Daniel Samson

37.5K posts

Daniel Samson banner
Daniel Samson

Daniel Samson

@SamsonDanielDS

Inscrit le Ocak 2025
81 Abonnements251 Abonnés
Daniel Samson retweeté
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Unatimiza mwaka jela. Aliyekutupa jela, akazuia CDM kufanya siasa, akateka na kupoteza wakosoaji akidhani itakuwa rahisi kuwa rais, alikataliwa na umma hadi akauwa maelfu ya watu. Ananuka damu za watu. Anasubiri hukumu ya haki. Stay stronger, see U soon, Tundu Lissu!
Tito Magoti tweet media
Indonesia
9
105
419
2.6K
Daniel Samson retweeté
MWANAHISABATI
MWANAHISABATI@ArthurGeil·
HIZI MBINU 8 ZINAWEZA KUOKOA MAISHA YAKO SIKU MOJA 1. KAMA UNASHINDWA KUPUMUA VIZURI Weka mikono yako juu ya kichwa, mapafu yako yatafunguka haraka. 2. KAMA UMESHIKWA NA HOFU YA GHAFLA (PANIC ATTACK) Gusa kitu cha baridi (simu, chuma au maji). Ubongo wako hubadili hali kutoka hofu kwenda utulivu. 3. KAMA MOYO UNADUNDA KWA KASI SANA Kohoa mara 2–3 kwa nguvu. Hii husaidia kurekebisha mapigo ya moyo. 4. KAMA UNAHISI KIZUNGUZUNGU Angalia sehemu moja tu na kaza misuli ya miguu. Damu itarudi haraka kuelekea kwenye ubongo. 5. KAMA UNAWAZA SANA (OVERTHINKING) Hesabu kurudi nyuma kuanzia 100 kwa kupunguza 7 (100, 93, 86…). Akili haiwezi kuwaza kupita kiasi na kufanya hesabu kwa wakati mmoja. 6. KAMA HUPATI USINGIZI Toa pumzi taratibu zaidi kuliko unavyoivuta (mfano: sekunde 4 kuvuta, 7 kutoa). Ubongo huingia katika hali ya usingizi. 7. KAMA PUA YAKO IMEZIBA Shikilia pumzi kisha tikisa kichwa juu hadi chini taratibu. Husaidia kufungua njia ya hewa. 8. KAMA UNA WASIWASI WA GHAFLA Jimwagie maji usoni. Hii huamsha mwitikio wa mwili na kuleta utulivu. Ongeza Nyingine Tujifunze 👇
Indonesia
8
71
156
9.6K
Depedro Dee (Ed.S.)
Depedro Dee (Ed.S.)@depedrodeniss·
Kenya kuna senator kamwambia Ruto, nakuheshimu lakini SIKUOGOPI...
Indonesia
10
3
63
2.7K
Daniel Samson
Daniel Samson@SamsonDanielDS·
@KennedyMmari Alaf kiwanda cha urafiki ,kibadilishwe kuwe makao ya shirika la nyumba? Sio? Vip winda vya katani,ngozi, plastic amboni Tanga,viwanda vya pamba mwanza? Vilienda wapi?
Indonesia
0
0
1
158
Kenny Mmari Snr.
Kenny Mmari Snr.@KennedyMmari·
Treni ya SGR inajaa, mabasi yanajaa, ndege zinajaa. Nchi yetu tuendelee kuijenga. Mahitaji yapo. SGR iende Mbeya, Mtwara, Arusha, Tanga na kila kona ya nchi. Viwanja vya ndege viendelee kuboreshwa na kujengwa vipya. Nchi iunganishwe. It comes with a cost, but it is worth it.
Indonesia
21
16
118
5K
Daniel Samson retweeté
Moshi Jr
Moshi Jr@MoshiMwilwa·
@Eric__Bernard Sawa...mnataka tucomment mtunyakue😂😂
Moshi Jr tweet media
Indonesia
0
1
1
544
Buba9️⃣9️⃣
Buba9️⃣9️⃣@massuidentity·
Kumetokea ubishi hapa Kijiweni kuhusu proffesor J. Eti anatokea Iringa au Morogoro Tusaidieni kumaliza huu utata
Indonesia
20
10
111
9.9K
Sally Brown🌷
Sally Brown🌷@officielsalome·
Mwenyekiti wa seneti mkoa wa songwe sisi inatuhusu nini ukikutana nae??
Thom Mnkondya@Thommunkondya

