Gasto Mg

21.1K posts

Gasto Mg banner
Gasto Mg

Gasto Mg

@GasNet07

“I am that child who was shot and died in the civil war in Sierra Leone.” Raised in 🇬🇧, Residence Tanzania 🇹🇿

London, United Kingdom Bergabung Ekim 2013
2.1K Mengikuti2.2K Pengikut
Gasto Mg
Gasto Mg@GasNet07·
@nyawale @joharimshana Hajielewi...sisi nyumbani kwakina Maria kwenyewe hatupajui ata hivyo hiyo picha inaonesha kwakina Maria pazuri kuliko kwetu
Filipino
1
0
0
13
Francis Nyonzo
Francis Nyonzo@nyawale·
@joharimshana Nyumbani kwa kina Maria hakuna impact kwa jamii (social cost). December 30, 2025 nilipasua tairi mbili Kifanya(Njombe) hili lina social cost kwa kwa watumiaji wa barabara ambao ni watz. Nielewesje nyumba kuwa chafu inacost nini kwa jamii?
Indonesia
2
0
3
232
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
Team Maria, mimi ni Jeshi la mtu mmoja tu so nina muda mzuri na nyie ila ujumbe wangu mmoja tu AFUATILIE MASWALA YA NYUMBANI KWAO NA KUSAFISHA NYUMBA YAO. Mwambieni awahadithie jinsi gani kifo cha baba yake kinamuuma kwasababu anajua yule Mzee Sarungi alitengwa ndani ya nyumba yake bila watoto wake kumjali! Hao walikuwa wanaenda kumuona baba yao kama yuko hospitali wakati yuko kwenye nyumba yake, walikuwa wameajiri watu wamuhudimie baba yao na bado mdogo wake alikuwa ana wafokea manesi na madaktari mpaka wengine wakaacha na bado hawakuwalipa., alafu anasema hakuishi maisha ya kifahari? Kuna masikini anamuajiri mtu ili ahidumie wazazi wake? Yaan endeleeni kutukana muone kama mnamsaidia bali mnatakiwa msaidie hata mlioko Dar nendeni mkamuone yule mama ili na mfanye usafi na nyumba na kuwakarabatia vizurii!!! Pyeeee unasema viongozi wa ccm makatili mnawajua watoto wa kike wa SARUNGI walivyo makatili nyie………. Mkitukana tena naendeleaaaaa mpaka mkafanye usafii
Johari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet media
Indonesia
5
15
20
4.8K
Gasto Mg me-retweet
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Usipotafakari juu ya kifo unaweza kuwatendea wenzio vyovyote utakavyo. Ukawateka, ukawaua, ukawazika kama mizoga, bila kujali maumivu yao wala hisia zao. Kama vile utaishi milele. Lakini ukitafakari juu ya kifo, na ukajua kwamba siku moja utalala mauti, utawapenda wenzio, utawalinda, utawaheshimu, na ukiwa kiongozi utaongoza kwa HAKI. Tuache kiburi cha uzima, kifo kipo. Na hilo ndilo neno la leo. Tumsifu Yesu Kristo 🙏🏽
Hilda Newton tweet media
Indonesia
5
57
280
8.3K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
@mrcash2222 Mie sio mwanaume 😂, hivi tone ya kiume hauwezi ijua? Mimi ni Mwanamke Dada Joharii 😂
Indonesia
7
0
0
2.9K
Johari Mshana
Johari Mshana@joharimshana·
AIBU DADA MARIA, jaman picha 1 ni nimeikuta online na ikionyesha carpet ya nyumbani kwa Maria kwa Shangazi, na 2 nimepiga mimi ndani sasa niambie nimeongopa kuwa hapo sio kwa kina Maria Sarungi, ujumbe ni mdogo tu dada Maria mwambie dada Vero aende pale Amel carpet kuna carpet za kisasa tunaweza kumbadilishia. Nyumba chafu sana dada sana, tuiweke sawa tuweke furnitures za kisasa dah! Au tumuombe Mama Samia tukamtembelee mama.? Yaan nilienda kwa Shangazi siku nyingii na ndio maana naumia, nilivyomuona Dada Maria yuko busy na harakati nikajua nyumbani kutakuwa sawa ila lah!!
