuta duniani umechukua sura mpya, ukihama kutoka kwenye bei na kuelekea kwenye upatikanaji wa bidhaa hiyo muhimu, kufuatia kuendelea kwa mgogoro wa Mashariki ya Kati unaohusisha Marekani, Iran na Israel.
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
0
0
0
32
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
Hili hapa gazeti lako BUSATI
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Filipino
0
0
0
32
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
Soma gazeti MFANYABIASHARA
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
0
0
1
28
JAMVIMEDIAGROUP retuiteado
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Mzaliwa wa Iringa aliyesoma Chuo cha Ualimu Tabora akapita JKT Mafinga akawa mwalimu. Baadaye akasoma Russia, Degree Marekani na Master Open University. Akawa Mbunge kwa miaka 31 tangu uchaguzi wa vyama vingi 1995. Waziri wa muda mrefu, William Lukuvi amefariki akiwa na miaka 70.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
103
79
1.4K
64.7K
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
WILLIAM LUKUVI AFARIKI DUNIA Dodoma, Machi 25, 2026 . Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetangaza kifo cha aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Isimani, William Vangimembe Lukuvi, kilichotokea leo majira ya saa moja asubuhi katika Hospitali ya Benjamin Mkapa, jijini Dodoma. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, marehemu alifariki dunia alipokuwa akipatiwa matibabu kufuatia ugonjwa wa mshtuko wa moyo. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametangaza kwa masikitiko makubwa kifo hicho na kutoa salamu za pole kwa Spika wa Bunge, familia ya marehemu, wananchi wa Jimbo la Isimani pamoja na Watanzania wote. Rais Samia amesema taifa limepoteza kiongozi mwenye uzoefu mkubwa na mchango mkubwa katika uongozi na maendeleo ya nchi, akieleza kuwa Lukuvi alikuwa mtumishi wa umma aliyejitolea kwa dhati katika majukumu yake. Marehemu Lukuvi amewahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini kwa nyakati tofauti, akibaki kuwa mmoja wa viongozi waliotumikia taifa kwa muda mrefu na kwa ufanisi. Taarifa zaidi kuhusu taratibu za mazishi zinatarajiwa kutolewa na serikali baadaye. instagram.com/p/DWTGCdzDL3D/…
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
1
1
6
227
JAMVIMEDIAGROUP
JAMVIMEDIAGROUP@JAMVIMEDIA·
VITA IRAN, VILIO DUNIANI
JAMVIMEDIAGROUP tweet media
Indonesia
0
0
0
31