
Matumizi ya pombe kupita kiasi yana mchango mkubwa kwenye vitendo vya ukatili wa kijinsia.
Afisa wa polisi anaeleza uhalisia huu na hatua za kuchukua.
Kupitia Ulevi Sio Dili, ICCAO inaendelea kuhamasisha kinga na usalama wa jamii.
#UleviSioDili #TokomezaUkatili
Tanzania 🇹🇿 Indonesia





















