Makkeys retweeté
Makkeys
20.4K posts

Makkeys retweeté
Makkeys retweeté
Makkeys retweeté
Makkeys retweeté
Makkeys retweeté
Makkeys retweeté

Unajua ingekuwa JPM ni JAKAYA au Mwinyi au Mkapa au hata Nyerere mngeizima nyota yake na legacy yake chap kidogo.
Tatizo, Ukitaka kufanya malipo yoyote ya kiserikali muda huu unakumbuka ni Yeye.
Ukitaka kupaa unakumbuka ATCL kaifufua YEYE.
Ukipanda Treni ya kisasa kama upo Hongkong unakumbuka ni Yeye
Ukipita Ubungo na Tazara unakumbuka ni Yeye
Umeme usipokatika kama nchi jirani kwa kukamilika kwa JNHEPP unakumbuka ni YEYE
Ukiuona mji mkuu upo DODOMA kwa vitendo unajua ni Yeye
Ukiona masoko ya Madini nchi nzima unajua ni Yeye
Ukiona Stand zetu za mabasi nchi nzima unajua ni YEYE.
Ukiona Masoko ya Kisasa kwenye Majiji yote unajua ni Yeye
Kufufuliwa kwa Mv. Victoria, Ujenzi wa Mv. MWANZA na vivuko na meli zingine kote nchini unajua ni Yeye
Kuboreshwa kwa Airports nchi nzima na hata kutanua viwanja vyote vya ndege nchi unajua ni Yeye.
Kuzipa hadhi hospitali zote za Kanda na kuboresha hospitali za Wilaya nchi nzima ikiwemo Sekou Toure- Mwanza na Kwangwa-Musoma unajua ni Yeye.
Barabara za Wilaya nchi nzima ni Yeye.
Kuwafunga MAJIZI akina Seth na wengine ni Yeye.
Elimu BURE nchi nzima imeanzishwa na YEYE.
Yote hayo aliyafanya ndani ya miaka 5, sio 10 sio 60.
i’d trade my life with JPM’s if i had to. He was God sent.
Nyie WAKOSWA AKILI wengine hata mseme nini, mnajisumbua.
Indonesia
Makkeys retweeté

FT Yanga 3-1 TP Mazembe
Mzize double and Aziz Ki keeper Faty for TP
What a game this was a must win game for Yanga if they were to have any hopes in the group.
They did not disappoint
Coming from goal down they huffed and puffed hitting 3 like fighters as they roared in Dar Es Salaam.
Timu kubwa are indeed back in the biggest club competition in Africa CAF Champions League. Kudos 👏
@soka25east


English
Makkeys retweeté

85th minutes
Yanga 3-1 TP Mazembe
Timu kubwa have roared in Dar Es Salaam
What a day
@soka25east

English
Makkeys retweeté

Kwa wanaume leo ngoja niwashauri kidogo, ama nini?:
Wakati unapomuingiza mke wako kwenye kazi zako, ndio siku ambayo unajiandalia kufeli kama mwanaume and as trained professional.
Family yako ni watoto wako— sio mke wako!— I'm sorry for being too honest trying to protect boy child.
Mke anaweza kubadilika, lakini watoto wako watabaki na wewe forever kama umewalea vizuri.
Make sure unatengeneza alliance na watoto wako — make sure unakuepo kwenye hatua zao za ukuaji.
Kazi usimuhusishe mke wako wewe boy child—Mahali pekee ambapo unatakiwa kumhusisha mke wako ni kitandani (for love) na mezani (for food).
I'm trying to protect boy child kwa sababu nimeona wanaume wengi mkiwa vulnerable sana.

Filipino

@WillyMartinX True, uliona vile diamond alikuwa welcomed Kenya? Tanzanians won't do that for our own
English












