Tweet รฉpinglรฉ
SimbaScot
37.1K posts

SimbaScot
@Simbascot
โ MUSLIM. It is Allah who gives and it is Allah who takes away, simba ๐น๐ฟ& man united ๐ด๓ ง๓ ข๓ ฅ๓ ฎ๓ ง๓ ฟ & Real Madrid ๐ช๐ธ โ ๏ฃฟ๐ Banter All Time.
Zanzibar South and Central Inscrit le Mart 2020
2.4K Abonnements2.8K Abonnรฉs
SimbaScot retweetรฉ
SimbaScot retweetรฉ
SimbaScot retweetรฉ
SimbaScot retweetรฉ
SimbaScot retweetรฉ

@shibobo___ @BracuszCadabra Lakin Tender haikutangazwa. Kama ilivyo tender ya Jersey.
Indonesia

@BracuszCadabra Kuna mambo kwa nature yetu mnalazimika kuanzia mwsho na si mwanzo,
Ukizingatia aloshinda tender ni God Father
Indonesia
SimbaScot retweetรฉ
SimbaScot retweetรฉ
SimbaScot retweetรฉ
SimbaScot retweetรฉ

๐จNjia sahihi na Rahisi ya kufanikiwa mchezaji ni kutanguliza timu mbele kucheza kwa ajili ya kutimiza malengo ya Klabu sio matamanio binafsi
Inno Loemba Jospin ana kipaji halisi Cha mpira na anajituma sana anapokuwa uwanjani ila tatizo linalompotezea focus ni ubinafsi na uchoyo,anajifikiria sana yeye anafikiria sana kufunga kuliko kutengeneza na kurahisisha mtiririko wa mashambulzi
Kwa ubora alionao mambo mengi yapo ndani ya uwezo wake Cha muhimu awe na maamuzi sahihi hasa nyakati muhimu na kwenye matukio yanayohitaji Ushirikiano na ufanisi wa haraka
Atatengeneza jina haraka ikiwa tu ataamua kucheza kwa ajili ya timu kutuliza kichwa na kutoa pasi panapohitajika kufanya hivyo Kupiga mashuti penye ulazima huo Mwishoni Loemba tunakupenda ila unapaswa kubadilika.

Indonesia
SimbaScot retweetรฉ

SimbaScot retweetรฉ

๐จ๐๐๐๐๐๐ || ๐๐๐๐ ๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐๐ ๐๐๐๐๐
Kumbu kumbu mhimu, Mchezaji wa Tz Prison Asukile alilalamika kuhusu Yanga kuwahonga milioni 40
Ushahidi upo mwingi sana toka zamani watu wametulia tu.
Chezea Wilson Oruma wewe๐ซต๐ซต๐ซต
Indonesia
SimbaScot retweetรฉ
SimbaScot retweetรฉ
SimbaScot retweetรฉ



























