
T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️
38.9K posts

T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️
@RasAzov
An independent activist, I fight to free my country in darkness. All of our associations, let us educate each other, let us remind each other of our roles.
Poland Se unió Ağustos 2015
1.2K Siguiendo3.1K Seguidores

@Psiteshio1 Hata mim pia siamin huu mtandao wa X kama kweli,,, ni utapeli tuu
Indonesia

@_CinemaHub_ @NASA Imagine spending trillions just to get the same shot but with modern boring graphics
English

Hello, Moon. It’s great to be back.
Here’s a taste of what the Artemis II astronauts photographed during their flight around the Moon. Check out more photos from the mission: nasa.gov/artemis-ii-mul…




English

@siyagaenock1 @shibobo___ Ni kweli, na itawacost kama ilivyokuwa na wapalestina kwa HAMAS
Filipino

@shibobo___ So wanatumiwa km ngao? Haitasaidia watapigwa tu.
Filipino

Unakotaka kupiga raia ndio wanaenda uwamalize 🙌
Vita za namna hii hua ngumu sana na zinachukua muda mrefu mmoja kushinda
Roshan Rai@RoshanKrRaii
Bro 😭 Iranians 🇮🇷 are literally vibing in the nuclear power plant city of Bushehr which Donald Trump has threatened to blow up. These people fear absolutely nothing 👏
Indonesia

@KingPablotz2 @shibobo___ Hii video sio sahihi, japo ipo ila haina watu wengi hivi, na inaonesha power plant na cooling towers huku raia wamejipanga mstari.
NB: Israel huwa wanaangusha vipeperushi vya kuwataka watoke eneo hilo, few hours later ni boom 💥💥
Filipino

@shibobo___ Inanipa mashaka kuamini kuwa hawa ndio waliondamana , wakachoma vitu na watu na wao wakauwawa… 🤣…
Indonesia

@Abuy_0 @pastajoshuatz Nazungumzia katika teknolojia, kama wao wameweza kutengeneza simu, wewe hujaweza, kwanin hutaki kuwaamini...au mpaka waleta utalii wa mwezini 😅😅
Indonesia

@pluto__hndrx @BillyTronix1 Huwezi weka picha ya kameme halafu ukubuli ujinga wa kameme, Israel anatemegemea fibre
Indonesia

@BillyTronix1 Haiwezekani hii on social media 80 percent wapo upande wa Iran, hii labda afanye Israel then aseme ni Iran. Ila Iran huu ujinga hawez fanya
Indonesia


@manerico2000 @IDF Yes, but it will 5 years routine for destruction
English

🎯STRUCK: The central site for the production of sonar and underwater detection systems in Shiraz.
The site was used for the production of sonar systems used to detect submarines, vessels, divers & underwater missiles.
Additional strikes in Karaj targeted a central site of naval cruise missile and air defense systems.

English

@Abuy_0 @pastajoshuatz Hata hii smart huamini kama imetengenezwa, ilishushwa kutoka juu😂😂
Eesti

@pastajoshuatz Ndio ukweli kwenda mwezini labda ya wanawake sio katika sayar mimi pia siwez kubaliana na hilo, na wale walio amini kuwa Mungu ni mwanadamu ndio vilaza kuliko wanadamu wote duniani ndio maana wanaamini huu uzushi.
Filipino
T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️ retuiteado
T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️ retuiteado

@Elsukay0 Fanya na wewe watu waje...hiyo nafasi ulikuwa nayo kama uliona ni opportunity. Kafanya mchungaji imekuwa nongwa!! Elfu 50 namalizia bar, kwako ni big deal ukiipata kwa muhindi. Kuna mengi beyond aliyoyasikia, wengine wamepata connection na kuongeza marafiki, na hata wateja pia.
Filipino

@RasAzov Yule ni mchungaji mzee mchungaji mnamlipa tena akili wewe ndo huna
Na bado zaka na sadaka anapata wewe ndo hufikiriii dini zitazidi kuwagalagaza nyie watu wenye akili ndogo
Indonesia
T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️ retuiteado

Nilikuwa nasubiri nirudi instagram ili nianze kuwapostia upya ujangili wa kina Angela Kizigha na kina Mombo maana kwa sasa hakuna impact kubwa itakuwepo sababu sipo insta ila kutokana na hiyo appointment ya Kizigha leo imebidi niwape hii
Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela Kizigha na iko registered kwa number yake ya simu, yani her own personal number. Mnaweza kucheki wenyewe ownership ya hii magmop.
Naomba muangalie magari yaliyoingiziwa Tanzania na hii kampuni ya Kizigha hiyo Magmop.
Alafu naomba angalieni magari yaliyoingizwa Tz kwa jina la mkuu wa Usalama wa taifa. Suleiman Mombo kaingiza Tanzania kwa jina lake mwenyewe migari kama yote, acha yale marolls Royce yaliyojaa ndani kwake.
Watanzania wanaibiwa kwa kiasi hiki na bado kuna Watanganyika wanafanya uchawa kwa kupewa laki 1.
Ninazo info nyingi zaidi nasubiri nirudi Instagram maana kuachia hizi info kwa sasa hakuna much impact.
Naombeni kila Mtanzania aangalie hayo magari yaliyoingizwa Tanzania kwa pesa za walipa kodi alafu ajiangalie kwenye kioo ajiulize kama yupo upande sahihi wa kudai haki.
Nchi hata maji safi ni shida ila ona Mabugatti yanaingizwa nchini na Angela Kizigha na bado anapewa appointment ya serikalini.
Mnaweza kuingia wenyewe kwenye hii website na kuingiza hizi info na kujihakikishia wenyewe.
Filipino
T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️ retuiteado
T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️ retuiteado

Maandamano ya kihistoria siku ya ufunguzi wa Afcon 2027.
Hawatoweza kuzima internet, hawatoweza kujaza askari na mitutu ya bunduki barabarani, hawatoweza ku-lockdown watu.
This is a chance of a life time kuleta haki kwenye nchi yetu….
Tuitumie afcon 2027 kuonyesha dunia kuwa Watanzania tunapambania uhuru na haki kwenye nchi yetu na kwamba tunahitaji msaada wa dunia.
Hakutakuwa na Afcon Tanzania ila kutakuwa na maandamano ya kudai haki…………..
Maandalizi na grassroots campaign zianze sasa.

Indonesia

@Polit1cswithM @drkent247 @HarmlessHQ @TruthBomb50 I've tried to view your page, it suffice to say all your posts are slander and hate.
English

Trump is a badass dealer.
He started war with Iran.
Iran blocked Strait of Hormuz and stopped the sale of oil to Europe.
UK is affected. And UK didn't join Trump when Trump asked for their help.
Now, UK is suffering shortfall in oil supply.
And Trump is telling them to buy from him or go and open the Strait of Hormuz by themselves.
Either way, Trump wins.
English
T 🅰️ N Z 🅰️ G I Z 🅰️ retuiteado

Saudi Arabia and the rest of the Gulf countries mentioned have conveyed in closed meetings they would not want a US ground operations to end until their is a change in Iranian leadership or a significant change in Iranian state behaviour.
WarMonitor🇺🇦🇬🇧@WarMonitor3
BREAKING: UAE supported by Bahrain and Kuwait are pushing the US hard for a ground operation in Iran-AP
English












