lightness wilson

36.5K posts

lightness wilson

lightness wilson

@LightnessWilson

Inscrit le Ekim 2022
3.5K Abonnements2.8K Abonnés
lightness wilson retweeté
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Nilikuwa nasubiri nirudi instagram ili nianze kuwapostia upya ujangili wa kina Angela Kizigha na kina Mombo maana kwa sasa hakuna impact kubwa itakuwepo sababu sipo insta ila kutokana na hiyo appointment ya Kizigha leo imebidi niwape hii Hii kampuni Magmop ni kampuni ya Angela Kizigha na iko registered kwa number yake ya simu, yani her own personal number. Mnaweza kucheki wenyewe ownership ya hii magmop. Naomba muangalie magari yaliyoingiziwa Tanzania na hii kampuni ya Kizigha hiyo Magmop. Alafu naomba angalieni magari yaliyoingizwa Tz kwa jina la mkuu wa Usalama wa taifa. Suleiman Mombo kaingiza Tanzania kwa jina lake mwenyewe migari kama yote, acha yale marolls Royce yaliyojaa ndani kwake. Watanzania wanaibiwa kwa kiasi hiki na bado kuna Watanganyika wanafanya uchawa kwa kupewa laki 1. Ninazo info nyingi zaidi nasubiri nirudi Instagram maana kuachia hizi info kwa sasa hakuna much impact. Naombeni kila Mtanzania aangalie hayo magari yaliyoingizwa Tanzania kwa pesa za walipa kodi alafu ajiangalie kwenye kioo ajiulize kama yupo upande sahihi wa kudai haki. Nchi hata maji safi ni shida ila ona Mabugatti yanaingizwa nchini na Angela Kizigha na bado anapewa appointment ya serikalini. Mnaweza kuingia wenyewe kwenye hii website na kuingiza hizi info na kujihakikishia wenyewe.
Filipino
66
280
1K
51.4K
lightness wilson retweeté
Doctor Mishy🇷🇺
Doctor Mishy🇷🇺@SharonMontana20·
Huyu anakuaga kwenye vikao vyenu mbele pale Naona 😂
Doctor Mishy🇷🇺 tweet media
23
26
353
15K
lightness wilson retweeté
Mange Kimambi 🇹🇿🇺🇸
Aisee, hii inaitwa hakuna wa kunifanya kitu na sijali. Watanzania nawaita mara 3, nchi imetekwa na majangili ni lazma kila mtu ajitoe. Hakuna namna. Hii haina u CCM tena wala uChadema tena. Huu ni wakati wa Watanzania woote kuungana ili tuwaondoe hawa mashetani madarakani. Aiseee, mnajua kimama hana aibu wala hajui vibaya. In short she doesn’t care anymore. Kaamua kuifirigisa nchi. Na bado kuna Mitanzania yenye low IQ inadhani kuna katiba mpya atayoleta huyu mtu.. Kibaya zaidi kuna Watanganyika bado wanaendelea na uchawa sababu ya kuendekeza njaa za kijinga.
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai

Sister @mangekimambi amkaaaa 😁 Angela Kizigha kateuliwa kuwa mbunge na shostiake @SuluhuSamia Ila jamani hawa kweli wanatuonaje!? Nyie @ccm_tanzania wa Tanganyika mliopo huko mna shida si bure Eniwei hakuna deka - aluta continua! #TutaelewanaTu