Johari Mshana tweet mediaJohari Mshana tweet media
Filipino
69
18
71
44.8K
Gasto Mg me-retweet
Lamu Rafael Lamu
Lamu Rafael Lamu@LamuRafael77·
📍 Chama cha siasa ambacho moja ya sababu ya kuanzishwa kwake au lengo yake ni kuwa daktari wa matatizo ya Jumuiya,hakina budi kiwe na tabia ya kujua matatizo yenyewe,sababu ya matatizo hayo na dawa yake.Bila ya kujua matatizo na sababu ya matatizo hayo,haiwezi kujua dawa yake.
Lamu Rafael Lamu tweet media
Indonesia
2
12
29
328
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Ukiachana na Morogoro, Mkoa gani mwingine una pisi mbovu sana 😁
Headboy wa mtaa tweet media
70
36
357
28.9K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
AU ni kundi la WASELA linalokutana mara kwa mara Addis Ababa, Ethiopia, wakijikita zaidi kwenye table manners na executive dressing code kuliko kushughulikia matatizo halisi ya Waafrika.
Filipino
22
142
907
22.6K
Gasto Mg
Gasto Mg@GasNet07·
@Sisimizi3 @kilepi_tweve Kwahiyo unataka kusema alikuwa mmoja wa mashetani sasa anataka kujitenga na mashetani, mtumeeee!
Filipino
0
0
0
794
Dr. Sisimizi
Dr. Sisimizi@Sisimizi3·
Leo BWANA CHUGA kamchapa sana Mzalendo wa Madhabahu kamwambia "Shetani ni Shetani tu hata ujifanye unajitenga na Serikali ya Mama Samia" na kasema atamshughulikia
Dr. Sisimizi tweet mediaDr. Sisimizi tweet media
Indonesia
38
10
374
44.9K
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
@GasNet07 Wewe jamaa ni noma sana😂😂
Indonesia
2
0
7
2.6K
JAGUAR.
JAGUAR.@Jaguar_455·
Maadalizi ni makubwa mno chief 🫡 📸
JAGUAR. tweet media
Filipino
13
35
630
35.1K
Gasto Mg
Gasto Mg@GasNet07·
@NifferSancho_ @kilepi_tweve Mmeona waume zenu wakivaa hivyo basi unafikiri kila mwanaume anavaa bukta...sisi wengine sio wasukuma. Kaka zangu wasukuma mnisamehee😂😂
Indonesia
0
0
1
246
Niffer💕
Niffer💕@NifferSancho_·
Dear men, acheni kuvaa bukta za team za mipira kama boxer….
76
48
473
54.3K
Gasto Mg
Gasto Mg@GasNet07·
@emabilly2001 Mimi mtu wa mbeya, sijawahi kulisha ng'ombe ata kwenye beseni. Hivyo ondoa neno Mbeya kwenye statement yako kaka
Indonesia
0
0
1
263
Beast
Beast@emabilly2001·
Ni ulimbukeni na ushamba huwezi kuniambia unalisha ng'ombe majani kwenye gari nikuone wewe ni tajiri. Never ni utahila tu huyu jamaa anaendelea kuonyesha watu wa mbeya wengi ni malimbukeni
Beast tweet media
Indonesia
94
29
327
28.7K
Gasto Mg me-retweet
Lamu Rafael Lamu
Lamu Rafael Lamu@LamuRafael77·
📍 Endelea kupumzika kwa Amani, Mzalendo wa kweli Hayati Dkt. Magufuli uliipenda sana Tanzania na watu wake.Uongozi kwako,ulikuwa ni Utumishi na fursa ya kuboresha maisha ya Wa🇹🇿.Tunakukumbuka kwa kazi kubwa na nzuri ya kufanikisha utekelezaji wa miradi mikubwa na ya kimkakati.
Lamu Rafael Lamu tweet media
Filipino
9
12
67
1.2K
Gasto Mg
Gasto Mg@GasNet07·
@iboysean Samahani kaka, hivi kijana wa kitanzania akicheza mpira huo ndani ya dakika 30 Ataanza kuvua chupi akiwataka wenzie wamfire? au mimi sielewi vikongwe wa nchi hii wanawazaga kutumia matako au akili
Filipino
3
0
6
1.4K
Sean 🦩
Sean 🦩@iboysean·
