INFINITY
11.1K posts

Nakumbuka nilishawahi kuuliza humu kama kuna streamer yeyote bongo basi nikaingiaga Tiktok nikamkuta mwamba "Dimaga " sio streamer tu bali mwamba alikua amemwaga hela kwenye ishu ya streaming lakini sadly nimeona mwamba ana quit na kuuza vifaa sjui kwann wazee 💔

Creator,streamer kuwa na product Mnaona kina Unju, Azma wanaprint machata mnadhani mafala yaani. Creator tengeneza merch, tengeneza biashara,kitabu, kozi, experience UZA Mtakimbia sana game kutegemea INCOME ya Mitandao tu(revenue sharing)

Nakumbuka nilishawahi kuuliza humu kama kuna streamer yeyote bongo basi nikaingiaga Tiktok nikamkuta mwamba "Dimaga " sio streamer tu bali mwamba alikua amemwaga hela kwenye ishu ya streaming lakini sadly nimeona mwamba ana quit na kuuza vifaa sjui kwann wazee 💔

I still don’t know why Messi decided to play this kind of Penalty. 😭

have Chelsea really just lost 5 PL games in a row without scoring or did i dream it