Indonesia
68
188
941
62.1K
lightness wilson retweeté
Uncle Fafi
Uncle Fafi@Tanganyikan·
Kwa hii kauli ya "umama" usishangae Kisarawe wakipata DC mpya kabla jogoo hajawika mara 3.
Indonesia
40
25
284
51.7K
lightness wilson retweeté
STUNNA
STUNNA@CavityDamas23·
Sijawai kukutana na hii situation tangu nimezaliwa aisee😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 Baba angu kafariki leo Mungu akipenda tutakuwa pamoja tena wanangu Nawakubali sana nyie 🫶🫶🫶🫵
Indonesia
196
112
818
22K
lightness wilson retweeté
SafariMlevi
SafariMlevi@safarimlevi·
Hili ndo gazeti la kununua wapo vzr wamenyooka ✌️
SafariMlevi tweet media
Indonesia
5
20
107
3.7K
lightness wilson retweeté
Polycarp The Bibliophile
Polycarp The Bibliophile@PolycarpMDM·
Aliyekubali Ujenzi wa Kituo cha DART kuwa Jangwani Anyongwe
हिन्दी
2
69
252
9.1K
lightness wilson retweeté
Hustler
Hustler@Feudal70·
Tamaa ya watu kwenye madarakani imewaua watu na kufunga watu kwa kuwasingizia kesi za uongo. Anaeteseka kwenye kuta za gereza na sakafu ndio kitanda chake, ni raia na kiongozi mwema anaependwa na taifa lake. Yule muuaji asiependeka anauwa ili aongoze wananchi. Muda waja atajinyea
Hustler tweet media
Indonesia
4
33
98
1.6K
lightness wilson retweeté
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Si mchezo 😁👊🏽 Tundu Lissu is ANTIFRAGILE Fanyeni utafiti maana ya hii sifa! Ni mtu au kitu ambacho kikipata stress yaani misukosuko si tu inahimili bali INAIMARIKA na kuwa bora zaidi! That’s what Lissu is! Challenges make him better and stronger Leo ni LARGER THAN LIFE inside and outside Tanzania Kimama chenu kingekuwa na busara angemwachia zamaniii! Tatizo anaona kama ligi zile za michambo za taarab eti ndo anamkomoa! Hivi hakuna wa kumshauri maana alishashauriwa ye hataki eti!? Nashauri Jaji Mkuu Masaju na majaji @judiciarytz wasimame kwenye haki na kuDISMISS the case! DPP atajibeba! Okoeni Taifa - kabla mambo hayajazidi kubumbuluka! Mi nawapa last benefit of doubt! Do the right thing! #FreeTunduLissu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
7
92
469
12.7K
lightness wilson retweeté
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Wakongwe wa Twitter Republic tupewe heshima yetu 🤣 tulimpandisha kisukari mapema kimama! Vijirepublic tumo! Siku hizi kuna republic ya Instagram, republic ya Tiktok 😁😁 Kiukweli hawatupendi hawa madhulmat but it’s ok! Hatuhitaji watupende ila wasituteke, wasituue, wasitutese - watusikilize! Eniwei leo maoni tofauti ni uhaini eti! #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Indonesia
27
74
466
31.8K
lightness wilson retweeté
millardayo
millardayo@millardayo·
Mahakama Nchini Burkina Faso imemhukumu Waziri wa zamani wa Masuala ya Kiutu, Laure Zonga, kifungo cha miaka mitano jela baada ya kupatikana na hatia ya makosa ya wizi wa fedha za umma, kujitajirisha kwa njia haramu pamoja na utakatishaji wa fedha. Kwa mujibu wa taarifa za Mahakama, Zonga alihusishwa na ubadhirifu wa kiasi cha faranga milioni 35 za CFA, ambazo ni sawa na takribani dola za Marekani 61,400. Fedha hizo zinadaiwa kupatikana au kutumika kinyume cha sheria wakati akiwa madarakani, jambo lililosababisha uchunguzi na hatimaye kufikishwa Mahakamani. Hukumu hiyo imekuja katika kipindi ambacho Uongozi wa Burkina Faso chini ya Ibrahim Traore umeweka mkazo mkubwa katika kusafisha mifumo ya utawala na kuwajibisha Viongozi wanaohusika na matumizi mabaya ya rasilimali za umma. Mbali na mapambano dhidi ya ufisadi, Rais Traore ametaja pia vita dhidi ya Wapiganaji wa itikadi kali, rushwa na utawala mbovu kuwa miongoni mwa vipaumbele vyake vikuu katika kuimarisha usalama, uwajibikaji na utendaji wa Serikali. #MillardAyoUPDATES.
millardayo tweet media
Indonesia
57
47
603
28.2K
lightness wilson retweeté
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Hii nchi ni KOLONI LA WAZANZIBARI kwa miaka zaidi ya 60. Tulimfukuza mkoloni mzungu tukakubali kutawaliwa na wakoloni wa kizanzibari. Ndiomaana Mzanzibari kauwa ndugu zetu kwa maelfu na watanganyika tunamuangalia tuu. TUNATAKIWA KUOMBOA HILI TAIFA KUTOKA UTUMWANI HARAKA SANA.
SATIVA tweet media
Indonesia
51
155
1K
33.7K
lightness wilson retweeté
Nkota
Nkota@xlusako·
Habari za asubuhi watu wa Mungu👋🏾
Indonesia
13
12
34
579
lightness wilson retweeté
Mwaki
Mwaki@Mwaki28·
Afya ni uhai, na kila mtoto anastahili kulindwa. #WatotoWenyeUalbino wanahitaji huduma muhimu ili kuishi kwa usalama: ☀️ Kinga dhidi ya jua 🧴 Mafuta ya ngozi (sunscreen) 👁 Huduma za macho Hizi si huduma za ziada tu, bali ni mahitaji ya msingi. Ni wajibu wa serikali na wadau kuhakikisha huduma hizi zinapatikana kwa wote, bila ubaguzi. #HakiJumuishi
Mwaki tweet media
Indonesia
2
22
19
443
lightness wilson retweeté
BΞBΞRU
BΞBΞRU@incrediboss·
Kumekucha tena, Good morning 🌅
BΞBΞRU tweet media
Indonesia
58
120
966
32.5K
lightness wilson retweeté
Laizer Mayon
Laizer Mayon@MayonLaizer·
"DPP na serikali pumzi imewakata, sasa wanakimbilia kwa Jaji Mkuu kujinusuru! Lissu amewabana kisheria mpaka wameishiwa hoja. Vituko hivi ni ishara ya mwisho wa mchezo. CCM tanzania, suluhu ni moja tu: #FreeTunduLissu na #SamiaMustGo. Hamuwezi kuzuia mafuriko kwa mikono—mnachelewesha yasiyoepukika tu. #TutaelewanaTu ✊🏾"
Laizer Mayon tweet media
Indonesia
4
66
242
7K