Lesher
631 posts


You missed Bitcoin in 2011.
You missed Amazon FBA in 2015.
You missed eCom in 2018.
Now don’t miss AI publishing in 2026.
I'm sharing a new in-depth guide to help you start and make at least $10,000 per month.
Usually, I'd charge $199 for this, but today I'm giving it away 100% FREE
(Claude prompts included)
Like + comment 'Guide' & I'll DM it to you
Must follow me to get DM.
FREE for 48 hrs only.

English

@Thereal_taivina Umegusa mioyo ya watu wengi sana bro...I really appreciate the Hustle umepitia. Umetuinspire sana🫡
Filipino

A Betting Guru Once said, "Siku ambayo utacheka sana, cheka tu kawaida ili ubakize kicheko ambacho utacheka siku ya maumivu, ili siku ya maumivu usije ukanuna ukaanza kuwa na mood swing kiasi cha kugombana na watu" @Thereal_taivina 🧘🏽♂️

Indonesia

Punguza mawazo ya KIBINAFSI...projects kama hizi watu wanaandalia mpka vizazi vyao hata baada ya wao kutoweka duniani...The Legacy stays forever....
Hofu yangu ni wewe utakumbukwa kwa lipi na utakaowaacha😎
P'site Shio@Psiteshio1
Umenunua kiwanja 10M Umejenga vyumba 10 kwa 70M Jumla 80M Chumba 40,000 Wapangaji wanakuchangia 400,000 Kila mwezi Sawa na 4.8M kwa mwaka Itachukua miaka 17 kurudisha million 80 Itachukua miaka 34 kupata profit (2x) Au wewe una maoni gani?
Indonesia

@abbasX_ @millardayo Ana ufala mwingi kinoma uyu jamaa...paragraph zote 3 eti kashindwa kusema "kapokea rushwa"...waandishi uchwala hawa...matako yako @millardayo
Filipino

Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa limethibitisha kumkamata Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani Wilaya ya Mufindi anayefahamika kwa namba ya kazi WP.8402 CPL Bikusekela baada ya video inayomuonesha akifanya kitendo kibaya na cha utovu wa nidhamu akiwa kazini kusambaa kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Jeshi hilo Askari huyo tayari amechukuliwa hatua kali za kinidhamu kufuatia kitendo hicho ambacho kimekosolewa vikali na uongozi wa Jeshi la Polisi.
Jeshi la Polisi limesema haliridhishwi na vitendo vya Askari wanaokiuka maadili na nidhamu ya kazi na limeonya kuwa halitasita kuchukua hatua kali kwa Askari yeyote atakayebainika kufanya vitendo vinavyochafua taswira ya Jeshi la Polisi na Serikali kwa ujumla.
#MillardAyoUPDATES

Indonesia

Lesher retweeté
Lesher retweeté
Lesher retweeté
Lesher retweeté















