Baada ya Kung'oa Namba Muulize Unatarajia nini Kutoka Kwangu...
Akijibu Nahitaji Mwanaume Anayenijali,Anihudumie na Kunitatulia Shida zangu....
Broo Huitaji Nabii wa Kukuambia Ondoka Huyo Mwanamke Anahitaji Matunzo na Fursa...
Mshauri Atafute Kazi ya Kufanya.
Tajiri Jeff Bezos Mwanzilishi wa Amazon Pamoja na Pesa Wameachana na Mke Wake
Tajiri Bill Gates naye ivyo ivyo
Snoop Dogg Kalea Watoto Wa 4 Ambao Sio Wa Kwake.
Kama Huna Sababu za Msingi USIOE.
Principle...
Mwanamke Ukibahatika Kukutana na Jamaa Ana experience ya Kudate Na Wanawake Wengi Mpaka Mkafunga Ndoa Huyo Hawezi Kukusumbua
Mwanaume Ni Haramu Kaa Mbali Na Mwanamke Aliyetumika na Kudate na Wanaume Wengi.
Ukweli ni kuwa ndoa ni ngumu sana kudumu ikiwa mmechaguana na hamuendani..
Ni dhambi kushiriki ngono kabla ya ndoa lakini kuna hatari kubwa ya ndoa kuwa ndoana kama mtaoana na mkawa hamuwezani kwenye hilo tendo.
Kila jembe lina size ya mpini wake..
Story za Vunjabei Akielezea Alivyaanza Kupambana na Ukisikiliza Wasifu Wa Baba Yake Unaona Jamaa Kumbe Wakishua Kabisa Kwao, Ila Sasa Yeye Akijielezea ni Kama Alihangaika sana Kujipata
Ndo Maana siaminigi Mtu Hapa Mjini 😂🙌🏿
Bodi ya Takwimu Marekani 2020 inaeleza Hasara ya Mtoto Wa KIUME Kupata Malezi ya Single Maza na Waliowazuia Watoto Kua na Ukaribu na Baba zao
Ndio Idadi kubwa ya Waarifu Walio kwenye Magereza ya Marekan kwa Makosa ya Ubakaji,Ujambazi na Madawa ya kulevya
Inaendelea Slide ya 2👉
Mashoga Wanaoshiriki Mapenzi ya Jinsia Moja Wengi ni Watoto wa Single Mother..
Hakuna Mwanamke Anaweza Kulea Mtoto Wa Kiume Pekeake Bila ya Kuwepo Baba na huyo Mtoto Akaja Kuwa Mwanaume Kwasababu Mwanamke Hakufundishwa Kumlea Mtoto Wa Kiume Jinsi ya Kuwa Mwanaume.
Ukiwa Unatongoza Mwanamke Ukitaka Ugundue Anapenda Pesa Tu Hana Mapenzi Muulize Unatarajia nini Kutoka Kwangu Akijibu Nahitaji Mwanaume Anayenijali/Ananihudumia sana Atakayenitatulia shida zangu....
Broo Huitaji Nabii wa Kukuambia ONDOKA Huyo Mwanamke Anatafuta Matunzo na Fursa
Mchezaji Maarufu Wa NBA STEVE Alimuokota Mwanamke Fukara Akaishi naye Walipata Watoto 4 After 15 Years Mke Anasema "Anajutia Muda Aliyoishi na Jamaa na Kumzalia Amejitambua Anataka Awe Huru Ainjoy life Akafanikishe Ndoto zake
Broo Epuka Kuwaonea huruma Wanawake waliokwama.
Unateseka Kwenye Ndoa yako Usilalamike sana Kwasababu Ishara za Mwanamke Wako Ulianza Kuziona Kipindi Mpo Kwenye Mahusiano Kwakuwa Ulimpenda sana Ulifumbia Macho Ukiamini Ukimuoa Atabadilika
Broo Kama Unateseka Kwenye Ndoa yako Usilalamike sana Kwasababu Ishara za Mwanamke wako Ulianza Kuziona Kipindi Mpo Kwenye Mahusiano Kwakuwa Ulimpenda sana Ulifumbia Macho Ukiamini Ukimuoa Atabadilika