Kule Tabora kumetokea Story ya kueneza vipeperushi na mipira yenye alama zinazoshabiana na Ushoga Kuna Muinjilisti katokea Amerika Kaskazini huko na kampeni yake akawatafuta wachungaji mkoani humo wakagawa mipira na vipeperushi kwenye shule lakini baadaye baada ya uchunguzi kufanyika ikaonekana kuna namna vipeperushi na mipira hiyo inaunga mkono harakati zisizo. Jama wamefukuzwa Tabora na mipira na vipeperushi vimekamatwa.
Sean 🦩 tweet media
Indonesia
27
17
192
30.4K
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
#BreakingNews Jeshi la Polisi Musoma mjini linapiga mabomu ya machozi njee ya Kanisa la Kuu la Katoliki wakati ibada inaendelea. Ikumbukwe leo baada ya Idd Amin Mama kuzuia BAWACHA tusifanye maadhimisho yetu, tuliamua kwenda Kanisa la Katoliki kushiriki misa takatifu.
Indonesia
38
143
493
19.2K
Gasto Mg
Gasto Mg@GasNet07·
@ReganTesla_ Kamali ipo kisheria, kama hauipendi si upige nyeto ili upate usingizi mzito ulale usizione post zao mkuu.
0
0
1
61
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Content za kamari zinazidi kuongezeka kwenye mitandao siingilii kazi za watu lakini hili ni zaidi ya bomu linatengenezwa kwenye jamii.. TIME WILL TELL
Indonesia
75
68
710
102.5K
SAFE MEDICINES
SAFE MEDICINES@SafeMedicines24·
@mshambuliaji Ya octoba 29 hukuyaona? Pimbi ww... Ya iran unayajua hadi ya sirini, haya yaliyokuwa wazi kweupe hukuyaona.... Shetaniii mkubwa.....
Filipino
1
0
18
2.7K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Ripoti za hivi punde zinazotolewa na Iran International zinaarifu kwamba Mojtaba Khamenei, mwana wa marehemu Ayatollah Ali Khamenei, atatangazwa kama Kiongozi Mkuu (Supreme Leader) wa Iran. Uchaguzi huo ulifanywa na Bunge la Wataalamu (Assembly of Experts) — chombo kinachowajibika kuchagua mrithi wa kiongozi. Ripoti hiyo inasema uteuzi huo ulifanywa chini ya shinikizo kutoka kwa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi (IRGC), kikosi chenye nguvu kisiasa na kijeshi nchini Iran. Hii ina maana kwamba, pamoja na utaratibu wa kikatiba wa Iran kutosha uchague mrithi, imeelezwa kwamba upande wenye ushawishi mkubwa wa kijeshi (IRGC) umehusika kikamilifu katika mchakato huu ili kuhakikisha Mojtaba anapata nafasi hiyo. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
24
10
501
29.7K
Gasto Mg
Gasto Mg@GasNet07·
@privaldinho Unafahamu idadi ya watoto wakitanzania waliouwawa tarehe 31 Oktoba, hakuna aliyekuwa salama ata wewe anaweza kutokea mpumbavu akauchukua uhai wako
Indonesia
0
0
1
195
Privaldinho
Privaldinho@privaldinho·
Israel wameshambulia shule ya Minab huko Iran na kuuwa wanafunzi zaidi ya 60. Tetese zinasema shambulio hilo limefanywa kwa msaada wa Marekani (taarifa mbalimbali mtandaoni). Nimewaza ingekuwa Iran ameishambulia USA na kuua wanafunzi ingekuwaje🙌🏼🙌🏼. Kuna namna mauaji yakifanyika nchi za kiarabu na mashariki ya kati inachukuliwa poa na dunia.
Indonesia
269
30
513
80.9K
Gasto Mg
Gasto Mg@GasNet07·
@YerickoNyerereT Bro uliamua kuachana na matumizi ya akili ukaamua kufuata makalio
Indonesia
0
0
4
441
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
About Iran's Supreme Leader Khamenei killed, it is a PSYCHOLOGICAL WARFARE'
English
87
5
67
41.1K