โUkombozi wa Mpira wetu upo kote kote ndugu zangu, Hata hii ya kukomesha Tabia ya mtu kutoa tuhuma kwa Taasisi/Mtu bila ushahidi wa jambo husika ni jambo linaloweza kuulinda kabisa mpira wetu na mijadala ya kipuuzi.
Msichambue Ukombozi mmoja tuโ
๐๏ธ Ally Kamwe
Wakati tuanazindua Jezi zetu msimu huu tuliwaambia kitambaa chetu ni Grade 1 yaani kitambaa chetu cha Jezi na kitambaa cha Jezi cha Manchester United au Rela Madrid ni sawaa.
Hiyo nguvu iliyotumika hapo kumvuta Aura inaweza kuchana mbao au kufua chuma lakini jezi yetu haichaniki wala kuvutika.
Wachambuzi wengi ni Deiwaka, hawana ajira, ofisini kwao wanaambiwa tumekupa platform nenda kajiongeze. Kuna wanajiongeza kienyeji enyeji, wakiitwa mahakamani hawana hata uwezo wa kulipia gharama za kesi, huruma inaanza kutumika.
Niwakumbushe tu, hizi timu ni taasisiโ
๐๏ธMassanza
@Iamfelixtz Kwa ujinga unaofanywa na tff Kupitia marefa wake litaendelea kuiumiza simba maana sidhani kama kuna shabiki wa simba atakubali huo uonevu asirushe ngumi
Faini baada ya kikao cha Kamati ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (Aprili 18, 2026)
๐ด Simba Sc - Tshs 15m
๐ต Azam Fc - Tshs 5m
โช TRA UTD - Tshs 5m
๐ด Coastal Union - Tshs 5m
๐ต Singida BS - Tshs 5m
๐ข Mudathir Yahya - Tshs 1m
โNikiri tumepokea meseji na maoni ya mashabiki. Hili jambo halitapita hivi hivi, tume'identify' wachambuzi watatu, tume'file' kwenye mlengo wa kisheria. Oruma alisema alikuwa na taarifa nyingi na sisi (Yanga) tunataka hizo taarifa. Ni jambo ambalo limetukwaza sana,โ
๐ฃ๏ธAli Kamwe
FTโ TRA 1-0 Pamba
Pamba Jiji anapoteza mechi ya tatu (3) mfululizo ๐ค
โYanga (3-0)
โCoastal (2-0) CRDB Federation Cup
โTRA (1-0)
Tangu alivyopoteza mechi ya Yanga hajafanikiwa kufunga hata bao kwenye mechi zake tatu (3) mfululizo
๐จ๐จBREAKING: Leo uongozi wa Simba unatarajia kukaa kikao ili kuamua hatima ya Selemani Mwalimu.
Mkataba wa mkopo wa Selemani na Simba unatamatika mwishoni mwa msimu huu na Simba hawataki kabisa kumpoteza nyota huyo wa miaka (20).
Usiku wa kuamkia Jana Rais wa Yanga Eng,Heris,aliwasiliana moja kwa moja na Rais wa Wydad Casablanca ili kumpta Selemani kwa mkopo wa mwaka mmoja.
Yanga wako Tayari kulipa $50,000 (Tsh 129,971,550) kwenda Wydad Kama ada ya mkopo huo,lakini pia wameahidi kumlipa Sele mshahara wa Tsh 20m kwa mwezi.
Jambo liko serious Sele anahitajika kote kote.
Ameandika Hans Raphael kule instagramโ๏ธ
Kwangu mimi, Nickson Kibabage ndiye beki bora wa kushoto mpka sasa ligi ilipofikia. Labda kama atatokea mwingine kwa mechi zilizosalia.
Ila mpaka sasa sio shaka kuwa Kibabage ndiye beki bora wa kushoto kwa sasa.
@BracuszCadabra Kocha Mexime? Huu ni mtihani wanajipa . Kule CAFCL wasipofunga magoli kama haya tutamnukuu Mstaafu JK kikwete kwamba mnanunua mechi mkienda CAF mnaishia raundi ya kwanza
โ๐ฝMbeya City walifananisha Ngoma wakashindwa kutofautisha kati ya shamba la mpunga na uwanja wa mpira
Gap kubwa kati ya mlinzi na mlinzi pamoja na mawasiliano hafifu
Kuswitch off nyakati hatarishi
Kujaribu kubishana na Yanga SC kwenye intensity ya mchezo
HTโ Yanga 5-0 Mbeya City
Mpira ni mchezo unaotaka UKATILI, Muangalieni Hashim Mussa yani hana hata wa kumlaumu โฆ kila goli linawekwa KIKATILI
Mbeya City wamejaa kwenye MFUMO hakuna namna
Sema iliyemrejesha yule MSUDANI Yanga ๐๐๐พ๐ฅ
๐จGUEYE-SIMBA, KUNA MTEGO MAHALA
Libasse Gueye ni mchezaji hatari wa Simba na naomba nibaki peke yangu kwenye hili!
Sometimes uzuri wa mchezaji unategemea sana majuku na nafasi yake; hapa macho kwa kocha Steve Barker
Simba isiingie mtego, huyu ni mchezaji wa daraja la juu๐
@SportsarenatzTz Kuna timu inaenda kucheza ilishaandaliwa mazingira ya ushindi . Kuna nyingine inaenda kupambana uwanjani ili ipate matokeo . So haziwezi kulingana. Hata hivyo wanawajenga kufanya vizuri CAF . Mwakani tutashuhudia tena bingwa wa NBCPL anaishia makundi huku mshind wa 2 akifika nusu
Simba SC katika mechi 5 zilizopita:
๐ค Pamba 1-1 Simba
โ Simba 3-0 TRA United
โ Simba 2-0 Coastal
๐ค Azam 0-0 Simba
๐ค TRA United 0-0 Simba
Mnyama tia maji tia maji ๐ฌ
๐จJUST IN:Akiwa tayari amekubaliana Kila kitu na Young Africans SC kiungo mshambuliaji Ramadhani Salum Chobwedo amesaini pre contract na Simba SC Leo
@SimbaSCTanzania Kila mechi kubwa zinazoihusu Simba anapewa Arajiga ili kuinyonga Simba , viongozi mpo tu kama matukunyenye hamtowi matamko yoyote juu huyo refa.
Wangekuwa ule upande mwingine wasingekubali huo ujinga . Badilikeni