Daniel Samson
37.5K posts







Leo nimepata fursa ya kuwa na kikao kizuri sana na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu(TISEZA), kaka yangu @GileadTeri, kwa lengo la kujifunza namna bora ya kunufaika na fursa za uwekezaji zinazopatikana kupitia mamlaka hii. Kama kijana, nimejifunza mambo mengi muhimu na nina dhamira ya dhati ya kuwa miongoni mwa vijana wa Kitanzania watakaokuwa wawekezaji wakubwa siku zijazo. Asante sana kaka yangu kwa muda wako, msaada na miongozo yenye thamani kubwa kwangu. #TISEZANAVIJANA




Pikipiki mwaka 2017 zilikuwa zinauzwa 2.2M TZS sasa zinauzwa 3.5M TZS. Bajaj zinauzwa 10M TZS sasa, mwaka 2017 ilikuwa 6M TZS Ukiagiza mzigo nje kodi ni mara mbili ya bei uliyonunulia. Bidhaa moja inaweza kuwa na kodi zaidi ya 10. Lengo sio kodi, bali kumfanya raia awe poor

Umoja wa Wasafirishaji Abiria Dar es Salaam (UWADAR) umeomba kusitisha kutoa huduma kutokana na kujiendesha kwa hasara tangu kutangazwa kwa ongezeko la gharama za mafuta.

Halafu hakuna hata mmoja aliyecheka wala kushtuka😂😂😂😂!! Hawa watu wana roho ya kipekee😂😂😂😂😂!





Ifikapo 2050, nalenga kumiliki viwanda 20+, kuajiri Watanzania 100,000+, na kuchangia 2%–5% ya uchumi wa $1T. Ndoto yangu ni kuwa kinara wa viwanda na ajira Tanzania kama mtanzania mwenye asili ya Tanzania wa kwanza.












