SABAS C ASENGA

27.1K posts

SABAS C ASENGA banner
SABAS C ASENGA

SABAS C ASENGA

@SABASASENGA

It's not over until it's over SIMBA SPORT CLUB

Kenya शामिल हुए Mart 2023
5.5K फ़ॉलोइंग2.9K फ़ॉलोवर्स
पिन किया गया ट्वीट
SABAS C ASENGA
SABAS C ASENGA@SABASASENGA·
Ni wahenga tu ndio wanafahamu hii kitu.
SABAS C ASENGA tweet media
Indonesia
40
42
117
18.1K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
Tanzania Bound Buses
Tanzania Bound Buses@TBoundBuses·
#Mallessa's Code namba ni 500, sijui inamaana gani kwenye kampuni. 🔥🔥 @Hezronluba 📸
Tanzania Bound Buses tweet media
Indonesia
4
6
71
1.9K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
S t e w a r d
S t e w a r d@madeinmusoma·
Hii picha itatunzwa hadi wajukuu wa huyo mtoto wataiona 😘
S t e w a r d tweet media
Indonesia
19
51
632
11.2K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
DOCHA 
DOCHA @ALugandu·
Sisi Si Unajifanya Mwema Sana Kwa Ndugu Zako Hizi Gari Utaishia Kuziona Kwa Wengine Tu..😂😂
DOCHA  tweet media
Indonesia
2
13
77
1.1K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
MUJUNGU AUTOMATIVE
MUJUNGU AUTOMATIVE@mechanicsduty·
Moto Huu Hapa... Dar 12...nzega Saa Kumi... Chuma Dar To Mwanza.. Bunda Bus🔥🔥🔥
MUJUNGU AUTOMATIVE tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
7
3
99
3.9K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
EZEKIAH JEREMIAH
EZEKIAH JEREMIAH@ezzy_wix·
Mwanamke wa mjini anayevaa shanga 🚩🚩🚩🚩
EZEKIAH JEREMIAH tweet media
Indonesia
6
11
37
2.4K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
IAmHaule
IAmHaule@IAmHaule·
MFANO WA MAZUNGUMZO NA TAJIRI (WHATSAPP / DM) Usianze hivi , Wewe: Boss naomba unifundishe biashara. Tajiri : (Anaona na hakujibu.) Hakuna mtu ana muda wa kufundisha stranger. Conversation (Hivi ndivyo inavyotakiwa kuonekana) 🧵👇🏼
IAmHaule tweet media
Indonesia
4
22
95
15.1K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
Eng Jubel
Eng Jubel@EngJubel·
Kujipenda sio anasa wakuu.
Eng Jubel tweet media
Indonesia
2
8
36
528
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
MRENO.🇳🇬
MRENO.🇳🇬@mreno255·
Tangu jana night nipo na shemeji enu,kasema ataondoka jumapili 😁🥂
MRENO.🇳🇬 tweet media
Filipino
34
20
115
9.1K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
ochola..🦅⚠️
ochola..🦅⚠️@therealrigoh·
Kama Bado hujala weka namba hapo kwenye comment mchana usikupite😎 Kutoa sio utajiri ni Moyo 🙂👊
ochola..🦅⚠️ tweet mediaochola..🦅⚠️ tweet media
Indonesia
24
17
153
7.1K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
Umeshawahi ku-experience kitu cha namna hii ukiwa kama Mzazi/Mlezi? #EastAfricaTv | #Dodoso
EastAfricaTV tweet media
Čeština
2
2
30
1.9K
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
Brave man
Brave man@thomas_yona_·
Wazazi wanahangaika kila siku kulipa ada Madogo wenyewe wakiwa shule 😂😂
Brave man tweet media
Indonesia
5
9
37
573
yOuNg_tHuG
yOuNg_tHuG@bOy___ThUg·
Twende kazi…
yOuNg_tHuG tweet media
Türkçe
13
12
23
815
SABAS C ASENGA रीट्वीट किया
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼@RevocatusMagum1·
🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄 || Mshambuliaji kijana wa Kitanzania, Selemani Mwalimu Abdala (20), anatarajiwa kuondoka ndani ya kikosi cha Simba SC mwishoni mwa msimu huu baada ya muda wake wa mkopo kufika tamati. Kwa mujibu wa takwimu kutoka mtandao wa Transfermarkt, Mwalimu alijiunga na Wekundu wa Msimbazi kwa mkopo wa mwaka mmoja mnamo Agosti 23, 2025, akitokea klabu ya Wydad Casablanca ya nchini Morocco. Mkataba wake wa mkopo unatarajiwa kuisha rasmi Juni 30, 2026, ambapo mchezaji huyo atalazimika kurejea nchini Morocco kuitumikia klabu yake mama ambayo bado ana mkataba nayo wa muda mrefu hadi mwaka 2029. ​Katika kipindi chake akiwa na Simba, Mwalimu ametoa mchango wake hususan katika michuano ya kimataifa ambapo amecheza jumla ya michezo saba ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) na kufanikiwa kufunga mabao mawili. Licha ya umri wake mdogo, mshambuliaji huyo wa zamani wa Fountain Gate ameweza kuonyesha uwezo wake wa kupambana uwanjani, jambo lililomfanya kuwa mmoja wa wachezaji tegemeo katika safu ya ushambulizi. Kuondoka kwake ni pigo kwa Simba inayojipanga kwa msimu ujao, huku mashabiki wakisubiri kuona kama uongozi utafanya jitihada za kumwongezea mkopo au kumsajili jumla kufuatia kiwango alichokionyesha.
𝗥𝗲𝘃𝗼𝗼 tweet media
Indonesia
7
4
224
21.9K