T5 Generation 👊

7.9K posts

T5 Generation 👊 banner
T5 Generation 👊

T5 Generation 👊

@T5generation

🎬 Movie lover | Reviews & vibes 🍿 Scenes that hit different

Pennsylvania, USA Bergabung Ekim 2024
451 Mengikuti8.4K Pengikut
Tweet Disematkan
T5 Generation 👊
T5 Generation 👊@T5generation·
TIME YA KUGAIN FOLLOWERS ✍️ Reply handle yako hapa ✍️ Like handle zilizowekwa na watu ✍️ Mtu aki like handle yako mfollow ✍️ Mtu akikufollow follow back Kwa pamoja tutafika 10K wiki hii
Indonesia
0
0
2
40
T5 Generation 👊 me-retweet
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Hivi mbuzi huwa wanawahi wapi wakiwa wanachungwa🤣🤣🤣
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
30
30
83
932
T5 Generation 👊 me-retweet
AM💡
AM💡@TonnyUnfiltered·
Yaani mtu ni doctor kampeleka nguo yake kwa fundi imeshonwa vibaya doctor nae anasema nawe utakuja tu hospital hii sio haki kabisa.💔
Indonesia
16
23
53
498
T5 Generation 👊 me-retweet
Alex debrizy👑
Alex debrizy👑@Alex_komba00·
Kiswahili ni lugha yetu wa Tz lakini kuna namna tunazingua sasa nimemkuta hayupo ndo nn😂🙌
Indonesia
18
24
49
559
T5 Generation 👊 me-retweet
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷@waziri3wa_wapwa·
Kama upo humu ebu fanya umuachie mtoto wa watu.....
ManjestaX 🇪🇸 🇦🇷 tweet media
Indonesia
74
44
260
12.6K
T5 Generation 👊 me-retweet
KINANGE BoY
KINANGE BoY@Massawe_44·
Mtu wa mkoani akiona hii taarifa atajua binti kapotea kweli..😅
KINANGE BoY tweet media
Indonesia
36
22
111
5.2K
T5 Generation 👊 me-retweet
SHIGGA_.
SHIGGA_.@shiggaJr·
Mwanangu Eeeh!! Mchongo ulionao Kama Una mwanya nyoosha bila huruma, hakikisha umenyoosha Kweli Invest kwa nguvu zote, saidia ndugu zako siku wamesanuka Unaupisha Una bonge la back Up Uraiani kuwa mzito mpaka uwe na roho ngumu na mbaya.
Filipino
3
18
47
849
T5 Generation 👊 me-retweet
Queen Online Business
Queen Online Business@QueenOnlineBiz·
Naomba Repost🙏 #VIATU BORA🔥🛍️ ✅Size 40/41/42/43/44/45/46 Wa.me/+255717251747 📍Kariakoo ✅Fupi 90,000/= ✅Ndefu 100,000/=
Queen Online Business tweet mediaQueen Online Business tweet media
Čeština
8
57
60
999
T5 Generation 👊 me-retweet
Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼
Good morning!! Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya kwa gharama za mteja Kindly Repost🙏🏾
Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼 tweet mediaTrixie Cleaning Solution 🫧 🧼 tweet mediaTrixie Cleaning Solution 🫧 🧼 tweet mediaTrixie Cleaning Solution 🫧 🧼 tweet media
Filipino
4
38
40
539
T5 Generation 👊 me-retweet
Sonnino⚡
Sonnino⚡@sonnino123·
Kuna Muda Unaweza Feel Kila Kitu Ulichotarajia Kinachukua Time Kuliko Ulivyodhani, Ni kama Mambo Yameganda Kwako, Na Sio Eti Kwamba Hakuna Jitihada unafanya, Wala Hauko Competent Kwa Unachotaka, ila Ni kama wewe Pekeako Ndio Umesubirishwa Wakati Unashuhudia Wengine Waki-make moves Kila Siku na zinatoboa. Your time will come, Mungu wetu hachelewi, He is always right on time.
Filipino
11
23
60
1.7K
T5 Generation 👊 me-retweet
PaschalSam1
PaschalSam1@P_simpleman95·
Muda wa ukimya ni wakati wa tafakuri binafsi. Tunatafakari tulikuwa watu wa aina gani, Sasa tuko vipi, na tunavuta taswira baadae tunaweza kuwa watu wa aina gani, vyote hivi ni ili kuwa toleo bora kabisa.📌
Indonesia
5
12
36
378
T5 Generation 👊 me-retweet
TOXIC DAWG
TOXIC DAWG@iMajeshi_·
Sifa za mke ambaye unatakiwa umuoe baada ya kujipata kifedha. 1. Lazima awe bikira kabla hujamuoa. 2. Lazima awe na kazi au shughuli na awe vizuri kifedha. 3. Lazima awe mwenye tabia za kike. 4. Lazima awe mrembo. 5. Lazima awe na mvuto wa kimwili. 6. Lazima ajue kupika. 7. Lazima awe mwenye heshima na muelewa . 8. Lazima awe na hofu ya Mungu. 9. Lazima awe na uwezo wa kunyamaza unapozungumza, kusikiliza amri zako, na kutii sheria zako kama mwanaume. 10. Lazima awe na matiti mazuri.
Indonesia
28
24
82
7.3K
T5 Generation 👊 me-retweet
kijana mpole
kijana mpole@BesteNicolas·
Vitu gani vya kuzingatia kwa anayeanza hii kazi?
kijana mpole tweet media
HT
14
8
57
2.4K
T5 Generation 👊 me-retweet
ŠØ FŤĮƐ ♡¤X̌
ŠØ FŤĮƐ ♡¤X̌@SOFTIE_X00·
Mama's song ..PROMISE is fireee 💃🔥🔥🔥 Go and stream her songs in all music platforms Trust me you won't regret it Much love mama @JalisaAvari ❤️ God is your strength 💪 🙌
ŠØ FŤĮƐ ♡¤X̌ tweet media
English
35
128
164
1K
SHALIPOPO 🦇
SHALIPOPO 🦇@jinnyX66·
Samsung ni android mpaka pale utakapo taka kubadilisha kioo chake 😅
SHALIPOPO 🦇 tweet media
Eesti
39
60
567
11.8K