

Brother Mkama
53.5K posts

@abaanzinza
Tutor, VOA, Poet, writer, Photographer, Gdesigner 😀 #BusaraZaBonge #AbaaShots📸 LFC&SimbaSC❤ @udsmalumni SIIPENDI MANU




Hili tukio la kupigwa makofi trafiki msavu na mwanajeshi wananchi wameshangilia


An opportunity to experience the best version of myself so far.

Hii Goba yetu aka Beverly Hills sasa hivi pamekucha,,, Room 2 apartment kupangisha inakwenda 1.2mil. Hutaki kakae Majohe au Chanika Buyuni

Mtu una miaka 30 lakini kila Weekend unazunguka Clubs ulikuaga wapi on your 20's 😂



“Dada nimepata mchumba ila ni muislamu. Niko ready kuslimu niache ukristo ila juzi alipokuja nyumbani kujitambulisha wazazi walimkataa hali iko ivyo nimechoka kabisa. Naomba ushauri maana home wameshikilia dini na wanasema nikipata mkatolic ndoa ni chapu” Familia ya X mnasemaje?

Sekretarieti wamepunguza “Anko tuma CV tu mengine niachie mimi” sahivi ukimfuata yupe Anko wako anakwambia “Anko we faulu interview tu” 😂😂


Je ni Kweli mtihani wa English form four nekta 2021 ndio mtihani mgumu kuwahi tokea Tanzania, au madogo wenyewe ndio walikua vilaza? Nimekuletea paper zima Fungua threads 🧵👇

Je ni Kweli mtihani wa English form four nekta 2021 ndio mtihani mgumu kuwahi tokea Tanzania, au madogo wenyewe ndio walikua vilaza? Nimekuletea paper zima Fungua threads 🧵👇




Iran publicly executes a teen champion wrestler for participating in protests against the Khamenei regime. tmz.me/S0UJCid
