MatuiMaria
2 posts

MatuiMaria がリツイート

Tanzania ni miongoni mwa nchi zenye Sheria inayoruhusu Adhabu ya Viboko kwa Wanafunzi Shuleni licha ya adhabu hiyo kutajwa na kupigwa marufuku kwenye takriban Mataifa 51 Duniani ikielezwa kuwa ni ya Kikatili na inayoumiza badala ya kufundisha
Ili kufahamu zaidi, Shirika la Save the Children na WiLDAF watafanya Mjadala kuhusu Adhabu ya Viboko na Athari zake kwa Watoto kupitia XSpaces ya JamiiForums, leo, Aprili 30, 2024 Saa 12:00 Jioni hadi saa 2:00 Usiku
Shiriki Mjadala jamii.app/SaveTheChildren
#JamiiForums #JFXSpaces #ChildRights #JFHakiMtoto #SocialJustice #EndCorporalPunishment #ChildrensRights

Indonesia
