Fluent In Printing
901 posts

Fluent In Printing
@3dmabango
Your Brand. Bigger. Bolder. Seen.





Tanzania kama kuna watu laki moja wana trade forex, basi wanaotengeneza pesa/faida sustainably kwenye soko (sio kwa ada za kufundisha wenzao, sio kwa kuuza signal, sio kwa kudhaminiwa na brokers), wakiambiwa wapande daladala moja (sio costa), wote wanakaa kwenye siti na kuna siti zitabaki wazi. Na hata hao wachache wanaotengeneza faida, wana siri ambayo hawawezi share na wanafunzi wao na watakufa nayo. Kama wewe unahisi utapata siti kwenye ilo daladala nakupa pongezi sana.







Sema wazee wa Forex wana Audacity sana, alafu watu flani wa Mivimbo yaan.. Huyu hapa mwamba akibrag namna anaweza kutengeneza mitaji na kuzungusha pesa kwa Kutrade. Wazee wa pesa za Kudownload kujisemea Maviatu.. 😂























