Cyddhy
546 posts


Thank you, Camavinga. You saved us.
Real Madrid Pictures That Go Hard@RMadridPix
An amateur player, a backward mentality, a bad player — Camavinga killed us, stabbed us in the back, and knocked us out.
English
Cyddhy がリツイート

@ze_mandevu Kaka ukiita siku nyingine sema nitakupa bei kiwandani😁
Indonesia

Kuna duka niliingia leo Kariakoo kuosha macho tu nikakuta hii sendo bei ya jumla 90k nikaipima ila siku nunua basi muuzaji alitema shiti kichizi, nilikaa kimnya kungoja amalize then nikaondoka bila kusema lolote ila angekuwa mteja mngine zingeruka hata ngumi. Binafsi nilipata hasira ningekuwa na pesa ningeinunua sababu nilikuwa tayari nishamaliza mahitaji yangu nilienda kwenye hilo jengo kufwata mzigo wangu kwenye harakati za kungoja nikajikuta nimeingia kwenye hilo duka, kiufupi Wauzaji wengi wa Kariakoo wana dharau kichizi sema fresh tutafika tu🙌

Indonesia
Cyddhy がリツイート
Cyddhy がリツイート
Cyddhy がリツイート

Training Kit Available🔥
📲whatsapp 0763514126
💰40000
🔗Size S-2XL
🧯Delivery tunafanya Tanzania nzima,kwa malipo ya mtej
@rollymsouth @McinikaWaLamar @bob_mchelsea @INFLUENCERjr @YourFrenchFry @CharlieBihemo @anuskills3 @ElimikaWikiendi
@Adventure_36




Indonesia

@gratian_barbosa Hata Mmoja Hakuna Anaenda Liverpool, Sio Olise Au Yildiz ; Yildiz Madrid Walimtaka Juve Wakaweka Kandarasi Mpya , Olise Kazi Ipo
Indonesia
Cyddhy がリツイート


















