ALEX MODEST

106 posts

ALEX MODEST

ALEX MODEST

@Alexmodesit

Instagram @alexmodesit

Bergabung Şubat 2022
231 Mengikuti56 Pengikut
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Parachichi la Kagera Lipate Thamani Inayostahili
ALEX MODEST tweet media
Filipino
0
0
1
4
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
"Wanaotupa hongera wanahisi kwamba tunachofanya hakiwezekani kwetu, na siyo kwamba wanaona mafanikio yetu."
Indonesia
0
0
1
20
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Mafanikio au pesa haijawai kuvumbua kitu kipya ndani ya mtu, inakuonesha vile vitu vilivyokuwa vimejificha kabla ya mafanikio ya mtu
Indonesia
0
0
1
16
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Siasa, na mpira wa miguu yalikuwa maisha yangu tokea utotoni kama mfatiliaji tu..kwenye fani ya uchambuzi wa michezo nilianza nikiwa secondary kwa kuwaeleza watu timu niliyoishabikia kwa nini ilishinda au kufungwa... Ipo siku nitageukia siasa Kwa sababu niliipenda zaidi ya mpira
Indonesia
0
0
1
40
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Kutokujua Kiingereza sio tatizo sana, shida ni maswali yasiyo na maana yanayoulizwa. Waandishi wa habari tuulize maswali ya maana kwa Kiswahili na kuwa na mtu wa kutafsiri. Mfano, tuachane na maswali ya safari ilikuwaje,.. mwisho KAMA MWANDISHI HAUJUI KINGEREZA UMEKWISHA
Indonesia
0
0
1
23
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Waliofeli shule nakufanikiwa kimaisha, wanaomba waliofaulu shuleni wafeli kimaisha wawacheke pia wawaajiri kwa pesa kidogo na masimango juu, tuwaombee wasomi wafanikiwe kimaisha ili wawe chachu kwa watoto wanaokuja kupenda shule
Indonesia
0
0
1
12
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
.....Sio mbaya siumeamua kuchaguaa Moyo wako kumpa yule Ila kaa ukitambua kwamba mi bila wewe ni sawa na bure Au labda kuna kitu kipya ulikipata kutoka kwenye mwili wake yule Na ukaniona mi mshamba na vyeo vyote ukamvika yeye....
Indonesia
0
0
1
12
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
"Aliyetangulia duniani ni mwanaume, yeye ndiye anajua chakula kinapatikana wapi , Siku mwanamke alipoleta chakula nyumbani walifukuzwa busitanini, money will put limit in your house - pastor Tony Kapora"
Indonesia
0
0
1
109
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
"Ukisikia nimekufa usiweke msiba, lla Sherekea kwa sababu una roho mbayaaa, We mUbayaaa, Kosa gani lisilosamehewaaa, Jifunze.kusamehe itakusaidia maishaniii --Christian. Bella 🎵
Indonesia
0
0
1
16
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Usiku hamchat?, hakuna morning calls?, mnanuniana mara nyingi, BASI MNAPENDANA SANAA,
Indonesia
0
0
1
7
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Ukimsikia mtu anasema Al Ahly SC wameshuka ubora wao mpige kibao kisha mwambie Simba ndio wamepanda ubora kwa sasa....watu wanaelewa kwa vibao.
Filipino
0
0
1
12
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Kama hauna angalau milioni 5 kwenye akaunti yako ya benki, usione aibu kupokea simu za watu. Kila simu inaweza kuwa fursa ya kujifunza au kufungua mlango wa mafanikio....
Indonesia
0
0
1
13
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Walipoomba mkopo, walisema wao ni yatima hawana baba wala mama. Lakini kwenye graduation wameenda na baba, mama, na wenza wao na watoto wao . Kwanza wamekuwa waongo , na pili wametumia pesa ya serikali kuoa 😂.
Indonesia
0
0
1
14
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
SIMU......Wewe amua kuchunguza simu ya mpenzi wako upate PRESHA au amua kuacha kuchunguza simu yake ufe kwa UKIMWI.
Indonesia
0
0
1
13
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Ukiona anazidisha sana mapenzi tofauti na mwanzo,,,, weka akilini kuna kitu anahitaji kutoka kwako au TAYARI AMEKUACHA ( amempata mwingine au amerudi kwa yule wa zamani) ,,,ANAKUDANDANYA HUYO.
Indonesia
0
0
1
10
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Kama nilimpenda mtu asiye sahii kwa kiwango hicho, je huyo aliye sahii nitampendaje? 🤔 Ni kama wingu zito la maswali moyoni mwangu, na ninafanya jitihada kuchunguza hisia hizi mpya, napambana ili aje kufurahi pia apate sehemu maalum katika moyo wangu.
Indonesia
0
0
1
8
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Uwapo shuleni noa shoka lako, ukirudi kitaa na shoka butu utalazimika kutumia nguvu nyingi zaidi kupasua anga
Filipino
0
0
1
26
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
"Ombi lako ni Sheria, mpenzi wangu, Chochote utakacho sema, nitatimiza. Kwa upendo wa dhati, moyo wangu uko tayari.
Filipino
0
0
1
17
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Kuna tofauti kati ya kukua kwa umri na kukua kwa akili. Kukua kwa umri ni jambo la lazima ila kukua kwa akili ni chaguo lako © SwahiliBuzz
Indonesia
0
0
1
12
ALEX MODEST
ALEX MODEST@Alexmodesit·
Fair play,, tushirikiane kupinga vitendo vya hovyo kwenye mpira wa miguu
ALEX MODEST tweet media
Indonesia
0
0
1
17