Leo nimepata fursa ya kuwa na kikao kizuri sana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu(TISEZA), kaka yangu @GileadTeri, kwa lengo la kujifunza namna bora ya kunufaika na fursa za uwekezaji zinazopatikana kupitia mamlaka hii. Kama kijana, nimejifunza mambo mengi muhimu na nina dhamira ya dhati ya kuwa miongoni mwa vijana wa Kitanzania watakaokuwa wawekezaji wakubwa siku zijazo. Asante sana kaka yangu kwa muda wako, msaada na miongozo yenye thamani kubwa kwangu. #TISEZANAVIJANA

Indonesia
3
1
10
3.4K
Daniel Samson retweeté
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
Sasa Jaji Mkuu mstaafu Chande, kama mko huru na hamuingiliwi tunatarajia mtuletee majina ya wauaji - kama mmeshindwa tutaweka sisi maana hawa kwenye picha ni polisi na wanafahamika! Hawa vijana waliouwawa na maelfu wengine wana familia na miili yao haionekani! Leteni majibu miili yao iko wapi? Haya ndo mambo watanganyika tunataka kusikia siyo maridhiano! #SamiaMustGo #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet media
Indonesia
13
72
204
5.6K
Daniel Samson retweeté
MCO.Balaam💉🧬
MCO.Balaam💉🧬@BalaamW22·
If it was football it's 10:0
MCO.Balaam💉🧬 tweet media
English
336
1.8K
22.2K
491.7K
Daniel Samson retweeté
MZUNGU PORI💪
MZUNGU PORI💪@Mzungu_pori1·
Wamepanga kutuangamiza kabisa sio bahati mbaya😃😃💔💔
Indonesia
7
22
68
1.5K
Uncle chitemo
Uncle chitemo@Mikumifinest·
Usipofanya Umalaya ukiwa bado kijana hakikisha Unajizuia ukiwa mzee pia . Ni Aibu sana kwa mzee kupoteza Nyumba zako zote kwa kitoto Cha Elfu mbili .
Filipino
14
17
85
1.7K
Daniel Samson retweeté
SATIVA
SATIVA@Sativa255·
Mtu elimu ya chuo kaenda kusoma PAKISTAN unategemea nini? Jitu limefeli kila ngazi ya elimu unayoijua wewe limefeli unategemea nini? Anataja DOLA NA EURO kama maembe na wakina MADELU (Mwigulu) wapo wanamsikiliza na wanapiga makofi kama vichaa.
Filipino
24
53
617
12.2K
Daniel Samson retweeté
TRUST ME BRO
TRUST ME BRO@Mwenyekit_i·
Trust me bro kama nchi tuliyakanyaga.
Filipino
41
91
625
12.3K
Daniel Samson
Daniel Samson@SamsonDanielDS·
@EduTalkTz Wanasomesha watoto shule kubwa kaka ada watatoa wapi wakicheka.
Filipino
2
1
1
181
(---) Onesmo Mushi
(---) Onesmo Mushi@EduTalkTz·
Halafu hakuna hata mmoja aliyecheka wala kushtuka😂😂😂😂!! Hawa watu wana roho ya kipekee😂😂😂😂😂!
Indonesia
19
9
58
3.1K
Daniel Samson retweeté
Tiga Mongi
Tiga Mongi@Mongi2026·
@EduTalkTz Nimakatili sana Ila nazani huwaga wanaendaga kuchekea chooni 😂😂😂
Filipino
0
1
3
128
Thom Mnkondya
Thom Mnkondya@Thommunkondya·
Leo nimepata fursa ya kuwa na kikao kizuri sana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu(TISEZA), kaka yangu @GileadTeri, kwa lengo la kujifunza namna bora ya kunufaika na fursa za uwekezaji zinazopatikana kupitia mamlaka hii. Kama kijana, nimejifunza mambo mengi muhimu na nina dhamira ya dhati ya kuwa miongoni mwa vijana wa Kitanzania watakaokuwa wawekezaji wakubwa siku zijazo. Asante sana kaka yangu kwa muda wako, msaada na miongozo yenye thamani kubwa kwangu. #TISEZANAVIJANA
Thom Mnkondya tweet media
Thom Mnkondya@Thommunkondya

Ifikapo 2050, nalenga kumiliki viwanda 20+, kuajiri Watanzania 100,000+, na kuchangia 2%–5% ya uchumi wa $1T. Ndoto yangu ni kuwa kinara wa viwanda na ajira Tanzania kama mtanzania mwenye asili ya Tanzania wa kwanza.

Indonesia
22
6
41
7.9K
Daniel Samson retweeté
KESHA KAMA CNN
KESHA KAMA CNN@NoReformsNoElec·
Hivi kuna kitu hata ki1 anachojua kweli?
हिन्दी
7
1
47
939